Mbowe rudisha hela zetu

Mbowe rudisha hela zetu

Na tar 10 hapa jamaa atapiga harambee tena,manina walahi,nataman nami nianzishe chama,maana hela nje nje tuu
 
Jamaa unautumia huu mwanya wa vijana kudai wameichoka ccm vizuri saana aisee! na hakuna wa kuhoji! ukihoji msaliti mpinga mabadiliko! alianza kidogo kidogo,
1.Ondoa Chacha wangwe
2.Ondoa zito na wenzake.
3.Honga cuf nafasi za uwaziri kivuli bungeni kuunda ukawa
4.Kusanya michango kwa M4C bila kuhojiwa
5.Uza chadema
6.Ondoa Dr Slaa
7........
8........
Na sasa anaendelea kula bata tu kwa kivuli cha vijana eti wameichoka ccm, mpaka waje kustuka kwamba wanatumika kwa maslahi ya wachache itakuwa too late!

Upo swahia
 
MBOWE RUDISHA HELA ZETU:
Sisi kama wana ukawa tuna haki ya kuuliza mapato na matumizi ya hela tulizochangia!MBOWE kama umeshindwa kutoa hesabu ya fedha tulizochanga na matumizi yake,tunaomba uturudishie!Watanzania tumeshtuka
njaa yako inahusiana vipi na mbowe ?
 
MBOWE RUDISHA HELA ZETU:
Sisi kama wana ukawa tuna haki ya kuuliza mapato na matumizi ya hela tulizochangia!MBOWE kama umeshindwa kutoa hesabu ya fedha tulizochanga na matumizi yake,tunaomba uturudishie!Watanzania tumeshtuka

Wizi ni mbaya sana
 
if you are supporter of Ukawa Don't Ask Dont Sell policy is highly applied...fanya yako
 
MBOWE RUDISHA HELA ZETU:
Sisi kama wana ukawa tuna haki ya kuuliza mapato na matumizi ya hela tulizochangia!MBOWE kama umeshindwa kutoa hesabu ya fedha tulizochanga na matumizi yake,tunaomba uturudishie!Watanzania tumeshtuka

if you are supporter of Ukawa Don't Ask Dont tell policy is highly applied...fanya yako chama cha familia hiki meku.
 
Subili ikishindwa urasi hiyo cdm ndoo patachimbika kwamaana el atadai hela yake aliyo tumia kwenye kapeni zikatwe kwenye ruzuku na mbowe atakataa hapo patam.waombe mungu wachukue nchi naona kuna kasheshe kati ya mbowe na el
 
MBOWE RUDISHA HELA ZETU:
Sisi kama wana ukawa tuna haki ya kuuliza mapato na matumizi ya hela tulizochangia!MBOWE kama umeshindwa kutoa hesabu ya fedha tulizochanga na matumizi yake,tunaomba uturudishie!Watanzania tumeshtuka

Mbowe rudisha pesa za watazania bhnaaa
 
MBOWE RUDISHA HELA ZETU:
Sisi kama wana ukawa tuna haki ya kuuliza mapato na matumizi ya hela tulizochangia!MBOWE kama umeshindwa kutoa hesabu ya fedha tulizochanga na matumizi yake,tunaomba uturudishie!Watanzania tumeshtuka

Sasa mbowe anakurudishia Huku jamii forum? Akili au matope wewe
 
Nahic hizi account ni maalum kwa kazi hii nimejaribu view post na topic zake eti inasema hana post walaa topic nimepata mashaka hapa
 
MBOWE RUDISHA HELA ZETU:
Sisi kama wana ukawa tuna haki ya kuuliza mapato na matumizi ya hela tulizochangia!MBOWE kama umeshindwa kutoa hesabu ya fedha tulizochanga na matumizi yake,tunaomba uturudishie!Watanzania tumeshtuka

Poleni sana wana Chadema Kama Ndio mnamjua Mbowe Leo nawapa pole wenzenu tunamjua siku nyingi kuwa ni mpigaji usitarajie kurudishiwa hizo hela wala kupata taarifa ya fedha
 
Back
Top Bottom