kiwa k khalidi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 300
- 67
Kuna majambazi yamekusanyika pale kwenye poli la kijiji cha ukawa yanataka usiku yanataka kufanya uhalifu
Feza hawezi kurudisha huyu.
Mbowe hawezi kurudisha hizo hela,acheni kulalamika,cha kufanya ninyi mshaurini aanzishe tena harambee
MBOWE RUDISHA HELA ZETU:
Sisi kama wana ukawa tuna haki ya kuuliza mapato na matumizi ya hela tulizochangia!MBOWE kama umeshindwa kutoa hesabu ya fedha tulizochanga na matumizi yake,tunaomba uturudishie!Watanzania tumeshtuka
Hivi naomba kuuleza,hakuna utaratibu wa kisheria juu ya hizo helaa?Kuna yule jamaa alikuwa Mc hakihamasisha watu yule,vipi hatuwezi muuliza?anaweza kuwa anajua lakini?ni wazo tuuu lakini katika harakat za madai
Ukiwa mashabiki ni bubu, hakuna wa kuuliza
Mbowe kapiga zake muda si mrefu atakimbia.
Umeshtuka wewe na ccm yako siyo sisi ukawa ulilazimishwa? wewe ndo hamnazo kweli kweli. ishia huko na pumba zako huna hata haya,MBOWE RUDISHA HELA ZETU:
Sisi kama wana ukawa tuna haki ya kuuliza mapato na matumizi ya hela tulizochangia!MBOWE kama umeshindwa kutoa hesabu ya fedha tulizochanga na matumizi yake,tunaomba uturudishie!Watanzania tumeshtuka
Tuthibitishie kama ulichangia halafu ndio uje kudai hiyo ela yako.MBOWE RUDISHA HELA ZETU:
Sisi kama wana ukawa tuna haki ya kuuliza mapato na matumizi ya hela tulizochangia!MBOWE kama umeshindwa kutoa hesabu ya fedha tulizochanga na matumizi yake,tunaomba uturudishie!Watanzania tumeshtuka