Mbowe naomba kadi ya CHADEMA narudisha ya CCM

Mbowe naomba kadi ya CHADEMA narudisha ya CCM

Karibu kiumeni mtoto wa mama.
Yani humu JF ndio unatuletea stori za kukatazwa na mama kujiunga na chama unachokitaka!!???
 
Kuna wananchi wamechoma picha ya magu kuangalia mange uone haijawahi kutoka mwaka mmoja picha ya raisi ikatiwa kiberiti niliwahi kuona kwenye TV tu [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji13]
hiyo tv labda unaona wewe tu nyumbani kwako.
 
Back
Top Bottom