kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,257
- 13,265
MBOWE RUDISHA HELA ZETU:
Sisi kama wana ukawa tuna haki ya kuuliza mapato na matumizi ya hela tulizochangia!MBOWE kama umeshindwa kutoa hesabu ya fedha tulizochanga na matumizi yake,tunaomba uturudishie!Watanzania tumeshtuka
Sasa we mwana CCM ilikuwaje ukachangia ukawa?au unadhani atukufamu?