Mbowe rudisha hela zetu

Mbowe rudisha hela zetu

RudishafedhazetuRudishafedRudishafedhazetuhRudishafedhazetuRudishafedhazetuRudishafedRudishafedhazetuhRudishafedhazetuRudishafedhazetuRudishafedRudishafedhazetuhRudishafedhazetuRudishafedhazetuRudishafedRudishafedhazetuhRudishafedhazetuRudishafedhazetuRudishafedRudishafedhazetuhRudishafedhazetu
 
Daaaaahh,naumia balaaaa ImageUploadedByJamiiForums1445540429.440661.jpg
 
RudishafedhazetuRudishafedRudishafedhazetuhRudishafedhazetuRudishafedhazetuRudishafedRudishafedhazetuhRudishafedhazetuRudishafedhazetuRudishafedRudishafedhazetuhRudishafedhazetuRudishafedhazetuRudishafedRudishafedhazetuhRudishafedhazetuRudishafedhazetuRudishafedRudishafedhazetuhRudishafedhazetu

Wangeanza na escrow
 
ImageUploadedByJamiiForums1445606753.731254.jpg nina wasi wasi hata huyu mzee wa watu atakuwa kazimwa mkwanja,maana hana furaha,mawazo kila saa maskini
 
:glasses-nerdy:Leo ndo mnashtuka eeeeeh! Hamjui kuwa Mbowe ni mfanya biashara kupitia Siasa? Anatafuta kupewa dhamana kubwa katika Taifa hili, lakini tuhuma za kupewa bilioni 3 na Lowassa, kuingiziwa ktk akaunti yake binafsi fedha za Chama na kuzihamisha fedha kwa ujanja ujanja hataki kujibu, kwa nini anapotezea wakati zinamchafua? mbaya zaidi waliotoa tuhuma hizo waliweka wazi kuwa akibisha watatoa ushahidi!! mbowe yupo kimyaaaa! Mbowe kwa nini akae kimya kwa tuhuma hizo? hata kama anazizadharau sisi wengine zinatusumbua. Au Mbowe anatuona Watanzania wote anaotarajia kutuongoza endapo Chama chake kitashinda ni VIAZI / VILAZA?. NATAFUTA CHAMA CHENYE NIA YA DHATI KUWAKOMBOA WATANZANIA CHENYE VIONGOZI NA SIYO WAFANYA BIASHARA KUPITIA SIASA.
 
Tutasikia Mbowe ndiye alikuwa anagawa pesa za Tegeta ESROW na sasa tunamdai. CCM wameshika kila tawi bado miti inateleza zaidi na zaidi. Mwaka huu mtahangaika hadi muone cheche! Shukrani kwa Kamanda Mbowe. Mungu akulinde hadi Tanzania ipate uhuru na tuishi kushuhudia mabadiliko ya kweli na sii ahadi feki za kina Nepi Mnauye.
 
mnakumbuka shuka wakati kumekucha, fedha ameshahamisha nje ya nchi, bakini na mkono shavuni, mfanyabiashara anajali maslahi yake binafsi kuliko maslahi ya watu wengine. poleni sana Upawa
 
Back
Top Bottom