Hii Jamii Forum sasa inazidi kushuka daraja!!Mtu mmoja anakuwa anajiuliza na kujijibu karibu ukurasa mzima!Kama anamdai Mbowe si amfuate huko aliko.Maana hoja za msingi na zenye ukweli huwa hazikai,na zinapewa jina HOJA CHOCHEZI! Sasa huo mchango wa hiari aidiaje kutatua matatizo yetu kama jamii? Ndiyo maana tunatukanwa kuwa sisi ni WAPUMBAVU NA MALOFA kwa sababu ya watu kama hawa!unatus
Hata mimi nahitaji nirudishiwe pesa yangu.
Mbowe uchaguzi unakaribia,hela ulizokusanya mpaka sasa hatujajua ulipata kiasi gani na umetumiaje?Tunaomba kama kazi hiyo imekushinda basi turudishie michango yetu,wananchi tumejinyima kuwachangia ila tunaona wanaonufaika ni wachache tu
Mbowe mwizi tu

Mbowe rudisha hela zetu
tuliyochanga tunajua pesa zetu zinatumikaje,!! Na ww nakuuliza twiga wetu wako wap?
Arudishe kweli