mfanyabiashara hawezi kurudisha hela hizo, ameshakula.
MBOWE RUDISHA HELA ZETU:
Sisi kama wana ukawa tuna haki ya kuuliza mapato na matumizi ya hela tulizochangia!MBOWE kama umeshindwa kutoa hesabu ya fedha tulizochanga na matumizi yake,tunaomba uturudishie!Watanzania tumeshtuka

Mbowe ms Henri sana kawaliza watu na akili zaoKiendacho kwa mganga hakirudi...
Jaamaaa atatoa lini mahesabu ya hela zetu jaman,uchaguzi ndo huo tenaa unakaribia,tunakubali kupigwa kweli na wajanja hivi hivi?