Mbowe na Lema ni hatari kwa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Do not judge majority,by a mistake made by a one zerosent messanger with invisible target.
Chadema is honored and respected by its vissions and costructive speeches,so let us stop using abusive words or any undisplinary words which gonna make us outethical leaders.
 
Mtandao ambao mbowe anaujenga na wenzake unaoonyesha busara ndogo za mbowe na umesababisha vitendo vya sirisiri ndani ya chadema dhidi ya watu fulani, hii haijengi umoja ndani ya chama.

Busara ndogo za mbowe zinaonekana pale anapofikiria vitendo na maneno ya godbless lema yatakuwa siku zote kwa masilahi ya chadema kwasababu tu ni mmachame mwenzie.

Tukumbuke ni lema huyo huyo ndiye aliyekuja chuo kukuu cha dodoma na kutuhonga ( kutupa rushwa) ili tuandamane kupinga shibuda kuonyesha mtazamo tofauti ndani ya bunge, bahati nzuri wanafunzi wenzetu ambao hawakupata hela walikuwa wakali dhidi ya hili.

Bila ya shaka lema alifanya kitendo hiki bila ya kuwa na upeo wa kujuwa kwamba kinaweza kuchafua jina la chadema na kuharibu umoja ndani na nje ya chama.

Chuo kikuu cha dodoma kina watu wakabila mbalimbali, asifikirie wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma wanaamini mtu ambaye anaweza kutetea masilahi yao ni yule ambaye kazi yake nikusema ndio bwana mkubwa kwa mbowe.

Mimi binafsi naweka imani yangu kwa mwanasiasa mwenye mawazo huru na ambaye hawezi kuburuzwa na mtu au kundi lolote. Najiuliza je hawa watu washawahi kusikia kuhusu joe lieberman wa democratic party aliyeenda kuhutubia katika mkutano wa kuzindua kampeni za republican party na kumpinga mgombea wa chama chake(obama wa democratic party).

Labda mbowe kuna kitu anatakiwa kujifunza kutoka kwa obama au democratic party; obama anaelewa pale kura za chama chake hazitoshi ndani ya bunge mtu ambaye anaweza kumtumia kupata kura za wabunge wa republican ni joe lieberman(shibuda), kwasababu ameonekana mawazo yake yako huru.

Kama kuna mtu yoyote ndani ya chadema ambaye anaweza kushawishi wabunge wa ccm wapige kura za ndio kwajambo ambalo chadema wanataka, basi mtu huyo ni shibuda.

Watu wa shinyanga wametumia uhuru wao vizuri kuchagua mtu ambaye wanamtaka, lakini kuna watu wachache (mbowe na lema) wanataka kuwachagulia watu wa shinyanga kiongozi ambaye kazi yake itakuwa ni kujipendekeza kwa mbowe.

Watu wa shinyanga wanajuwa shibuda anavyojitolea hasa ukizingatia chadema sio chama chenye uwezo kifedha. Tumemuona akitumia muda na hela binafsi kutatua matatizo ya watu wa maswa, iwe siasa (uchaguzi) au uchumi; hapa nazungumzia juhudi binafsi sio za chadema.

Umefika wakati wa kukubali ukweli kwamba mbowe hana sifa wala busara za kujenga chadema imara, bora achaguliwe mtu mwingine (dr. Slaa).

Tukumbuke ukiwa ndani ya chadema sio maana yake wewe sio fisadi, sio maana yake wewe ni msafi. Ukichunguza historia ya mbowe au lema unaweza ukakuta hawana tofauti na rostam azizi.

Lazima tuwe makini nani tunampa madaraka ya kutuongoza. Tusiwape watu ambao wanatafuta nafasi za kufanya ufisadi. Mmesikia kuhusu ufisadi wa magari mitumba chadema.

hii insha ndio iliyokufanya ujiunge JF leo?
 
Huyu anayejiita msomi wa UDOM nadhani akili yake haina akili. Anadhani sisi tutamwelewa kama anavyotaka aeleweke. Wenye akili wameshaliona hilo. Ni mambo ya kisiasa hayo: Eti anakiri walihongwa na Lema!!?? Yeye na nani?, sh ngapi kila mmoja? (TAKUKURU kazi kwenu)

Unajua unaweza kujibanza kwenye shamba la dengu na kuamini kuwa huonekani kisa umeinamisha uso chini. Sisi wana JF tunao uwezo wa kumuelewa mtu kabla hata ya kumuona, huyu ni jamii ya magamba, kwisha.
 
Karibu JF Peter,
Nakupongeza kwa uwazi. Sawa tumekupata uko so cheap.Ukipewa kitu kidogo unaweza fanya chochote!
Nadhani yale malori ya magamba yanayosomba watu kwenda mikutanoni na mandamano wewe hujawahi kosa.
 
Narudia tena:

Mbowe angeachana na uenyekiti wa chama na asirudie tena kugombea urais wa JMT. Hatashinda kamwe. Historia yake mwenyewe inatosheleza kumuengua pale. Ikulu ni eneo takatifu na matarajiop yabaki yaleyale kwamba anaepewa kiti pale awe MSAFI!

Lema simfahamu. Hata hivyo niseme kwa staile ile kwamba huku nilipo watu wanaguna wakisikia hilo jina kwani huenda hayupo katika aina ya uadilifu tunaotegemea viongozi wa CDM wawe nao. Inawezekana pia kakosa HEKIMA na ni bingwa wa kudhihirisha upumbavu ambao huenda anao. Hii haitakiwi.

Niongezee na dogo Zito: Wewe hueleweki!
 
wana JF tukubali kutokubaliana je kila ambacho mbowe ana taka lazima lema akubali?lema simama kwa miguu yako.acha vijana wachague wanaemtaka na hizo pesa zenu wewe,grace kihwelu,halima mdee na susan lyimo wape masikini mnaleta ufisadi chadema
 
Mimi ninavyoona huyo ni mmoja ya wale waliochanga pesa kwa ajili ya kumchukulia fomu ******,hana jipya cause anachokiongea hakipo,yaani ameona CHADEMA ina wanachama kila kona anataka kutuletea malalamiko ya kikabila hapa.Karibu we mla rushwa but kumbuka kwamba hizo propaganda zako wenzako walishazishindwa na sasa wanavuana magamba ili wapate sumu kali kwa ajili ya kuhujumu nchi yetu.CHADEMA FOR 2015 DAIMA.
 
Hawa wakabila na wadini ni kuwaacha tu. Cheap thinking. Mbowe na Lema ni mkuki moyoni kwa CCM.:israel:
 
Ukitafakari maelezo yako, yana reflect woga CCM ilionao dhidi ya chadema. inawalipa watu kila siku ili wa join Jamii forum kwa lengo la kuichafua CDM. msekwa alisha onyesha wago wake kwa Jamii forum... haishangazi kwani inaonekana mleta mchango naye ni zao la woga wa CCM
 
usiwe na shaka mkuu,wabongo ni watu waelewa sana,mbona tulikubali kuongozwa na nyerere miaka kibao na alikuwa mtusi?yaani sisi yeyote ni poa,mbona kinana yupo juu na ni msomali,bashe je,na yule mkenye alikuwa waziri wa elimu wakati wa shemeji yangu mkapa je??sisi hatuna noma na yeyote,ila tunaitaji mtu wa kututoa hapa rulipo
 
Mtandao ambao mbowe anaujenga na wenzake unaoonyesha busara ndogo za mbowe na umesababisha vitendo vya sirisiri ndani ya chadema dhidi ya watu fulani, hii haijengi umoja ndani ya chama.

Busara ndogo za mbowe zinaonekana pale anapofikiria vitendo na maneno ya godbless lema yatakuwa siku zote kwa masilahi ya chadema kwasababu tu ni mmachame mwenzie.

Tukumbuke ni lema huyo huyo ndiye aliyekuja chuo kukuu cha dodoma na kutuhonga ( kutupa rushwa) ili tuandamane kupinga shibuda kuonyesha mtazamo tofauti ndani ya bunge, bahati nzuri wanafunzi wenzetu ambao hawakupata hela walikuwa wakali dhidi ya hili.

Bila ya shaka lema alifanya kitendo hiki bila ya kuwa na upeo wa kujuwa kwamba kinaweza kuchafua jina la chadema na kuharibu umoja ndani na nje ya chama.

Chuo kikuu cha dodoma kina watu wakabila mbalimbali, asifikirie wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma wanaamini mtu ambaye anaweza kutetea masilahi yao ni yule ambaye kazi yake nikusema ndio bwana mkubwa kwa mbowe.

Mimi binafsi naweka imani yangu kwa mwanasiasa mwenye mawazo huru na ambaye hawezi kuburuzwa na mtu au kundi lolote. Najiuliza je hawa watu washawahi kusikia kuhusu joe lieberman wa democratic party aliyeenda kuhutubia katika mkutano wa kuzindua kampeni za republican party na kumpinga mgombea wa chama chake(obama wa democratic party).

Labda mbowe kuna kitu anatakiwa kujifunza kutoka kwa obama au democratic party; obama anaelewa pale kura za chama chake hazitoshi ndani ya bunge mtu ambaye anaweza kumtumia kupata kura za wabunge wa republican ni joe lieberman(shibuda), kwasababu ameonekana mawazo yake yako huru.

Kama kuna mtu yoyote ndani ya chadema ambaye anaweza kushawishi wabunge wa ccm wapige kura za ndio kwajambo ambalo chadema wanataka, basi mtu huyo ni shibuda.

Watu wa shinyanga wametumia uhuru wao vizuri kuchagua mtu ambaye wanamtaka, lakini kuna watu wachache (mbowe na lema) wanataka kuwachagulia watu wa shinyanga kiongozi ambaye kazi yake itakuwa ni kujipendekeza kwa mbowe.

Watu wa shinyanga wanajuwa shibuda anavyojitolea hasa ukizingatia chadema sio chama chenye uwezo kifedha. Tumemuona akitumia muda na hela binafsi kutatua matatizo ya watu wa maswa, iwe siasa (uchaguzi) au uchumi; hapa nazungumzia juhudi binafsi sio za chadema.

Umefika wakati wa kukubali ukweli kwamba mbowe hana sifa wala busara za kujenga chadema imara, bora achaguliwe mtu mwingine (dr. Slaa).

Tukumbuke ukiwa ndani ya chadema sio maana yake wewe sio fisadi, sio maana yake wewe ni msafi. Ukichunguza historia ya mbowe au lema unaweza ukakuta hawana tofauti na rostam azizi.

Lazima tuwe makini nani tunampa madaraka ya kutuongoza. Tusiwape watu ambao wanatafuta nafasi za kufanya ufisadi. Mmesikia kuhusu ufisadi wa magari mitumba chadema.

kaka ndo maana yakikushinda cdm amia ccm.
 
Nimeipenda sana thread yako uliiandaa vizuri kuonyesha hisia zako ila ulichoniuzi tuu ni kukubali kwamba ulipokea rushwa, hivyo nashawishika kuamini hata hii thread umelipwa na Shibuda ili uipost hapa hasa ukichukulia umejiunga leo na kupost thread yenye kukili kwamba upo kibiashara zaidi. Umenisikitisha sana kukili udhaifu huo.
 
petermkali hiiii ndio sayansi ya ccm???????????????? mtatapatapa this term --mtajamba kotekote na kujivua magamba-sijui kama mmeshamaliza kuyavua magamba mliyotaka kuyavua -mkijaribu tuuu kuvua gamaba kama lowasa,chenge, jk na roastam linashuka na ngozi na damu sasa bora muache tu tuwazike na magamba yenu manake Dr.Slaa amewasamehee tungewafanya kama Ghabo wa ivory coast. ACHA KUENEZA UTAPIA MLO WAKO KATIKA JF MTACHEMSHA SANA TUUUU, MANAKE WENYE PESA MMESHAWATUKANA-MAPACHA WATATU
 
Tukumbuke ni lema huyo huyo ndiye aliyekuja chuo kukuu cha dodoma na kutuhonga ( kutupa rushwa) ili tuandamane kupinga shibuda kuonyesha mtazamo tofauti ndani ya bunge, bahati nzuri wanafunzi wenzetu ambao hawakupata hela walikuwa wakali dhidi ya hili.

Mimi binafsi naweka imani yangu kwa mwanasiasa mwenye mawazo huru na ambaye hawezi kuburuzwa na mtu au kundi lolote. Najiuliza je hawa watu washawahi kusikia kuhusu joe lieberman wa democratic party aliyeenda kuhutubia katika mkutano wa kuzindua kampeni za republican party na kumpinga mgombea wa chama chake(obama wa democratic party).

Lazima tuwe makini nani tunampa madaraka ya kutuongoza. Tusiwape watu ambao wanatafuta nafasi za kufanya ufisadi. Mmesikia kuhusu ufisadi wa magari mitumba chadema.

Kwenye red:
- Rushwa ni kosa (a criminal offense) ulitakiwa utoe taarifa na ushahidi wako Takukuru ili sheria ichukuwe mkondo wake.

-Joe Liebermana ni Independent na hata wakati anahutubia Republican party tayari alikuwa ameshajeungua Democrtatic Party na kusimama kama independent candidate -connecticut. Na kuhutubia kwake Republican inabidi ujue uswahiba wake na aliyekuwa anagembea kiti cha urais kupitia Republican party - John Mccain. Wawili hawa ni marafiki sana na wanakubaliana kwenye mambo ya secrity/jeshi. Kuhutubia kwake ilikuwa ni kumpa tafu swahiba wake na si vinginevyo.
 
Umeanza vibaya sana mdogo wangu! Hii thread inaonesha wasi kabisa elimu haijakusaidia kupata maarifa na kutulazimu ku review mitaala kabla ya katiba! Bado hamfahamu uwepo na kazi ya takukuru hadi level ya chuo kikuu! Wala hamfahamu kuwa rushwa ni makosa na wahusika wanatakiwa kufikishwa kwenye sheria. Hamfahamu kama ninyi mna wajibu wa kuusaidia umma kuwabaini na kufikishwa mahakamani watoaji na wapokea rushwa. Kweli tuna safari ndefu. Chuo kinawaondolea hata yale mliofundishwa primary! Bora kifungwe. Pumbaf kabisa.....!?
 
Mtandao ambao mbowe anaujenga na wenzake unaoonyesha busara ndogo za mbowe na umesababisha vitendo vya sirisiri ndani ya chadema dhidi ya watu fulani, hii haijengi umoja ndani ya chama.

Busara ndogo za mbowe zinaonekana pale anapofikiria vitendo na maneno ya godbless lema yatakuwa siku zote kwa masilahi ya chadema kwasababu tu ni mmachame mwenzie.

Tukumbuke ni lema huyo huyo ndiye aliyekuja chuo kukuu cha dodoma na kutuhonga ( kutupa rushwa) ili tuandamane kupinga shibuda kuonyesha mtazamo tofauti ndani ya bunge, bahati nzuri wanafunzi wenzetu ambao hawakupata hela walikuwa wakali dhidi ya hili.

Bila ya shaka lema alifanya kitendo hiki bila ya kuwa na upeo wa kujuwa kwamba kinaweza kuchafua jina la chadema na kuharibu umoja ndani na nje ya chama.

Chuo kikuu cha dodoma kina watu wakabila mbalimbali, asifikirie wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma wanaamini mtu ambaye anaweza kutetea masilahi yao ni yule ambaye kazi yake nikusema ndio bwana mkubwa kwa mbowe.

Mimi binafsi naweka imani yangu kwa mwanasiasa mwenye mawazo huru na ambaye hawezi kuburuzwa na mtu au kundi lolote. Najiuliza je hawa watu washawahi kusikia kuhusu joe lieberman wa democratic party aliyeenda kuhutubia katika mkutano wa kuzindua kampeni za republican party na kumpinga mgombea wa chama chake(obama wa democratic party).

Labda mbowe kuna kitu anatakiwa kujifunza kutoka kwa obama au democratic party; obama anaelewa pale kura za chama chake hazitoshi ndani ya bunge mtu ambaye anaweza kumtumia kupata kura za wabunge wa republican ni joe lieberman(shibuda), kwasababu ameonekana mawazo yake yako huru.

Kama kuna mtu yoyote ndani ya chadema ambaye anaweza kushawishi wabunge wa ccm wapige kura za ndio kwajambo ambalo chadema wanataka, basi mtu huyo ni shibuda.

Watu wa shinyanga wametumia uhuru wao vizuri kuchagua mtu ambaye wanamtaka, lakini kuna watu wachache (mbowe na lema) wanataka kuwachagulia watu wa shinyanga kiongozi ambaye kazi yake itakuwa ni kujipendekeza kwa mbowe.

Watu wa shinyanga wanajuwa shibuda anavyojitolea hasa ukizingatia chadema sio chama chenye uwezo kifedha. Tumemuona akitumia muda na hela binafsi kutatua matatizo ya watu wa maswa, iwe siasa (uchaguzi) au uchumi; hapa nazungumzia juhudi binafsi sio za chadema.

Umefika wakati wa kukubali ukweli kwamba mbowe hana sifa wala busara za kujenga chadema imara, bora achaguliwe mtu mwingine (dr. Slaa).

Tukumbuke ukiwa ndani ya chadema sio maana yake wewe sio fisadi, sio maana yake wewe ni msafi. Ukichunguza historia ya mbowe au lema unaweza ukakuta hawana tofauti na rostam azizi.

Lazima tuwe makini nani tunampa madaraka ya kutuongoza. Tusiwape watu ambao wanatafuta nafasi za kufanya ufisadi. Mmesikia kuhusu ufisadi wa magari mitumba chadema.

kwa kuwa wewe mwenyewe umesema ulipokea rushwa,adhabu yako haitakuwa tofauti na ile ya osama.Kama kweli unasoma chuo kikuu kwa vyovyote wewe kichwa chako kimejazwa magamba badala ya akili.
CHADEMA si chama cha wababaishaji kama unavyodhani.Mwaka huu mtatwangwa
kotekote.
 
Wewe umejiunga tu jana tarehe 4 may 2011 na mchango wako wa kwanza ni Lema na Mbowe . Pengine ungepiga hodi ili kukaribishwe kwanza. Una hoja nyingine mkuu. Haya mzee karibu sana.
 
Mtandao ambao mbowe anaujenga na wenzake unaoonyesha busara ndogo za mbowe na umesababisha vitendo vya sirisiri ndani ya chadema dhidi ya watu fulani, hii haijengi umoja ndani ya chama.

Busara ndogo za mbowe zinaonekana pale anapofikiria vitendo na maneno ya godbless lema yatakuwa siku zote kwa masilahi ya chadema kwasababu tu ni mmachame mwenzie.

Tukumbuke ni lema huyo huyo ndiye aliyekuja chuo kukuu cha dodoma na kutuhonga ( kutupa rushwa) ili tuandamane kupinga shibuda kuonyesha mtazamo tofauti ndani ya bunge, bahati nzuri wanafunzi wenzetu ambao hawakupata hela walikuwa wakali dhidi ya hili.

Bila ya shaka lema alifanya kitendo hiki bila ya kuwa na upeo wa kujuwa kwamba kinaweza kuchafua jina la chadema na kuharibu umoja ndani na nje ya chama.

Chuo kikuu cha dodoma kina watu wakabila mbalimbali, asifikirie wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma wanaamini mtu ambaye anaweza kutetea masilahi yao ni yule ambaye kazi yake nikusema ndio bwana mkubwa kwa mbowe.

Mimi binafsi naweka imani yangu kwa mwanasiasa mwenye mawazo huru na ambaye hawezi kuburuzwa na mtu au kundi lolote. Najiuliza je hawa watu washawahi kusikia kuhusu joe lieberman wa democratic party aliyeenda kuhutubia katika mkutano wa kuzindua kampeni za republican party na kumpinga mgombea wa chama chake(obama wa democratic party).

Labda mbowe kuna kitu anatakiwa kujifunza kutoka kwa obama au democratic party; obama anaelewa pale kura za chama chake hazitoshi ndani ya bunge mtu ambaye anaweza kumtumia kupata kura za wabunge wa republican ni joe lieberman(shibuda), kwasababu ameonekana mawazo yake yako huru.

Kama kuna mtu yoyote ndani ya chadema ambaye anaweza kushawishi wabunge wa ccm wapige kura za ndio kwajambo ambalo chadema wanataka, basi mtu huyo ni shibuda.

Watu wa shinyanga wametumia uhuru wao vizuri kuchagua mtu ambaye wanamtaka, lakini kuna watu wachache (mbowe na lema) wanataka kuwachagulia watu wa shinyanga kiongozi ambaye kazi yake itakuwa ni kujipendekeza kwa mbowe.

Watu wa shinyanga wanajuwa shibuda anavyojitolea hasa ukizingatia chadema sio chama chenye uwezo kifedha. Tumemuona akitumia muda na hela binafsi kutatua matatizo ya watu wa maswa, iwe siasa (uchaguzi) au uchumi; hapa nazungumzia juhudi binafsi sio za chadema.

Umefika wakati wa kukubali ukweli kwamba mbowe hana sifa wala busara za kujenga chadema imara, bora achaguliwe mtu mwingine (dr. Slaa).

Tukumbuke ukiwa ndani ya chadema sio maana yake wewe sio fisadi, sio maana yake wewe ni msafi. Ukichunguza historia ya mbowe au lema unaweza ukakuta hawana tofauti na rostam azizi.

Lazima tuwe makini nani tunampa madaraka ya kutuongoza. Tusiwape watu ambao wanatafuta nafasi za kufanya ufisadi. Mmesikia kuhusu ufisadi wa magari mitumba chadema.
Wenzako wakifika mahali wanatulia kwanza wanasoma mazingira na kukaribishwa kigoda kabla hawaanza kupika, kuongea, kuandika au hata kutoa maoni. Sasa wewe hata huhjasoma Thread humu ndani uone wengine wamesema nini tayari umeshusha gazeti la tuhuma ingawa sina uhakika kama umekaribishwa! hahahahahaaa au ndo wewe umepewa vijisenti ili uvuruge mitandao! kama ndivyo why can't you go back and tell them that JM is more than what they think!!!!!!!!!!!!!!!!! anyway kwa kuwa watanzania ni wakarimu basi nakukaribisha jamvini mzee karibu sana
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom