Mbowe: Spika ni mtu wa ajabu sana!

nahisi spika alijibu mapigo baada ya mbowe kutomuandikia barua akimfahamisha kuwa kambi yake haitohudhuria bungeni kutokana na msiba. kwa utaratibu wa kiofisi, mbowe alikuwa amuandikie spika. ameonesha dharau. mama makinda baada ya kudharauliwa, nadhani na yeye akaamua kumwaga ugali kwa kukaa kimya. kwa upande mwengine ametoa fursa bungeni ili serikali itoe tamko kuhusu ugaidi wa mabomu ya arusha
 
Ni kweli hata baada ya wabunge wa Nccr kuomba bunge lisitishe au lijadili suala hilo spika alipinga!
Hata wabunge wa ccm hawakuonyesha kuguswa hata kidogo!

Wataguswaje na hilo tukio wakati wao ndio walipanga na kutekeleza mauaji hayo.
 
Mwacheni tu huyo mama, hajielewi, wao na CCM wanajiona nchi hii ni yao!
 
Wabunge walio wengi wa ccm ni wachawi.

Number 1 ni Mwigulu,unakumbuka yule mama alietoa ushuhuda kwamba alifikia guest 1 na Mwigulu,na usiku alipotoka kujisaidia akamuona fisi anaingia chumbani kwa Mwigulu.Kijana na uchawi wapiwapi.
 
Kwanza nani kaangalia Bunge leo labda nyinyiemu tena wale wenye roho ngumu. Halafu Makinda anatakiwa ajiuzulu kwa kutojali roho za watanzania waliouawa na bomu Arusha.
 
Tatizo anazani ni sahihi cuz mkutano ni wachadema au kuna analolijua kuhusu jambo ili thats why yuko biased!!!
 
Bunge haliendeshwi kwa hisia wewe ni kanuni. Hv wewe mbowe wakati unatoa maagizo kuwa wabunge wote wasihudhurie vikao vya bunge na badala yake waende Arusha ulimtaarifu spika? Au uliondoka kama unaondoka kwa mkeo? Viongozi wengine bwana wanaropoka tuu bila kupima mambo. Utovu wenu wa nidhamu pelekeni huko huko barabarani.
 
Hivi hamuumjui huyo mama nini,ana roho mbaya kuliko sura yake.ulizeni marajirani zake kijitonyama jinsi alivyowanyanyasa kwa kufunga barabara ya mtaa
 
Bunge haliendeshwi kwa hisia wewe ni kanuni. Hv wewe mbowe wakati unatoa maagizo kuwa wabunge wote wasihudhurie vikao vya bunge na badala yake waende Arusha ulimtaarifu spika? Au uliondoka kama unaondoka kwa mkeo? Viongozi wengine bwana wanaropoka tuu bila kupima mambo. Utovu wenu wa nidhamu pelekeni huko huko barabarani.
waniulie watu wangu mbele ya macho yangu alafu niage.ok Shetani kutetea Shetani ni kawaida sikushangai
 
mzee inasikitisha lakini...mwanamke ukiwa ccm hata ile huruma ya kike inakutoka sio..
 
Freemani Mbowe amesema amesikitishwa na kitendo cha spika Anne Makinda kushindwa hata kumpigia simu kwa janga lililowakuta.

Ameendelea kusema amestushwa na Spika kuendelea na vikao vya bunge bila kujali kama kuna tukio baya kama yalivyokuwa matukio ya bom kanisani, kifo cha padri zanzibari na fujo mtwara vilivyosababisha bunge kuahirisha vikao vyake..
V.o.a

Tuko katika wakati mgumu, na msiba uliotokea sio wa chama chochote bali ni waa watanzania wote, Lakini tusisahau kuwa hatufungi kazi nchi nzima kwa kila tukio, maisha yanendela , na ndio kawaida ya uwanadamu. Sasa mimi sioni sababu ya kumlaumu Spika kutusitisha bunge kwa hilo. lakini nadhani Mhe Mbowe alikuwa anastahili pole kwani hata yeye amenusurika.

Mbona Slaa akuvunja safari yake kama msiba ni wa chadema,
 
Muda wao wa kubakia madarakani ni mfupi sana-HATUTAWAONA TENA WAKITUFANYIA KIBURI.
 

Tuko katika wakati mgumu, na msiba uliotokea sio wa chama chochote bali ni waa watanzania wote, Lakini tusisahau kuwa hatufungi kazi nchi nzima kwa kila tukio, maisha yanendela , na ndio kawaida ya uwanadamu. Sasa mimi sioni sababu ya kumlaumu Spika kutusitisha bunge kwa hilo.

Mbona Slaa akuvunja safari yake kama msiba ni wa chadema,

To be honest, you reason and sound very stupid.

So it seems you see it is ok for a Bunge session to be adjourned just because one party in the Bunge thinks they have been insulted as liberals?!?
 
Back
Top Bottom