kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,432
- Thread starter
- #81
mmeshaanza kunyooka nchi bila uzembe na ufisadi inawezekana!Bila SMG you are nothing
mmeshaanza kunyooka nchi bila uzembe na ufisadi inawezekana!Bila SMG you are nothing
Alitambulishwa kingunge na maisha yanaendelea mpaka leo hii!
Heshima imerudi na wanatii sheria sasa!Nimeona video moja ya ubungo, Mbowe alikuwa ana wasi wasi na mda haina mfano, alikuwa anaogopa kupitiliza mda aliopangiwa na waliompa ruhusa ya kuongea tofauti na enzi zile.
Ni ndoto kama unavyoota huku unaandika!Na atatambulishwa Huyu na bado maisha yataendelea. Ila 2020 kipenga kikilia mechi itakuwa ngumu sana na transfers from your side to this side zitakuwa nyingi na Refa akiwa fair usishangae Africa Kubeba KOMBE LA DUNIA.
Ndio maana naomba Mungu itikadi za vyama zisitawale akili yangu maana maana hutataka kuusema ukweli hata kama upo simply upo kiitikadi zaidi.Atatoa wapi ujasiri wakati kageuza chama kuwa "safe haven" ya mafisadi? Shame
Maccm ,Yaani mumfilisi mtu mali zake zote .bado tuu mnafuata mpaka na roho yake sasa .hii kujiamini ni roho ya mtu kwa maana hiyo maccm mnataka roho sasa .mshindwe na kulegeaNajaribu kumwangalia mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Aikael Mbowe si yule mMowe tuliomzoea, Mbowe amepoteza kujiamini, inaonyesha kuna kitu kikubwa kinasumbua na kitu hicho si kingine ni ile ahadi ya Mbowe CHADEMA kushika dola,
Mbowe amekua muoga kiasi ana wasiwasi kwa wafuasi wake wanataka kujua ni faida gani waliopata mpaka sasa kwa ujio wa Lowassa kiasi kwamba hata kama Lowassa asingejiunga mafanikio hayo wangeyapata tu.
Ujio wa Nyalandu bado nafsi inamsuta, Mbowe hailezi kwanini chini ya uongozi wake chama kimedumaa japo kimepata pesa nyingi lakini hazisaidii chama,
chama kimepata majina ya mafisadi maarufu lakini bado umaarufu wao hausaidii chama.
Mbowe leo hii amebaki na sababu isiyo na mashiko ya Rais Magufuli ni dikteta, mpaka leo hii Mbowe ameshatoa matamko kama mia ya kuishutumu serikali lakini Mbowe huyu hajaguswa wala kukamatwa.
Dikteta gani anaweza kukuacha tu, kuitwa polisi ukaenda kuhojiwa na kutoka huko si kukamatwa, anawadanganya wafuasi watiifu wadai haki, haki gani asiyo kuwa nayo Mbowe gari ya serikali alikwenda nayo mpaka nairobi kwa shughuli za chama na binafsi lakini serikali kimya.
Nafikiri imetosha serikali imuonyeshe mpera mpera wa siku moja tu ili ajue kama yupo huru, kuku wa kizungu hata ukimuacha huru atajihisi ayupo huru, punda haendi bila viboko.
Kampeni za nini ilihali madiwani washanunuliwa na CCM
Mbowe Wamemfilisi haijatosha sasa wanataka na roho wamfilisi !! ndio bunduki inapokuja sasaBunduki ya nini ??
Hotuba gani ya baba jesca inaitaji ufafanuzi kuieleewa wee kipara kipya !!??umeifafanua mwenyewe au amekufafanulia zitto!

Amejenga amelima kwenye vyanzo vya maji alikua anadaiwa akajifanya jengo anamiliki kumbe mpangaji sasa wapi alipofilisiwa!Maccm ,Yaani mumfilisi mtu mali zake zote .bado tuu mnafuata mpaka na roho yake sasa .hii kujiamini ni roho ya mtu kwa maana hiyo maccm mnataka roho sasa .mshindwe na kulegea
Hakuna kinachomzuia kuzungumza habari ya siasa,hakuwa kwenye kampeni ya kusema chagua fulani!Uhuru gani unaousema? Wa kuingiza siasa wakati wa kutoa 'kamisheni' kwa wanajeshi? Pole sana.
hiyo "leo hii" ni baada ya kuwataja mafisadi halisi. aliowataja wasingekuwa ndiyo mafisadi wenyewe halisi basi wangemtaja fisadi wanayemjua na sasa angekuwa yupo Segerea.
Matumaini kwa nan!? Maana wewe ni lumumba inamaana ata nyie lumumba mlikua mnamatumaini na CHADEMA? Kwann msiseme mapema kwamba sisi vijana wa lumumba tunamatumaini na imani na chadema...mmepoteza matumaini kabisa!
Yule mbunge muuza kahawa aliye owa house Girl mbona anamatusi sanaa na hakamatwi... Unakumbuka ile kauli et cdm imepata dume inamaana huko alikoenda kunamajike.... Acha double standard inzi weeSema nashangaa kwanini kamanda siro anawaruhusu hawa wahuni kufanya kampeni za kihuni kutukana serikali badala ya kujenga hoja za maendeleo, kwa nini wasichambue sera zao? Mbona CCM tunajinadi kwa sera wao kwa nini utasikia eti serikali inatuminya uhuru?? Mbona ndani ya hilo li chama mfu lake mbowe mtu akisema Mbowe dikiteta anafukuzwa uanachama
Mbowe anayesemwa kapooza na ni muoga na hawa mavuvuzela jana aliuwasha moto akifungua kampeni Saranga.