Mbowe: Spika ni mtu wa ajabu sana!

Huyo mama amewezeshwa na sasa ameweza.......hawa watu tuwape muda tu,siamini kama sala za watanzania walio wengi khs huu ukatili wa CCM Mungu anaziacha ziende bure atazijibu tu na CCM ndio watajua kuwa hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.
 
Mbowe hebu aache umburura, yani mauaji apange mwenyewe kwa faida zake za kishetani halafu anataka bunge liahirishwe???? After all waliokufa hawajafa kwa maslahi ya nchi bali kwa maslahi ya cockroaches. Acha wafu wazikane
 
kama siku nzima ilipotea kwa neno moja tu kwenye speech la uliberali, na halina madhara yeyote kwa maisha ya watanzania, leo hawaoni umuhimu wa kusitisha siku moja kwa kuwa watanzania wamekufa? hilo bunge ni la nani? hata wale waliberali walitakiwa watoke kwa kuwa slogan yao ni watu wote ni sawa, wale walokufa sio sawa na wengine? ccm wanasema maendeleo kwa watanzania wote, je walokufa sio watanzania? nimejiuliza haya sijapata majibu
 
Mbowe hebu aache umburura, yani mauaji apange mwenyewe kwa faida zake za kishetani halafu anataka bunge liahirishwe???? After all waliokufa hawajafa kwa maslahi ya nchi bali kwa maslahi ya cockroaches. Acha wafu wazikane

a typical lumamba lunatic at work. watu type yenu c watanzania,mpotayari watu wafe ili muibie wanyonge mle na msaze! blood clot notradamme,shame on you.
 
Bora hata hakumpigia kwani kuongea na mtu kama Bi-Kiroboto ni kujitafutia mikosi na nuksi kwa mambo unayofanya
 
Mbowe hebu aache umburura, yani mauaji apange mwenyewe kwa faida zake za kishetani halafu anataka bunge liahirishwe???? After all waliokufa hawajafa kwa maslahi ya nchi bali kwa maslahi ya cockroaches. Acha wafu wazikane

Ubarikiwe huenda wewe hutakufa
 
Kama waliplan na wakatekeleza yanini wapoteze muda wao kuahirisha vikao na washaahidi wataendelea kututawala kwa garama yoyote ile.
Kwani wewe huoni bajeti ya serikali inavyojadiliwa kwa kuweka uswahiba mbele bila mikikimikiki ya majembe ya Chadema yakiwa mjengoni!!! hiyo iliplaniwa ili bajeti ipite smooth bila kikwazo!!! hapo sasa ndio watanzania tujifunze umuhimu wa kuwa na wabunge wengi wa upinzani otherwise tutakuwa tunadanganywa kila siku na nchi yetu inaendelea kufilisiwa rasilimali zake!!!!
 
Back
Top Bottom