Mbowe: Spika ni mtu wa ajabu sana!

Mwanamke Kama huna mtoto huna mume si lazima uwe na chuki na Dunia, jini lina afadhali kuliko huyo kisafuru Kinda
 
Huyu mwanamke Makinda ameonyesha roho mbaya sana!!
Utadhani mchawi...!! Inaonekana hajaguswa kabisa na tukio lile....hii inaonyesha kweli lilipangwa na wate kina makinda walikuwa na habari juu ya nini kitatokea Arsh!
 
Siku atakapokufa shangazi yake ndo ataumia...ningesema wazazi ila nadhani hana...wangeshamkanya kitambo...
 
Hivi hamuumjui huyo mama nini,ana roho mbaya kuliko sura yake.ulizeni marajirani zake kijitonyama jinsi alivyowanyanyasa kwa kufunga barabara ya mtaa

I wish majirani wamchenjia km wale wabunge wa mtwara nyumba zao zilivyochomwa moto
.hawajaokoa ht kisoda....
 
Ni kweli hata baada ya wabunge wa Nccr kuomba bunge lisitishe au lijadili suala hilo spika alipinga!
Hata wabunge wa ccm hawakuonyesha kuguswa hata kidogo!
Kwani CDM mnawajua wabunge wa upinzani wa vyama vingine? Leo hata NCCR wamekuwa Wema kwenu lakini wabaya ck za Usoni. Mmegawana wenyewe madaraka mmewatupilia ya mbali wapinzan wengine.....
 
Akili ya mama mavifaranga imechoka,,, asidhani kuwa tunapenda anavyokwenda kana kwamba yupo kwenye nchi ya maboya
 
Bunge haliendeshwi kwa hisia wewe ni kanuni. Hv wewe mbowe wakati unatoa maagizo kuwa wabunge wote wasihudhurie vikao vya bunge na badala yake waende Arusha ulimtaarifu spika? Au uliondoka kama unaondoka kwa mkeo? Viongozi wengine bwana wanaropoka tuu bila kupima mambo. Utovu wenu wa nidhamu pelekeni huko huko barabarani.

We JINGA,
kama mtovu wa nidhamu kwa nini asichukuliwe hatua?hivi! Mumeo akiondoka kwenda matembezi bila kukuaga,akigongwa na gari akafa kwako hakuna msiba eeh!?akili ndogo sana inaweza kutambua kuwa lazima kuna uhusika kwa namna moja au nyingine,huitaji maprofesa,hayo ndiyo maChChEm!!
 
Huyu mwanamke Makinda ameonyesha roho mbaya sana!!
Utadhani mchawi...!! Inaonekana hajaguswa kabisa na tukio lile....hii inaonyesha kweli lilipangwa na wate kina makinda walikuwa na habari juu ya nini kitatokea Arsh!

Kumbe nyie mna roho nzuri au siyo? Mama wa watu ni mtumishi Mzuri wa Mungu sasa alitaka aache bunge awaunge mkono kwa kwenda AR? Leo kuna watalii wamelazimika kupitia Mwanza kwenda Serengeti badala ya AR. Wasipoangalia AR uchumi utakufa kabisa
 
nimefuatilia yote huu moyo usiothamini uhai wa mtu na kuona damu ya mtu kama damu ya mbuzi imetoka wapi?
Tutavuna laana kwa Mungu.
 
We JINGA,
kama mtovu wa nidhamu kwa nini asichukuliwe hatua?hivi! Mumeo akiondoka kwenda matembezi bila kukuaga,akigongwa na gari akafa kwako hakuna msiba eeh!?akili ndogo sana inaweza kutambua kuwa lazima kuna uhusika kwa namna moja au nyingine,huitaji maprofesa,hayo ndiyo maChChEm!!

Si mmeenda wenyewe kuomboleza? Sasa mke akizira akarudi Kwao mume afanyeje ?
 
nimefuatilia yote huu moyo usiothamini uhai wa mtu na kuona damu ya mtu kama damu ya mbuzi imetoka wapi?
Tutavuna laana kwa Mungu.

Lana gani ya kujitakia? Peleka ujinga wako FB kwa watoto wenzio. Tena nenda kalale kesho upendeze tuition asb
 
Freemani Mbowe amesema amesikitishwa na kitendo cha spika Anne Makinda kushindwa hata kumpigia simu kwa janga lililowakuta.

Ameendelea kusema amestushwa na Spika kuendelea na vikao vya bunge bila kujali kama kuna tukio baya kama yalivyokuwa matukio ya bom kanisani, kifo cha padri zanzibari na fujo mtwara vilivyosababisha bunge kuahirisha vikao vyake..
V.o.a

Pumba tu hana lolote Mbowe, akachezeshe disco bilicanas siyo bungeni.
 
Dawa ni kulipua kamkutano ka ccm kamoja kule njombe halafu tuone kama hatalia Kama mtoto.Siku hizi si hawajazi nyomi kwenye mikutano yao.
 
Kwani CDM mnawajua wabunge wa upinzani wa vyama vingine? Leo hata NCCR wamekuwa Wema kwenu lakini wabaya ck za Usoni. Mmegawana wenyewe madaraka mmewatupilia ya mbali wapinzan wengine.....
hayo ni matokeo ya alliance zilizo fanywa na ccm mara tu baada ya uchaguzi mkuu, sidhani kama unakumbuka wapinzani wengine wali side upande upi,
 
Back
Top Bottom