Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,892
Katumwa ndo apewe laki 4 kwenda kuishi gest ya 30,000 kweliNadhani huyu Steve alitumwa na wauza nanii, ili kumchafua mpiganaji wa maunga.
Labda hawakutumia simu bali walifanya kama mchezo wa kuigiza kwa mubashara face to face alafu wakairusha eti ni walipigiana simu.
Lengo kuu ni kuvunja nguvu za vita vya maunga na mabange.
Samahani wakuu kama nakosea kudhani, sababu nachukia saaaana maulevi. Angalia inchi zingine zinawaua. Hila sisi tusifikirie huko.