cerengeti
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,879
- 1,634
Je wanaoishi pembezoni mwa mto wapo 60 kutoka kwenye chanzo?Afuate sheria, mita 60 toka kwenye chanzo
Naona kamishna wa wilaya hiyo kesha pata maelekezo kutoka mamlaka za juu.
Kazi ipo.
Je wanaoishi pembezoni mwa mto wapo 60 kutoka kwenye chanzo?Afuate sheria, mita 60 toka kwenye chanzo
Itakaa sawa sababu aliyenyang'anywa ni Mbowe??Mmeshamnyang'anya Mkapa au JKAwamu hii akili itakaa sawa.
Asante dc
Ndiyo nashangaa maana ukiangalia maeneo yote Hana hivyo vijito sasa sijui Serikali ya aawamu hiii unataka nini na watu wa KukimanjaroJe wanaoishi pembezoni mwa mto wapo 60 kutoka kwenye chanzo?
Naona kamishna wa wilaya hiyo kesha pata maelekezo kutoka mamlaka za juu.
Kazi ipo.
Ajabu sana!! !!!!Yaani Taifa ligawanyike kwa kuwa tu kuna KABAILA/BEPARI kazuiwa kulima Shamba lake kuhifadhi Mazingira na Chanzo cha Mto?
Maamuzi ninayofanya yanaendana na shahada yangu ya uzamivu, PhD ya maganda ya miwa.Agizo Kutoka juu
Huo ndio ukweliSibishanagi na mataahira Mimi!
kisheria inabidi wahamishwe tena bila fidia yoyote ileJe wanaoishi pembezoni mwa mto wapo 60 kutoka kwenye chanzo?
Naona kamishna wa wilaya hiyo kesha pata maelekezo kutoka mamlaka za juu.
Kazi ipo.
Unaunga mkono ujinga huu [emoji196] [emoji83] weChanzo cha maji huwa kinalindwa na sheria. Kama shamba la Mbowe kweli limo ndani ya eneo la hifadhi iliyotajwa na sheria basi anatakiwa asimamishwe kweli, kama sivyo, sheria itamlinda.
Kimeibuka janamiaka yote chanzo kilikuwa wapi ,
Unaunga mkono ujinga huu [emoji196] [emoji83] we