Mbowe naye ni Mfanyabiashara na Mwanasiasa

Kwa vilaza wa CCM.. nataka mfahamu kwamba hakuna kiongozi au mwanachama wa chama anayekatazwa kuwa mfanyabiashara, isipokuwa chaa kinaposhika madaraka na ukateuliwa kuongoza SERIKALI, chagua moja, acha biashara ijiendeshe kama shirika huru au liweke sokoni jiondoe ktk uongozi wa shirika.. Huwezi kuwa na ofisi mbili wakati unalitumikia Taifa... Nadhani hata JK ktk kujivua gamba mwaka 2007 aliwaambia mawaziri wake waache kujihusisha na biashara lakini kashindwa utekelezaji wa sheria hii (kama kawaida yake) kwani Azimio la zanzibar limemfunga kengele..
 
swala sio kuwa mfanyabiashara ila je biashara zako za halali na sio za kuiba fedha za umma kama rostam na lowassa??george bush alikuwa mfanyabiashara mzuri wa mafuta lakini haikuwa biashara ya kifisadi
baba yake george bush mkubwa si alipewa kisiwa kizima azalishe mafuta na CIA wapate hela za kufanya ufisadi duniani, ndo wanaita black budget huko wanahonga honga kwa magaidi
 
Hata Ndesamburo ni Tajiri na ni Mfanyabiashara! Chadema wanaseama mfanyabiashara wa Chadema ni mzalendo kuliko yule aliyepo CCM! Unafiki mtupu!

Usipotoshe ukweli........CHADEMA wanataka viongozi walio katika serikali wasifanye biashara.....sio wanasiasa :mod:
 
Hata Ndesamburo ni Tajiri na ni Mfanyabiashara! Chadema wanaseama mfanyabiashara wa Chadema ni mzalendo kuliko yule aliyepo CCM! Unafiki mtupu!

Sijasikia kiongozi wa Chadema anayewapinga wafanyabiashara wa CCM, bali wanaopingwa ni mafisadi, anaohujumu fedha za umma. Bahati mbaya kwa CCM wanakuwa na kofia zote mbili.
 
Waache kulia lia basi biashara itenganishwe na siasa! Waseme kuna biashara safi na haramu! Wanafiki

Aliyetaka kutnganisha biashara na siasa ni JK, lakini alibanwa ndani ya chama chake akashindwa kutkeleza.
 
Kwa vilaza wa CCM.. nataka mfahamu kwamba hakuna kiongozi au mwanachama wa chama anayekatazwa kuwa mfanyabiashara, isipokuwa chaa kinaposhika madaraka na ukateuliwa kuongoza SERIKALI, chagua moja, acha biashara ijiendeshe kama shirika huru au liweke sokoni jiondoe ktk uongozi wa shirika.. Huwezi kuwa na ofisi mbili wakati unalitumikia Taifa... Nadhani hata JK ktk kujivua gamba mwaka 2007 aliwaambia mawaziri wake waache kujihusisha na biashara lakini kashindwa utekelezaji wa sheria hii (kama kawaida yake) kwani Azimio la zanzibar limemfunga kengele..

Kwa hiyo CDM ikishika madaraka Mbowe na Ndesamburo wataacha biashara?? au unaropoka tu na ukilaza wako na wewe
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuwa mwanasiasa na mfanya biasahara mwadilifu, na kuwa mwanasiasa na mfanya biashara fisadi. issue hapa ni conflict of interest. kwamba unatumia siasa kujinufaisha na mali ya umma kwa, kwa kivuli cha biashara ya mafichoni, kwa kutumia watu wengine kama Rz1 na Dady yake. Halafu kesho ukiuulizwa habari za biashara zako, hata wewe mwenyewe unazikimbia kwamba si zako, because they are dirty businesses. To me, clean businesses and politics, it is ok.
 
So upo sure biashara za mbowe ni clean?

muwe mnafanya utafiti kwanza jamani,..! mbowe amekulia ikulu,hizo benzi nyie mnazozishobokea yeye kazaliwa nazo.licha ya babayake kumuazima suti juliasi nauli pia alipewa na babayake mbowe.sasa basi,jiulize chanzo cha utajiri wa kikwete na mwanae,alafu nenda kwa lowasa na hao mafisadi wengine,huyo nape mwenyewe fisadi tu, mropokaji wala hana detail zozote za wakongwe kama mbowe,acheni kuropoka muwe mnafanya reseach kwanza.
 
Back
Top Bottom