Mbowe, Steven Nyerere mikononi mwa polisi

Mbowe, Steven Nyerere mikononi mwa polisi

Du hawa wasanii siweapendi acha wakamatwe.

Wakati wa kampeni walimdhihaki sana mzee.

Walihisi Tanzania ni ya kwao peke yao.

Sasa kwa sababu inawarudia acha wazikane.

Sisemi uongo nawachukua wasanii
Kwahiyo ukiwachukia ndio inakuwaje labda!?

Nani hata anakujua wewe!? Watu wengine sijui uwa mna mawazo gani!!!

Hasira na chuki zako vinakuumiza wewe mwenyewe......wenzako maisha yao yanasonga kama kawa na hata hawajui kama Duniani kuna kadudu mtu kama wewe.
 
303117.jpg
Mi nacheki ngumi tu!!kuna mtu atapukuchuliwa meno hapa!
nilichojifunza ni kuwa simu ni hatari sana kwa sasa ktk mustakabali wa maisha yetu.....kama una kitu moyoni baki nacho tu kwa sasa ukitaka kumwqmbia mtu kwa simu utakuwa recorded...ukiongea face to face utakuwa recorded pia....bora kukaaaa kimyaaaaa
 
M

Mbona IPO hapa JF kitambo....Mimi nimedownload nakuitunza kabisa...hahahaha!
Kuna watu wanasema kwamba amezusha kusema ameongea na hao mawaziri,na nikasema kwenye clip Steve anasika akisema ana ushahidi wa kuwa ameongea na hao watu kweli.
 
nilichojifunza ni kuwa simu ni hatari sana kwa sasa ktk mustakabali wa maisha yetu.....kama una kitu moyoni baki nacho tu kwa sasa ukitaka kumwqmbia mtu kwa simu utakuwa recorded...ukiongea face to face utakuwa recorded pia....bora kukaaaa kimyaaaaa
Sio kwa sasa siku zote kwa watu wanaojielewa kwenye Issue Serious hawazitumii sasa hawa wanaopenda kujiita Wasanii...hawajielewi na wanadhani wanaishi nyakati za Mkwere...
 
duh na aliyesambaza taarifa kwamba makonda kanunua cheti kakamatwa?
Mkuu tumeambiwa na necta kama tunahisi kuna mtu anatumia cheti Siyo chake tuseme ili wafanyie kazi.cha ajabu mpaka sasa hao necta wapo kimya nimewatumia e-mail wamchunguze Daudi bashite mpaka sasa hawajanijibu.
 
Chadema jiandaeni kumsafisha na kumtetea huyo kwa gharama za chama..
Hii tabia ya kutoa fedha ipo CCM tu kama mlithubutu kuwahonga wabunge milioni 10 kupitisha sheria ya kipuuzi hamshindwi kuwanunua hao wasanii.
Chadema hawana hela ya kuchezea wana fedha ya kufanya ukombozi wa nchi hii
 
Huwezi kuona watu mashuhuri kutoka CCM wakienda Chadema sababu ya kukerwa na nchi inavyoongozwa ( wanatetea yote yanayotendwa) .....siku wakiguswa tu ndio wanakimbilia Chadema .....hawa watu si Chadema kweli kweli bali wajasiriamali wa kisiasa ....wengi watarudi CCM tena na kejeli kibao .....kinachokatisha tamaa hao "wakuja" wanajiimarisha kweli ....na uwezo huo wanao ingawa mwisho wake utakuwa ni kuibomoa Chadema ....
Hizo ndizo siasa, dont take them seriously
 
Hivi hiyo audio inasemaje? Mwenye nayo tafadhali aiweke hapa
 
Nimeisikiriza kwa makini crip ya Steve na mama sepetua kiukweli nimeamini ccm imezaliwa upya kama wote aliowafuata hakuna alie toa msaada hongera sana Dr Magufuli
 
Back
Top Bottom