Sheria hazibabaishi. Tulipeni land compensation tuwaachie vihamba, malungulungu na vinyungu. Customary land tenure inasemaje huko Hai? Aniuzies hiri kezi. Gonna be a mother of all resettlement schemes.Mkuu wa Wilaya ya Hai amepiga marufuku kuendeleza kilimo kwenye Shamba la Mbowe ambalo ni shamba la urithi, sababu kubwa
shamba hilo liko kwenye chanzo za mtu weruweru
Source: Mtanzania
Nchi inakwenda kugawanyika.............tena mgawanyiko wa chuki Kali, ngoja tuone mwisho wake.
Hili shamba LA urithi leo limeingia kwenye chanzo cha mto mweeeeMkuu wa Wilaya ya Hai amepiga marufuku kuendeleza kilimo kwenye Shamba la Mbowe ambalo ni shamba la urithi, sababu kubwa
shamba hilo liko kwenye chanzo za mtu weruweru
Source: Mtanzania
Halafu tunalalamikia Ukame na kuuita njaa
Haya ni masuala ya kitaalamu msimlaumu DC kwasababu hamjaona hilo shamba kweli liko umbali gani?
Dah... Kwa sababu ya kumzuia Mbowe kuharibu mazingira? Acha utani bana[emoji15] [emoji15]Nchi inakwenda kugawanyika.............tena mgawanyiko wa chuki Kali, ngoja tuone mwisho wake.
Mkuu usiwe kil.za, hakuna solidarity kwenye uhalifu.Agizo Kutoka juu
Afuate sheria, mita 60 toka kwenye chanzo
mbna sasa mashamba yote yapo hivyo tutalima wap?
Sheria hazibabaishi. Tulipeni tuwaachie vihamba, malungulungu na vinyungu. Customery land tenure inasemaje huko Hai? Aniuzie hii kezi.
Huo MTO ndipo unapoanzia??Hivi ni MTO au.kijito??Hongera DC utaupata ukuu wa mkoa soon maana Ubunge uliukosaYaani Taifa ligawanyike kwa kuwa tu kuna KABAILA/BEPARI kazuiwa kulima Shamba lake kuhifadhi Mazingira na Chanzo cha Mto?
Pole mashamba yote ya Machame yapi na vijito vingi vya Maji labda muaamvie wamachame wahame kwao muwapatie maeneo mengine.Labda Maeneo kama Chato ili Yale mashamba yao wayaachie Serikali ya CCMMkuu usiwe kil.za, hakuna solidarity kwenye uhalifu.