Labda wawe mawaziri wa Msumbiji siyo hayo ya kwetu yamekula rushwa ya Sh milioni 10 kila mbunge wa CCM itakuwa ni hiyo ?mawaziri waliotajwa kutaka kusaidia hili kinyume na taratibu nao waachie ngazi maana hawana usafi wa kuendelea kushikiria vyeo ivo
hii nchi inakera sana mkuu, tunao wategemea kutusaidia kumbe nao wana akili ndogo ivi, yaani haka kajamaa kanawafata na kuwapang katakavyo.Labda wawe mawaziri wa Msumbiji siyo hayo ya kwetu yamekula rushwa ya Sh milioni 10 kila mbunge wa CCM itakuwa ni hiyo ?
Watu wa UKUTA, anzeni maandalizi ya kumtetea, na baadae kumpokea "ukutani"Nakumbuka wakati anaongelea UKUTA kwa kejeli,kiburi na dharau....Kweli dunia duara
Wakina Nape wanamwelewa sana!!Sijawahi kumuelewa huyu wa kuitwa steve
Sauti ya Mama ilisikika vema, sijui ndipo palikokuwa na mic ya kurecord hako ka mchezo?Akikamatwa Steve kuna aliyerekodi na kusambaza hao wote wameingilia faragha ya Mama Wema na Steve.
Pia tujifunze tukiwa tunaongea tusijimalize sana haswa kwenye mazungumzo ya simu.