utazani ulikuwepo meza moja na mama na MWAMBA MBOWEAongee nini wakati mama kaenda kule lupango kabla na kumwambia.. 'wewe mangi nimeambiwa unafungwa. Ushahidi upande wa mashitaka wameshaona una hatia makosa manne kati ya matano. Wanasheria wananambia hata ukijitetea vipi huwezi chomoa makosa yote.
Kwa hivyo kama unakubali kufunga domo lako na kujidai wewe ndio unajua haki ni nini kuliko watu wote nchini, kama mkuu wa nchi na serikali nitamuomba dpp akufutie mashitaka. Lakini ujue ukileta ujuaji tunarejesha kesi iendelee ilikoishia. Kama unakubali nijibu hapahapa.
Sijakuja kwa mkutano au mapatano yoyote'. Mbowe akajibu haraka .. 'naam mama nakubali naona maji kina kimezidi nazama niokoe' mama akaondoka.
🖕Mchele laaiiiniiiiii kutoka Ngwandagwamashimo
Ushamba mzigo sana na kwa sasa nafurahi sana kwani sukuma gang tumewapiga za shingo.[emoji867]
Mzee wako Nyerere hakutaka vyama vingi. Yeye alipiga marufuku vyama vingi muda mchache tu baada ya kuingia madarakani.
Aliyerudisha vyama vingi ni Mzee Ruksa, Rais Ali Hassan Mwinyi. Kumbuka hilo.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
🖕🖕Ushamba mzigo sana na kwa sasa nafurahi sana kwani sukuma gang tumewapiga za shingo.
Sasa hivi mnashinda mnadanga tu mitaani,enzi zenu za kushinda kwenye korido za ofisi za serikale zimekwisha dadeeki na hapo bado.
Una haraka kama cha kwanza!!! Mwamba kaahidi kuzungumza subiri wakati muafaka ufike ndugu.Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!
My opinion
Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?
Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!
Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158
Mleta mada "seems to have pure characteristics of a low -resource person". Samahani kwa hilo.Ninyi watu mna shida kubwa sana. Mdomo ni wa kwake, lakini mnalazimisha uwe wa kwenu!
Koryooooo[emoji867][emoji867]
Mbowe ni kiongozi mwenye kujawa na hekima na weledi wa hali ya juu, ni mtu mstaarabu, mvumilivu, na mwenye subira.Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!
My opinion
Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?
Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!
Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158
NyololoooooKoryooooo
Zipo video clips kwa hayo uyatakayo, uwe unapitia na YouTube, au vifurushi vya data za video vinakupiga chenga?
Kishasema kaenda kumshukuru Rais. Unataka nini zaidi?
Hakika unaonyesha ulivyo mweupe..Mweupe ni aliye kuzaa
Mweupe ni aliyekuzaaHakika unaonyesha ulivyo mweupe..
Mkuu wewe jinsia gani?..Zoba kazini
Akinyamaza mnamchochea aongee,Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!
My opinion
Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?
Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!
Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158
Unateseka kwani we ni mbwa?Sasa matusi ndio hoja?
Kama godbless lema alisema hivyo basi alitabiri vizuri.Yaani na wewe ulimuamini Godbless Lema?
Bure kabisa!