Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,692
- Thread starter
- #41
Nipo very serious mkuukiukweli mkuu sioni kama unatania nawafahamu wa aina yako wengi tu sijui hasa kwakwe,li hii hali inatisha!
Nipo very serious mkuukiukweli mkuu sioni kama unatania nawafahamu wa aina yako wengi tu sijui hasa kwakwe,li hii hali inatisha!
Hivi huu unafki utaacha lini? Toka lini wewe ukawaNiweke kadi yangu ya CCM ndyo uhakikishe? Tena likadi lenyewe nililazimishwa. Yani waliniletea likadi kwa lazima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ... Huyo atakua na hangover za viroba...Jamaa jinga kwelkwel, anajipiga dol. mat.ko. kisha ananusa akitarajia matokeo tofauti!
Hongera kwa kufanya uamuzi sahihi!Mbowe naomba na mimi kadi ya chadema. Ninarudisha ya ya CCM. Nilikuwa CCM kwa kulazimishwa sababu nimekulia kwenye ukoo wa maCCM. Toka 2010 nilikuwa nashabikia upinzani kisirisiri. Huwezi amini mwaka juzi walinifanyia timing na kufungia kitambulisho changu ndani ili nisiende kumpigia kura lowasa. Sasa nipo huru maana hata hao ndugu zangu waliokuwa wanajifanya CCM damu damu wameisoma number. Leo wanaiponda serkal ambayo niwenyewe waliipigia kura.
Tena kuna mmoja wao alichoma mafuta kurudi kwenye jimbo alilo jiandikishia ili ampigie kura magu. Lakini leo hataki hata kuona sura ya magu.
Nipo huru sasa nilikuwa nimetengwa na ukoo sasa akili zimewakaa sawa. Naomba kadi niwe CDMA kamili.
Asante.
Siku nikipata ya chadema nitaleta marejesho.
Hunijui sikujui. Endelea kujidanganya.H
Hivi huu unafki utaacha lini? Toka lini wewe ukawa
CCM na leo hii urudishe kadi
Walioshindwa kumwajibisha ni pamoja na wale waliosema ni fisadi na wakituaminisha kuwa ushahidi wanao, cha ajabu wamekumbatia na Hawataki tena kumpeleka mahakamanoNi bora sababu uyo wanayemuita fisadi wameshindwa muwajibisha wakimaanisha ufisadi wake hauna effect.
Tanzania hakuna fisadi hata mmoja,wakati wakampeni tuliamanishwa majizi na mafisadi wote ndani lakini sasa mahakama IPO lakini majizi na mafisa wamekosekana mahakama imekosa kesi sijui wale wa nyavu haramu ndiyo majizi na mafisadi tulioamanishwa?Tanzania hii inakwenda wapi, yaani Leo hii fisadi ni Bora? Jitahidi mapenzi na hisia zisiufunike ukweli na uhalisia
Tia kiberiti mkuuMbowe naomba na mimi kadi ya chadema. Ninarudisha ya ya CCM. Nilikuwa CCM kwa kulazimishwa sababu nimekulia kwenye ukoo wa maCCM. Toka 2010 nilikuwa nashabikia upinzani kisirisiri. Huwezi amini mwaka juzi walinifanyia timing na kufungia kitambulisho changu ndani ili nisiende kumpigia kura lowasa. Sasa nipo huru maana hata hao ndugu zangu waliokuwa wanajifanya CCM damu damu wameisoma number. Leo wanaiponda serkal ambayo niwenyewe waliipigia kura.
Tena kuna mmoja wao alichoma mafuta kurudi kwenye jimbo alilo jiandikishia ili ampigie kura magu. Lakini leo hataki hata kuona sura ya magu.
Nipo huru sasa nilikuwa nimetengwa na ukoo sasa akili zimewakaa sawa. Naomba kadi niwe CDMA kamili.
Asante.
Siku nikipata ya chadema nitaleta marejesho.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji13] [emoji111] [emoji111]Niweke kadi yangu ya CCM ndyo uhakikishe? Tena likadi lenyewe nililazimishwa. Yani waliniletea likadi kwa lazima
Subiri wali maharage kofia tsht na buku kumi..... [emoji6] [emoji6] [emoji6] halafu huwapigii kuraNiweke kadi yangu ya CCM ndyo uhakikishe? Tena likadi lenyewe nililazimishwa. Yani waliniletea likadi kwa lazima
Jamaa jinga kwelkwel, anajipiga dol. mat.ko. kisha ananusa akitarajia matokeo tofauti!
Hahaha nzi Wana jazbaUlazinishwe kujiunga na chama cha siasa? Bila shaka ukikomaliwa hata tiGo unagawa