Mbowe, Steven Nyerere mikononi mwa polisi

kama ni kweli, inatengenezwa chuki kubwa sana kati ya wasanii na serikali, wacha tuone, ila kesi yake naona nyepesi tu, si akanushe basi, kwamba sio yeye, tcra wapo wafanye yao,

Nchi gani Serikali inatengeneza chuki na wananchi wake ambao wanafuata na kutii sheria!

Naamini kuwa umaarufu ni thawabu kwa jamii kama mhusika ataishi, kwa maneno na vitendo, akiwa mfano kwa jamii.

Kesi ni nyepesi kama vile watuhumiwa wanavyoiona Serikali ni nyepesi, wanafanya wanavyotaka.
 
Hizo ndizo siasa, dont take them seriously
No no no ....siasa za hivi si siasa ni uhuni ....bila siasa safi hakuna maendeleo .....yaliasisiwa CCM sasa yanahamia Chadema kwa kasi .....siasa zetu ni chafu mno ....tunapoteza muda na huu ujanja ujanja ....
 
Anashikiliwa kujibu kile kinachosambaa kwenye zile audio tatu zilizosambazwa ambapo kawaongelea viongozi mbali mbali

Habari kamili zitawajia hivi punde

============

VIDEO: Steve Nyerere mikononi mwa polisi

FRIDAY , 24TH FEB , 2017
Utata umeibuka juu ya kukamatwa kwa msanii wa filamu nchini Steven Mengele a.k.a Steve Nyerere, mara baada ya kuwepo kwa taarifa hizo ambazo zimetolewa ufafanuzi na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro.
Steve%20Nyerere%202.jpg

Steve Nyerere

Akizungumza leo na wanahabari, Kamishna Sirro amesema yeye hajamuita Steve Nyerere lakini huenda akawa ameitwa na maafisa wake wa upelelezi kwa ajili ya mahojiano, jambo ambalo ni sahihi.

Sirro amesema kuna kikosi maalum alichokipa kazi hiyo na endapo msanii huyo anahojiwa ataweza kuachiwa kama kikosi hicho kitajiridhisha kuwa anastahili dhama, lakini kama kitaona bado kinamuhitaji, kitaendelea kumshikilia.

Msanii huyo ameingia kwenye 'headline' hasa mitandaoni baada ya kusambaa kwa sauti zinazodaiwa kuwa ni mazungumzo kati yake na Mama wa Msanii Wema Sepetu, kuhusu sakata la dawa za kulevya linalomkabili Wema Sepetu.

Katika hatua nyingine, Mwenyenyiki wa CHADEMA, Freeman Mbowe amefika katika kituo hicho kikuu cha polisi Dar es Salaam, na kisha kupandishwa kwenye gari ya polisi na kupelekwa kusikojulikana.
Mbowe%207.jpg

Freeman Mbowe

Kamishna Sirro alipoulizwa kuhusiana na kinachoendelea kwa mwenyekiti huyo, amesema kuwa jeshi hilo lina mamlaka ya kumuita Mbowe wakati wowote kwa ajili ya mahojiano.

Msikilize hapa akifafanua baada ya kuulizwa maswali na waandishi wa habari

Mbowe anapelekwa kwa mkemia ili asingiziwe damu ya mlevi wa madawa ya kulevya@@ Sababu katishia kushtaki@@ Hilo DUde Juma Pumba maharagwe linafika mwisho na Mungu aliye juu ataliangusha mwenyewe let us pray@@
 
Anashikiliwa kujibu kile kinachosambaa kwenye zile audio tatu zilizosambazwa ambapo kawaongelea viongozi mbali mbali

Habari kamili zitawajia hivi punde

============

VIDEO: Steve Nyerere mikononi mwa polisi

FRIDAY , 24TH FEB , 2017
Utata umeibuka juu ya kukamatwa kwa msanii wa filamu nchini Steven Mengele a.k.a Steve Nyerere, mara baada ya kuwepo kwa taarifa hizo ambazo zimetolewa ufafanuzi na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro.
Steve%20Nyerere%202.jpg

Steve Nyerere

Akizungumza leo na wanahabari, Kamishna Sirro amesema yeye hajamuita Steve Nyerere lakini huenda akawa ameitwa na maafisa wake wa upelelezi kwa ajili ya mahojiano, jambo ambalo ni sahihi.

Sirro amesema kuna kikosi maalum alichokipa kazi hiyo na endapo msanii huyo anahojiwa ataweza kuachiwa kama kikosi hicho kitajiridhisha kuwa anastahili dhama, lakini kama kitaona bado kinamuhitaji, kitaendelea kumshikilia.

Msanii huyo ameingia kwenye 'headline' hasa mitandaoni baada ya kusambaa kwa sauti zinazodaiwa kuwa ni mazungumzo kati yake na Mama wa Msanii Wema Sepetu, kuhusu sakata la dawa za kulevya linalomkabili Wema Sepetu.

Katika hatua nyingine, Mwenyenyiki wa CHADEMA, Freeman Mbowe amefika katika kituo hicho kikuu cha polisi Dar es Salaam, na kisha kupandishwa kwenye gari ya polisi na kupelekwa kusikojulikana.
Mbowe%207.jpg

Freeman Mbowe

Kamishna Sirro alipoulizwa kuhusiana na kinachoendelea kwa mwenyekiti huyo, amesema kuwa jeshi hilo lina mamlaka ya kumuita Mbowe wakati wowote kwa ajili ya mahojiano.

Msikilize hapa akifafanua baada ya kuulizwa maswali na waandishi wa habari

Kamata kamata ndiyo gumzo mubashari
 
Nchi hii lini mtakaa kujadili maendeleo ya wananchi???
 
Huyu bashite sijui bashiti ni mgeita au msengerema? Maana mambo yake ya kutengeneza vifilamu vya kitaahira vinazidi kila uchao. Sijajua lile suala la kuwakamata mashoga zake liliishia wapi?
 
Msengerema[emoji90] [emoji90]
 
Back
Top Bottom