Mbowe sio yule tuliyemzoea

Najaribu kumwangalia mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema freeman aikael mbowe si yule mbowe tuliomzoea,
mbowe amepoteza kujiamini,inaonyesha kuna kitu kikubwa kinasumbua na kitu hicho si kingine ni ile ahadi ya mbowe chadema kushika dola,

mbowe amekua muoga kiasi ana wasiwasi kwa wafuasi wake wanataka kujua ni faida gani waliopata mpaka sasa kwa ujio wa lowassa kiasi kwamba hata kama lowassa asingejiunga mafanikio hayo wangeyapata tu.

ujio wa nyalandu bado nafsi inamsuta,mbowe hailezi kwanini chini ya uongozi wake chama kimedumaa japo kimepata pesa nyingi lakini hazisaidii chama,
chama kimepata majina ya mafisadi maarufu lakini bado umaarufu wao hausaidii chama,

Mbowe leo hii amebaki na sababu isiyo na mashiko ya magufuli ni dikteta,mpaka leo hii mbowe ameshatoa matamko kama mia ya kuishutumu serikali lakini mbowe huyu hajaguswa wala kukamatwa.

Dikteta gani anaweza kukuacha tu,kuitwa polisi ukaenda kuhojiwa na kutoka huko si kukamatwa,anawadanganya wafuasi watiifu wadai haki,
haki gani asiyo kuwa nayo mbowe gari ya serikali alikwenda nayo mpaka nairobi kwa shughuli za chama na binafsi lakini serikali kimya,

Nafkiri imetosha serikali imuonyeshe mpera mpera wa siku moja tu ili ajue kama yupo huru,
Kuku wa kizungu hata ukimuacha huru atajihisi ayupo huru,punda haendi bila viboko!

Kampeni za nini ili hali madiwani washanunuliwa na ccm,
eti chama kimedumaa? are you serious?
 
Tulia uandike.

Hueleweki
 
Risasi.
Tanzania si salama tena.

Watanzania daini katiba mpya ccm itoke vinginevyo mtapata tabu sana
 
Nimeona video moja ya ubungo, Mbowe alikuwa ana wasi wasi na mda haina mfano, alikuwa anaogopa kupitiliza mda aliopangiwa na waliompa ruhusa ya kuongea tofauti na enzi zile.
 
Mimi siyo ccm wala chadema ila namkubali Mbowe kiko wanasiasa wote wa pande zote. Ana hekima kubwa na sijawa
 
Kwa taarifa yako ujio wa lowasa chadema umewaongezea mtaji mkubwa sana wa wabunge.wewe hujui tu
 
Similar Discussions

12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom