Mbowe, Steven Nyerere mikononi mwa polisi

Mbowe, Steven Nyerere mikononi mwa polisi

Una uhakika na taarifa yako

Hollywood movie

Episode No......
 
Nje ya mada;
Nahisi kama vile Wema kaenda Chadema kwakua ile alama yao ni pozi zuri la kupigia picha.
Hata asipovaa sare akiweka tu vidole tutaelewa anamaanisha nini.

ccm ilikua haina ishara yao labda kama ungekua ukitembea ubebe jembe na nyundo, ukitaka kupigwa picha unavibeba ili kuwakilisha chama.

Ishara ya ccm ni [emoji106]
 
stive nyerere ana kesi ya kujibu,kawasingizia vigogo wakati hakwenda dodoma alikuwa dar ,alidhani anamplease mama wema kumbe anamuharibia
Kama ni kweli amekamatwa ni vizuri kuna vitu vya msingi sana amevizungumza na hivyo vitu ni vya kutilia shaka kama hawa watu wanaoweza kushawishiwa na Steve wana weledi Wa kutosha kuwa kiongozi wetu.

Vitu vinavyohitaji usiri mkubwa vinaweka hadharani kama vile ni vya kawaida sidhani kama ni vya kuvumilia kwa kiongozi.

Ila nasi tujifunze kwamba mambo ya msingi yenye kuhitaji usiri yote tuyazungumzie ya simu .
 
"...In Africa, the public may engage in trivial issues while the country is facing far bigger challenges like poverty,poorhealth services and poor education services..."

Jerrytz
Script from the book "In my own worlds"
 
Ishara ya ccm ni [emoji106]
Ukiwauliza wana CCM kuwa walipindua nini na kujiita Chama cha Mapinduzi? Hawana majibu.

CHADEMA na alama ya vidole kama ishara ya manati ambayo haiui hata inzi.

Wauza unga na watumiaji wanakimbilia au wanatoka huko CHADEMA na CCM
 
Kufika 2020 wote tutakuwa tumetia Akili na upigaji kura kwa mihemuko na ushabiki wa kijinga utaisha
 
Back
Top Bottom