Hivi unawezaje kwenye halaiki kama ile ukamtambua mtu ama mfuasi wa. CHADEMA na yule wa CCM?
Itikadi unaiweka vipi kwenye mkusanyiko kama huo?
Freemani Mbowe amesema amesikitishwa na kitendo cha spika Anne Makinda kushindwa hata kumpigia simu kwa janga lililowakuta.
Ameendelea kusema amestushwa na Spika kuendelea na vikao vya bunge bila kujali kama kuna tukio baya kama yalivyokuwa matukio ya bom kanisani, kifo cha padri zanzibari na fujo mtwara vilivyosababisha bunge kuahirisha vikao vyake..
V.o.a
bila shaka mh makinda anasubiri taarifa ya polisi ndipo atambue kwamba kuna tatizo arusha. tusubiri na tuone.
Ni kweli hata baada ya wabunge wa Nccr kuomba bunge lisitishe au lijadili suala hilo spika alipinga!
Hata wabunge wa ccm hawakuonyesha kuguswa hata kidogo!