Mbowe rudisha hela zetu

Mbowe rudisha hela zetu

Wewe siyo ukawa wewe ni chok. .. fulani uliyepewa buku7 kuja kueneza habari za uongo.
Nenda kashikishwe ukut....A huko
 
Au mwenye namba ya mbowe ampe ampigie,wakat unachanga aaahh ulikuwa unakenua meno!sasa hivi hapa unalalama kwa kutushirikisha
 
Wakati unachangia hiyo fedha ulipewa risiti?, Ulishaambiwa fedha bila daftari(risiti) hupotea bila kujua. Sisi tujajua ulichangia kiasi gani? Fedha utupie kwenye kapu halafu umuulize Mbowe yeye atajua ulitupia kiasi gani, umeshaingizwa mjini, hatutarajii mtu yeyote atakupa mapato na matumizi wakati unaona helcopter zinazunguka angani au zinatumia maji badala ya mafuta?
 
MBOWE RUDISHA HELA ZETU:
Sisi kama wana ukawa tuna haki ya kuuliza mapato na matumizi ya hela tulizochangia!MBOWE kama umeshindwa kutoa hesabu ya fedha tulizochanga na matumizi yake,tunaomba uturudishie!Watanzania tumeshtuka

kaka umejiunga tarehe 27 September 2015. Hongera sana . Unachokidai ni haki na wajibu wako na unatakiwa kufanya hivyo kuna njia ya kuandika barua au kwenda pale ofisii kwao na kudai taarifa natumaini watakuwa information ambazo siyo classified.Nakumbuka mimi nilikuwa kama wewe ila nashukuru niliandikaga barua na kwenda ofisi ya halmashauri kuomba habari nilipewa na nina amini huwa tunalalamika bila kutoa usahihi na kutafuta wenyewe kwanza.
 
Turudishie feza zetu, umezipiga zote.
 
Jamaa kama keshavuta fuba lake we sa utafanyaje!Labda weka namba yako hapa na kiasi ulichochanga,ukawa atakae kuwa na huruma atakutumia!
 
kaka umejiunga tarehe 27 September 2015. Hongera sana . Unachokidai ni haki na wajibu wako na unatakiwa kufanya hivyo kuna njia ya kuandika barua au kwenda pale ofisii kwao na kudai taarifa natumaini watakuwa information ambazo siyo classified.Nakumbuka mimi nilikuwa kama wewe ila nashukuru niliandikaga barua na kwenda ofisi ya halmashauri kuomba habari nilipewa na nina amini huwa tunalalamika bila kutoa usahihi na kutafuta wenyewe kwanza.

Hata mimi nahitaji nirudishiwe pesa yangu.
 
MBOWE RUDISHA HELA ZETU:
Sisi kama wana ukawa tuna haki ya kuuliza mapato na matumizi ya hela tulizochangia!MBOWE kama umeshindwa kutoa hesabu ya fedha tulizochanga na matumizi yake,tunaomba uturudishie!Watanzania tumeshtuka

Weka humu audited Financial Statement ya CCM.
CCM ni wezi sana, hivi unajua kifo cha baba wa taifa Nyerere kina utata?Sokoine naye kifo chake cha wasiwasi,Komba aliposema tu anamtaka Lowassa kuwa rais hajavuta muda kafariki...........................................Watanzania nchi yetu ni ya kidemokrasia fanyeni maamuzi magumu kuwaondoa CCM vinginevyo mtabaki kulalama kumbe mchawi wenu ni ninyi wenyewe
 
Hatuishi kwa mazoea, tunataka kilicho chetu, ni haki yetu kwa nini tudhulumike.
 
Hivi kuna uwezekano kweli wa hizo hela kurudi kwani??
 
Weka namba account pamoja kiasi unachodai mkuu urejeshewe fasta.
 
Back
Top Bottom