Mbowe, Steven Nyerere mikononi mwa polisi

Mbowe, Steven Nyerere mikononi mwa polisi

Naomba kueleweshwa tu kama chadema ni chama cha wahalifu au la.

Kila anayetuhumiwa ndani ya ccm kwa uhalifu uwe ni ufisadi au dawa za kulevya utamsikia anakimbilia chadema. Ni vema Chadema mkajitafakari kabla ya Watanzania kufanya uamuzi juu yenu mwaka 2020 na kujikuta hampati hata 5% ya wapiga kura wote.

Si kila ndege huliwa la hasha wengine wana sumu kali.
 
20170225_035302.jpg
20170225_035242.jpg


Ni baada ya kusikika akisema Wema kaonewa na anajua hayo yote yanayotokea ni personal kati ya Wema na Makonda hasa baada ya kutoswa kimapenzi na kupigwa kwa Petiti kisha kutajwa kwa Wema kuwa ni mmmoja wa wahusika na dawa za kulevya.

Kwa mujibu wa Steve alishatishiwa kufungwa iwapo ataingilia kati swala hilo na Makonda.

Pia ikumbukwe Steve alipiga kambi Dodoma na kawataja baadhi ya vigogo aliokutana nao ikiwemo Mwigulu, Nape, Mbowe, Msukuma, Makamu wa Rais, na viongozi wa CCM ikiwa ni kueleza kuwa jambo la madawa ni issue binafsi tu sio kama ibavyotajwa
 
Ni kuhusu audio yake Na mama wema iliovuja akizungumza namna alivowashawishi mawaziri kumsaidia issue ya wema kukamatwa na RC makonda

source: mtanzania
 
Press conference ya nini tena, wakati umeshaandika aliyozungumza!
 
Duh nakumbuka Steve alipokemea UKUTA Leo mikononi mwa polisi...kweli dunia duara
 
Ukosefu wa elimu unawaangamiza hao wasanii, halafu wakati wanatumiwa kwa maslahi ya wanasiasa wao hawajitambui, si ajabu hata mkataba wa kazi walizofanya na chama wakati wa kampeni hawana, eti wanadai chama!! Yule shigongo kalialia humu wee mwisho wa siku alijipeleka mwenyewe yaliyofikiwa anajua yeye
 
Picha niliyoiona Bashite ndiye ameharibu struggle za madawa ya kulevya kwa kuleta ulimbukeni wake wakuwataka kimapenzi watoto wa mjini wenye inye za haja bila kusahau tabia yake ya ushamba wa madaraka
 
Yeye si alipigiwa? Au kuwataja vigogo?

Very simple alikuwa anamzingua mama
 
Muulize kwanza Daudi Bashite kunyimwa mzigo na Wema ndio asababishe kizaazaa chote hiki?
 
Moderators wanachotaka ni taarifa zenye ukweli na zisizomdhalilisha au kumtusi mtu yeyote yule

Ukileta habari za hovyohovyo na chokochoko joto kama zile za Lumumba za akina Barbarosa, Anti Lizaboni (Aunt Liz) na Bibie Mwasita moja (Bi Mwasi) basi zinafutwa tu

Na kwahilo tunawashukuru sana Mods.
 
Back
Top Bottom