Mbowe na Lema ni hatari kwa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
dah ungesubiri hata kawiki kapite tungekuamini kuwa haujatumwa na magamba!

ukisoma vizuri points za huyu jamaa 25% zinataka kuwa kweli lakini 75% zina ukakasi.....inawezekana kabisa magamba yamemtuma!
25% = shibuda ni kiongozi mzuri ila ukimfuatilia vizuri bado anayakumbuka na kuyapenda magamba! yeye kuwepo cdm kwa kiasi kikubwa aligundua kuwa wananchi bado wanampenda sasa akaamua atokee wapi!!
75% = sikweli kuwa lema na mbowe wana nia mbaya ni gilba tu za wasio wapenda!
 
Hujisikii vibaya kutangaza hapa kwamba ulipokea rushwa? Msomi gani wewe unayepokea rushwa iliufanye kitu usichokitaka au kukiamini? Ningekuwa wewe ningeiondoa thread hii hapa kujiepusha na aibu. Kweli wewe huna maana!

Mkuu ungeweka jina lako kama sisi wengine takukuru wangekufuata. Na wasingekuwa wamekuonea. Hata hivyo, Lema huwa hatoi Rushwa kabisa kwa jinsi ninavyomfahamu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom