Mbowe, Steven Nyerere mikononi mwa polisi

Mbowe, Steven Nyerere mikononi mwa polisi

Mbona awamu hii kamata kamata nyingi?
Hii maana yake nini?
 
Naomba kueleweshwa tu kama chadema ni chama cha wahalifu au la.

Kila anayetuhumiwa ndani ya ccm kwa uhalifu uwe ni ufisadi au dawa za kulevya utamsikia anakimbilia chadema. Ni vema Chadema mkajitafakari kabla ya Watanzania kufanya uamuzi juu yenu mwaka 2020 na kujikuta hampati hata 5% ya wapiga kura wote.

Si kila ndege huliwa la hasha wengine wana sumu kali.
Na kwa nchi iliyojaa uhalifu kwa karibia serikali yote kila sehemu ni uozo basi chadema kitapata mtaji mkubwa sana wa wapiga kura....nchi ya wahalifu na serikali ya wahalifu....in juma pumba maharagwez voice.
 
hii nchi inakera sana mkuu, tunao wategemea kutusaidia kumbe nao wana akili ndogo ivi, yaani haka kajamaa kanawafata na kuwapang katakavyo.

sasa kuna haja gani kuwa na mawaziri, uwaziri apewe steve tu
Kula like 50!
 
nilichojifunza ni kuwa simu ni hatari sana kwa sasa ktk mustakabali wa maisha yetu.....kama una kitu moyoni baki nacho tu kwa sasa ukitaka kumwqmbia mtu kwa simu utakuwa recorded...ukiongea face to face utakuwa recorded pia....bora kukaaaa kimyaaaaa
 
Naomba kueleweshwa tu kama chadema ni chama cha wahalifu au la.

Kila anayetuhumiwa ndani ya ccm kwa uhalifu uwe ni ufisadi au dawa za kulevya utamsikia anakimbilia chadema. Ni vema Chadema mkajitafakari kabla ya Watanzania kufanya uamuzi juu yenu mwaka 2020 na kujikuta hampati hata 5% ya wapiga kura wote.

Si kila ndege huliwa la hasha wengine wana sumu kali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si kila ndege huliwa.
Wengine ni Kunguru na Bundi. [emoji1] [emoji1]
 
Ukisikiriza clip yake na yule mama steve anasema swala la bangi hilo anaweza kuliitolea ushahidi sasa kwanini asiitwe polisi
 
Wewe wasema. Jamaa akaeleza tu alikuwa anamaana gani kusema Wema hatumii unga ila bangi anavuta. Na yuko tayari kutoa ushahidi. Kama clip ni authentic, ajifunze kuweka akiba ya maneno. Yule binti mvua inamnyemelea.
Ivi mtu akitoa, ushaidi kwamba unavuta Bangi, kifungo chake kinakuwa na muda gani. Mbona huyu Dada kesi yake mbichi sana.
Na katika iyo Audio [emoji101] clip anayosema kwamba Mama Samia Suluhu katoka Dubai anamaanisha nn? Maana uko Dubai si ndio kuna mtanzania amekamatwa na Madawa alikuwa anataka kusafiri mpaka Raisi akasema tunammjua aliyekamatwa. Sasa swali ndio alikuwa ameenda kulegeza kamba ili atoke au?
 
Du hawa wasanii siweapendi acha wakamatwe.

Wakati wa kampeni walimdhihaki sana mzee.

Walihisi Tanzania ni ya kwao peke yao.

Sasa kwa sababu inawarudia acha wazikane.

Sisemi uongo nawachukua wasanii
 
Huwezi kuona watu mashuhuri kutoka CCM wakienda Chadema sababu ya kukerwa na nchi inavyoongozwa ( wanatetea yote yanayotendwa) .....siku wakiguswa tu ndio wanakimbilia Chadema .....hawa watu si Chadema kweli kweli bali wajasiriamali wa kisiasa ....wengi watarudi CCM tena na kejeli kibao .....kinachokatisha tamaa hao "wakuja" wanajiimarisha kweli ....na uwezo huo wanao ingawa mwisho wake utakuwa ni kuibomoa Chadema ....
 
Back
Top Bottom