Parachichi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2008
- 510
- 104
anasema ikitokea wameshindwa kuzalisha umeme hawailipi serikali!ilihali kila mwez tunawalipa capacity charges
la muhimu nililolisikia ni kuwa watatumia nguvu ili umeme unaoenda nyamongo mgodini utatumika na wananchi!kasisitiza wataushusha kwa nguvu.
sasa hv anachangia Mwijage!anaanza kusema amepatwa na matatizo jimboni kwake!katika kata yake kuna uvamizi,migomba inakatwa,n a pia tembo wanasumbua
hivi kiongoz wa upinzani anatumia lugha ya matusi kwa manufaa ya nani? sisi wapiga kura tunamuelewa?
nadhani itakua poa kama atakua MkeoTanesco wamenifanya masikini kabisa,Nitakapoanza kulipiza Kisasi kwa Tanesco nani atakuwa supporter wangu?
Bora ajiunge na movie za bongo maana acting yake ni babu kubwa... hana maana yeyote huyu ****.Mbowe ni Mbunge pekee anayeongea kwa hisia kali na za ukweli,wengine wanaigiza.