Mbowe rudisha hela zetu

Mbowe rudisha hela zetu

Mi naomba mnikumbushe ile acc namba ya chadema,ili nichangie zingine tena😜
 
MBOWE RUDISHA HELA ZETU:
Sisi kama wana ukawa tuna haki ya kuuliza mapato na matumizi ya hela tulizochangia!MBOWE kama umeshindwa kutoa hesabu ya fedha tulizochanga na matumizi yake,tunaomba uturudishie!Watanzania tumeshtuka

Hapa tunasema huo ni wizi,hatudanganyiki tena
 
Mbowe uchaguzi unakaribia,hela ulizokusanya mpaka sasa hatujajua ulipata kiasi gani na umetumiaje?Tunaomba kama kazi hiyo imekushinda basi turudishie michango yetu,wananchi tumejinyima kuwachangia ila tunaona wanaonufaika ni wachache tu

Duuuuuhhhh������

Mbowe mwizi tu

Mbowe rudisha hela zetu

Hela gani hizo za kuchangisha hata mahesabu hakuna bhana,poleni mliochanga

Aturudishie hela zetu

Ukiwa bana mnatapatapa sana

Arudishe kweli

Mti mkubwa ukigwa, wana wa ndege huyumba.
Kutwanga pilipili faida kukohoa.

Mtakohoa mpaka damumwaka huu.
 
Jamaa unautumia huu mwanya wa vijana kudai wameichoka ccm vizuri saana aisee! na hakuna wa kuhoji! ukihoji msaliti mpinga mabadiliko! alianza kidogo kidogo,
1.Ondoa Chacha wangwe
2.Ondoa zito na wenzake.
3.Honga cuf nafasi za uwaziri kivuli bungeni kuunda ukawa
4.Kusanya michango kwa M4C bila kuhojiwa
5.Uza chadema
6.Ondoa Dr Slaa
7........
8........
Na sasa anaendelea kula bata tu kwa kivuli cha vijana eti wameichoka ccm, mpaka waje kustuka kwamba wanatumika kwa maslahi ya wachache itakuwa too late!
Khaa!! Waache bana mmoja mmoja anafunguliwa kwenye paketi anatumiwa kisha anatupwa jalalani. Ndiyo maisha waliyochagua
 
Hahahaaa ulilazimishwa kuchanga... Okay nimeelewa itakua hujameet target ya matusi ili ulipwe manake ofisi masaki afu unakula bure lazima umeet target... Mna kazi.. Ila kazi zingine buana.. Manake hutofautiani na shoga..
 
MBOWE RUDISHA HELA ZETU:
Sisi kama wana ukawa tuna haki ya kuuliza mapato na matumizi ya hela tulizochangia!MBOWE kama umeshindwa kutoa hesabu ya fedha tulizochanga na matumizi yake,tunaomba uturudishie!Watanzania tumeshtuka

Hiyo ni dhuluma
 
Kama hujui kile chama ni cha ukoo,mbowe ni mkwe wa mtei!So jamaa ndani ya chama anauwezo wa kufanya lolote analoamua na hakuna anaempiga,ukinyanyua tu mdomo,unatolewa ndani ya chama

Uliongea sana hapa,nimeamini hili
 
Kalaghabao ..Mangi kaenda kuongeza duka jingine kwa pesa ya kuchangiwa, Mbowe amefanya ujasiriamali ......unalipaaaaaaaaaaaaaaaaaa! mtu mwaizi, tapeli, muongo na mulaghai kama Mbowe ni wa kumwepuka kama ebora
 
Kalaghabao ..Mangi kaenda kuongeza duka jingine kwa pesa ya kuchangiwa, Mbowe amefanya ujasiriamali ......unalipaaaaaaaaaaaaaaaaaa! mtu mwizi, tapeli, muongo na mulaghai kama Mbowe ni wa kumwepuka kama ebora
 
Kuna watu wanatakiwa wakapimwe Akili utadaije, huku kwenye mtandao? Ulisha ambiwa mbowe ni born town. Kwani mbowe alilazimisha watu kuchangia?
 
Hizi nazo ni sehemu ya sera za ccm? Nilifikiri mambo km haya yapo FB peke yake.
 
Back
Top Bottom