Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
Makamba what r u waiting for!
Amang'ana Mura???Si ndiye Makamba huyuhuyu ambaye wiki 3 zilizopita mlimponda sana hapa jamvini kuwa amekula hongo kutoka Barricks. Leo amegeuka lulu na kuanza kumpongeza? Kweli nimeamini akili za MAGWANDA ni ndogo zaidi ya haradari.
Nakuunga mkono kwa hilo ni wapumbavu sana hawa watu,hakuna la maana wanalojua zaidi uongo.Huna aibu wewe?? Badala ya kuongelea habari ya umeme kuwaka au kutowaka unaongelea kushikwa mashati... Ndio nyie hata hela ya jenereta hamna na hapo umevizia computer za ofisini umeme bure ukirudi home mnapikia kuni lakini unajifanya huoni matatizo kukubwa kwako ni Mbowe kushikwa shati zaidi ya hili giza. We lazima ni mpemba tu unaonekana mvivvu sana we mke wa malaria sugu
Kula hongo kunabaki pale pale hakufutwi na hotuba nzuri.Si ndiye Makamba huyuhuyu ambaye wiki 3 zilizopita mlimponda sana hapa jamvini kuwa amekula hongo kutoka Barricks. Leo amegeuka lulu na kuanza kumpongeza? Kweli nimeamini akili za MAGWANDA ni ndogo zaidi ya haradari.
Wewe ni type ya wabunge wa CCM wanaopinga kila kinacholetwa na wapinzani na kushangilia kila uozo wa CCM.Kuna mtawala mmoja wa Russia enzi hizo aliwahi kusema mawazo ya wananchi yaliyo mengi ni upuuzi cha msingi wakupende ila ni vigeugeu tu.
Mbowe leo akimsifia Rostam utaona hapa JF pro-Mbowe wote wanamsifia na kumpamba.
Mna shida kweli nyie wenye mapenzi na viongozi.
Hiyo clip ungeupload youtube halafu mwaga link jamvini!!msaada please nisadie niweke clip ya mbowe kuporomosha matusi bungeni
Nadhani la kupigwa tusubiri mjadala wa wizara ya mambo ya ndani ya nchi. Au siyo?!amesema haungi mkono hoja hadi apate majibu ya maswali yake!anasema vijijin kwao hakuna umeme!mbona haongelei lile la kupigwa?