Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
Watafute 360 WA clauz....Jamani msaada tafadhali, naomba mwenye namba ya ngosha anitumie.
Watafute 360 WA clauz....Jamani msaada tafadhali, naomba mwenye namba ya ngosha anitumie.
Amechoshwa na kinachozalisha majizi mapiga diliUnataka kuingia chama kinachokumbatia ufisadi?
UnatukanaMods mbona munafuta posts zangu
Hata yeye ni fisadi cTanzania hii inakwenda wapi, yaani Leo hii fisadi ni Bora? Jitahidi mapenzi na hisia zisiufunike ukweli na uhalisia
Mbowe naomba na mimi kadi ya chadema. Ninarudisha ya ya CCM. Nilikuwa CCM kwa kulazimishwa sababu nimekulia kwenye ukoo wa maCCM. Toka 2010 nilikuwa nashabikia upinzani kisirisiri. Huwezi amini mwaka juzi walinifanyia timing na kufungia kitambulisho changu ndani ili nisiende kumpigia kura lowasa. Sasa nipo huru maana hata hao ndugu zangu waliokuwa wanajifanya CCM damu damu wameisoma number. Leo wanaiponda serkal ambayo niwenyewe waliipigia kura.
Tena kuna mmoja wao alichoma mafuta kurudi kwenye jimbo alilo jiandikishia ili ampigie kura magu. Lakini leo hataki hata kuona sura ya magu.
Nipo huru sasa nilikuwa nimetengwa na ukoo sasa akili zimewakaa sawa. Naomba kadi niwe CDMA kamili.
Asante.
Siku nikipata ya chadema nitaleta marejesho.
kwani lazima uombe kua nyumbu. ruksa..good riddance. kama humuelewi magu wewe na ukoo wako mlikua ccm maslahi na labda kuna ndugu katumbuliwaMbowe naomba na mimi kadi ya chadema. Ninarudisha ya ya CCM. Nilikuwa CCM kwa kulazimishwa sababu nimekulia kwenye ukoo wa maCCM. Toka 2010 nilikuwa nashabikia upinzani kisirisiri. Huwezi amini mwaka juzi walinifanyia timing na kufungia kitambulisho changu ndani ili nisiende kumpigia kura lowasa. Sasa nipo huru maana hata hao ndugu zangu waliokuwa wanajifanya CCM damu damu wameisoma number. Leo wanaiponda serkal ambayo niwenyewe waliipigia kura.
Tena kuna mmoja wao alichoma mafuta kurudi kwenye jimbo alilo jiandikishia ili ampigie kura magu. Lakini leo hataki hata kuona sura ya magu.
Nipo huru sasa nilikuwa nimetengwa na ukoo sasa akili zimewakaa sawa. Naomba kadi niwe CDMA kamili.
Asante.
Siku nikipata ya chadema nitaleta marejesho.
kwanza chadema siku hizi ni kampuni binafsi.Mimi narudisha ya chadema soon
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watafute 360 WA clauz....
Pia anajenga hekalu kwakeHata yeye ni fisadi c
Pesa za bukoba kazizimia mbali
Mkuu ni kwel vyama vyote wapigaji ila angalau hii ccm ya ngosha kuna hofu ya upigaji kwa sasa.Chadema ipi unayo taka kwenda? Mbowe mmoja ila Chadema zipo mbili.
Bora uwe huna chama, sijaona Chama Tanzania chenye dhamila ya kweli.
Wote wapigaji tu. Afrika shida tupu.
Daaaah..! Mi mwENYEWE NI CCM KINDAKINDAKI NATAMANI KUHAMA CJAMA ILA NGOJA NIVUMILIE LABDA NEEMA INAKARIBIA.. KWAKWELI SIJAWAHI ONA PEREZIDA KAMA HUYU WA KWETU.. CCM TUNAISOMA NAMBA WENYEWE
Baba yako anajijengea sijui anataka kuweka shule pale kwake. Hata sielewi maana ile mijengo si ya kawaida chato.Mkuu ni kwel vyama vyote wapigaji ila angalau hii ccm ya ngosha kuna hofu ya upigaji kwa sasa.
ukizitazama sura za chadema kwa sasa unaona upigaji waziwazi!
Njoo kwa Wazalendo huku!!Chadema ipi unayo taka kwenda? Mbowe mmoja ila Chadema zipo mbili.
Bora uwe huna chama, sijaona Chama Tanzania chenye dhamila ya kweli.
Wote wapigaji tu. Afrika shida tupu.
Tanzania hii inakwenda wapi, yaani Leo hii fisadi ni Bora? Jitahidi mapenzi na hisia zisiufunike ukweli na uhalisia
Like wizeBado sijashawishika kujiunga na chama chochote cha siasa hapa Tanzania.
Kuna wananchi wamechoma picha ya magu kuangalia mange uone haijawahi kutoka mwaka mmoja picha ya raisi ikatiwa kiberiti niliwahi kuona kwenye TV tu [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji13]kwani lazima uombe kua nyumbu. ruksa..good riddance. kama humuelewi magu wewe na ukoo wako mlikua ccm maslahi na labda kuna ndugu katumbuliwa
Si sugu uyo pembeni au mi naona vbyaKuna wananchi wamechoma picha ya magu kuangalia mange uone haijawahi kutoka mwaka mmoja picha ya raisi ikatiwa kiberiti niliwahi kuona kwenye TV tu [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji13]