Mbowe: Spika ni mtu wa ajabu sana!

Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,597
1,005
Freemani Mbowe amesema amesikitishwa na kitendo cha spika Anne Makinda kushindwa hata kumpigia simu kwa janga lililowakuta.

Ameendelea kusema amestushwa na Spika kuendelea na vikao vya bunge bila kujali kama kuna tukio baya kama yalivyokuwa matukio ya bom kanisani, kifo cha padri zanzibari na fujo mtwara vilivyosababisha bunge kuahirisha vikao vyake..
V.o.a
 
Ni kweli hata baada ya wabunge wa NCCR kuomba bunge lisitishe au lijadili suala hilo spika alipinga!
Hata wabunge wa CCM hawakuonyesha kuguswa hata kidogo!
 
bila shaka mh makinda anasubiri taarifa ya polisi ndipo atambue kwamba kuna tatizo arusha. tusubiri na tuone.
 
Hivi unawezaje kwenye halaiki kama ile ukamtambua mtu ama mfuasi wa. CHADEMA na yule wa CCM?

Itikadi unaiweka vipi kwenye mkusanyiko kama huo?
 
Hivi unawezaje kwenye halaiki kama ile ukamtambua mtu ama mfuasi wa. CHADEMA na yule wa CCM?

Itikadi unaiweka vipi kwenye mkusanyiko kama huo?

Ndo maana wanayatolea ofisini kwa sababu wakiambiwa wakaprove mahamani ni hakuna kitu.
 
Kuna siku yote haya tunayoyaona yatawatokea waasisi puani.
 
mh mbowe usiwe na wasiwasi kabisa kwa mimi ni mkristo naimani Mungu atawasimamia na iko siku mtasimama mkipewa heshima kubwa sana na mtafanya ambayo watanzania wanayataka na zaidi ya yote chama chochote kinachotaka kufa ndo hayo utokea lakini ukweli ni kwamba bunge la leo hata alijapata nafasi ya kusikilizwa na watanzania kwa sababu amkuwepo wapenzi wa wananchi ndani ya bunge leo.
 
Freemani Mbowe amesema amesikitishwa na kitendo cha spika Anne Makinda kushindwa hata kumpigia simu kwa janga lililowakuta.

Ameendelea kusema amestushwa na Spika kuendelea na vikao vya bunge bila kujali kama kuna tukio baya kama yalivyokuwa matukio ya bom kanisani, kifo cha padri zanzibari na fujo mtwara vilivyosababisha bunge kuahirisha vikao vyake..
V.o.a

Ni njia ya Mungu kutudhihirishia mchawi ni nani ktk hili
 
Kama waliplan na wakatekeleza yanini wapoteze muda wao kuahirisha vikao na washaahidi wataendelea kututawala kwa garama yoyote ile.
 
Kama waliplan na wakatekeleza yanini wapoteze muda wao kuahirisha vikao na washaahidi wataendelea kututawala kwa garama yoyote ile..
 
bila shaka mh makinda anasubiri taarifa ya polisi ndipo atambue kwamba kuna tatizo arusha. tusubiri na tuone.

Ndiuo maana siyo vizuri spika atokane na wabunge kwa sababu ni lazima atapendelea chama chake. Mtu huwezi kumjua tabia yake ni mpaka patokee la kutokea ndipo uweze kumjaji uwezo wake wa ku-handle unforseens.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ni kweli hata baada ya wabunge wa Nccr kuomba bunge lisitishe au lijadili suala hilo spika alipinga!
Hata wabunge wa ccm hawakuonyesha kuguswa hata kidogo!

wauaji wakubwa wataguswa na nini?
damu ya watanzania wasio na hatia itawaandama milele pamoja na vizazi vyao.
 
Freemani Mbowe amesema amesikitishwa na kitendo cha spika Anne Makinda kushindwa hata kumpigia simu kwa janga lililowakuta.

Ameendelea kusema amestushwa na Spika kuendelea na vikao vya bunge bila kujali kama kuna tukio baya kama yalivyokuwa matukio ya bom kanisani, kifo cha padri zanzibari na fujo mtwara vilivyosababisha bunge kuahirisha vikao vyake..
V.o.a

Roho yake Mbaya utafikiri ni mtu asiye na familia ..iwe Mume ,Mtoto ...Ndugu ...au hata Rafiki....Si Watanzania Wote Ni Ndugu?
 
Spika ajea hatakua na chama! Makinda ni CCM, bunge kalifanya kuwa taasisi ya CCM
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom