MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 762
Ulichosema ni sahihi lakini subiri waje 'wambea' wao hapa uje uone shughuli yake,watakutukana kweli wana midomo michafu haooooo!!!
Uoga wako ndio umasikini wako we nenda KAGONGWE JICHO.
Ulichosema ni sahihi lakini subiri waje 'wambea' wao hapa uje uone shughuli yake,watakutukana kweli wana midomo michafu haooooo!!!
hapo penye red tafadhali fanyia marekebisho. Lema alikimbilia kwenye banda la nguruwe eti na yeye akajifanya kuwa ni kitimoto. kuanzia hapo ndipo lema akabatizwa jina jipya la KITIMOTO
tumewazoea machadema na matusi yao. Ila ukweli wanaupata
lengo ni kuwatahadhalisha watanzania ili msidanganyike na hawa wanasiasa vihiyo
yaani hapa tanzania hakuna wanasiasa waoga kama wa chadema. Nakumbuka siku mbowe anasafirishwa kwa ndege toka dar kwenda arusha suruali yake ililowa mbele na nyuma. Sikutegemea kama atarudia tena kamchezo haka ka kuropoka. Ila ndo maana safari hii hakukimbilia dar maana kulichofanyika toka dar hadi arusha ndani ya ndege anakijua mwenyewe
naona hujamwelewa vizuri. mathalan, wakati juzi akina arfi na lissu wakipambana na polisi, mbowe na lema walikuwa wamesepa. lema aligeuka kuwa nguruwe na mbowe alijigeuza kuwa kichaa pale alipovaa kaptula iliyochanika na kukimbia nduki ili asikamatwe.
naona umeanza. wenzako watafuatia
hakuna mwanasiasa jasiri ndani ya chadema na uchagani. fuatilia tu utanambia. ni waoga wa kukamatwa hao maana wanajua shughuli za mkong'oto wa polisi
mwanasiasa gani kati ya lema na mbowe utawalinganisha na lukuvi na nchemba? acha mapenzi mabaya wewe. utapata mimba isiyotarajiwa bure
Mkuu kumbe kufa ni kuwaandalia wengine vifo bila kujali familia zao zitakavyoathirika.
kweli fadhila mfadhili mbuzi utakula nyama binadamu atakuroga kumbe ndiyo maana chadema wanafanya fujo kwa sababu wanajua wao viongozi watakwepa wanachi ndiyo watakao husika na vifo kazi kweli.
nimekuw nikisikiliza kauli za majukwaani na sehemu mbalimbali wanasiasa wa chadema kina mbowe,lema ,tindu lisu kuwa hawaogopi kufa wako tayari kufa kwa ajili ya kupigania haki za watz...
mi mbona naona hii kauli nikuwadanganya watanzania waonekane ni wapiganaji wa kweli kumbe mioyo yao wamejaa uongo na ulaghahi mkubwa mbele ya wananchi.
naomba niwaulize hawa viongozi wa cdm wanaotangaza kila kukicha kuwa hawaogopi kufa .. sasa kama kweli mbona wakati bomu limerushwa wao tayari walikuwa wamekimbia??? mbona wakati polisi wanarusha mabomu ya machozi ili kuwatawanya wafuasi wa chadema mbowe na lema walikimbia na kwenda jificha hotelini na kuwaacha wananchi wanataabika kwa mabomu ya machozi..
wanasiasa wa chadema acheni uwongo wa mchana kweupe hamna nia ya zati toka mioyoni mwenu ..mmuongeacho hamkiishi hata kidogo lengo leni ni kuwaumiza na kuwaingiza wananchi kwenye matatizo.
jiangalie upya kauli zeni na matendo yenu ....
Wanasiasa wa Chadema ndivyo walivyo. Wanachochea watu ili wauwawe halafu wao wapate cha kuongea.
mandela hakuogopa ila mbowe na lema ni waoga. pia mandela hakuwa kihiyo ila lema na mbowe ni vihiyo wa kutupwa
nimekuw nikisikiliza kauli za majukwaani na sehemu mbalimbali wanasiasa wa chadema kina mbowe,lema ,tindu lisu kuwa hawaogopi kufa wako tayari kufa kwa ajili ya kupigania haki za watz...
Mi mbona naona hii kauli nikuwadanganya watanzania waonekane ni wapiganaji wa kweli kumbe mioyo yao wamejaa uongo na ulaghahi mkubwa mbele ya wananchi.
Naomba niwaulize hawa viongozi wa cdm wanaotangaza kila kukicha kuwa hawaogopi kufa .. Sasa kama kweli mbona wakati bomu limerushwa wao tayari walikuwa wamekimbia??? Mbona wakati polisi wanarusha mabomu ya machozi ili kuwatawanya wafuasi wa chadema mbowe na lema walikimbia na kwenda jificha hotelini na kuwaacha wananchi wanataabika kwa mabomu ya machozi..
Wanasiasa wa chadema acheni uwongo wa mchana kweupe hamna nia ya zati toka mioyoni mwenu ..mmuongeacho hamkiishi hata kidogo lengo leni ni kuwaumiza na kuwaingiza wananchi kwenye matatizo.
Jiangalie upya kauli zeni na matendo yenu ....
yaani hapa tanzania hakuna wanasiasa waoga kama wa chadema. Nakumbuka siku mbowe anasafirishwa kwa ndege toka dar kwenda arusha suruali yake ililowa mbele na nyuma. Sikutegemea kama atarudia tena kamchezo haka ka kuropoka. Ila ndo maana safari hii hakukimbilia dar maana kulichofanyika toka dar hadi arusha ndani ya ndege anakijua mwenyewe
lengo ni kuwatahadhalisha watanzania ili msidanganyike na hawa wanasiasa vihiyo
Unaelewaje maana ya kutokuogopa kufa? Kama wangekuwa wanaogopa, basi baada ya kukoswakoswa mara kadhaa na kupewa misukosuko isiyokwisha wangekuwa wameshaamua kukaa kimya kama watawala wanavyo taka. Au ungewaona washa jilengesha na kutangaza kujiunga na CCM.
Pale Soweto baada ya lile bomu ambalo kimsingi lilimlenga Mbowe na Lema,hawakuwaacha wahanga peke yao. Kama tulivyo ona ile video walishiriki katika uokoaji licha ya taharuki kubwa iliyokuwo pale. Penda usipende hawa ni makamanda wa kweli na ni mfano bora wa viongozi.
nimekuw nikisikiliza kauli za majukwaani na sehemu mbalimbali wanasiasa wa chadema kina mbowe,lema ,tindu lisu kuwa hawaogopi kufa wako tayari kufa kwa ajili ya kupigania haki za watz...
mi mbona naona hii kauli nikuwadanganya watanzania waonekane ni wapiganaji wa kweli kumbe mioyo yao wamejaa uongo na ulaghahi mkubwa mbele ya wananchi.
naomba niwaulize hawa viongozi wa cdm wanaotangaza kila kukicha kuwa hawaogopi kufa .. sasa kama kweli mbona wakati bomu limerushwa wao tayari walikuwa wamekimbia??? mbona wakati polisi wanarusha mabomu ya machozi ili kuwatawanya wafuasi wa chadema mbowe na lema walikimbia na kwenda jificha hotelini na kuwaacha wananchi wanataabika kwa mabomu ya machozi..
wanasiasa wa chadema acheni uwongo wa mchana kweupe hamna nia ya zati toka mioyoni mwenu ..mmuongeacho hamkiishi hata kidogo lengo leni ni kuwaumiza na kuwaingiza wananchi kwenye matatizo.
jiangalie upya kauli zeni na matendo yenu ....
Mbona morogoro walirusha risasi na wakamdhuru mtu.
Mkuu umeongea point moja nzuri sana.ni kweli huwezi kufa kizembe ni lazima ujitetee kama mwanaume.ukwel ni kwamba chadema ni makamanda tena makamanda wa ukweli.kila kukicja ni' wao na policcm , policcm na wao we unafikiri hiyo ni kazi ndogo? Kuwekwa rumande kila mara, kupigwa...ninakubaliana na kauli yao kuwa hawaogopi kufa means watatetea wananchi na ikitokea bahati mbaya policcm wabahatike kuwauwa basi wako tayari kufa.sasa huyu mleta uzi anaongea pumba kwa kutumia masaburi stupid!Kutokuogopa kufa haina maana ni kujipeleka kwenye kifo kizembe huku kukiwa na njia za kujiokoa,.ni sawasawa na wewe kusimama katikati ya high way na magari yanapita kasi useme huogopi kufa,.Kitendo cha kukubali kuongoza chama kukabiliana kila siku na dola iliyojaa police waovu, usalama wa taifa wasiojua maadili ya kazi,.na serikali yenye mawazo maovu dhidi ya upinzani ni sawa na kutakuogopa kufa!Hata vitani askari hutakiwi kuogopa kifo ila hutakiwi kufa kizembe,..kuna ku retreat na kujipanga upya! wewe ulitarajia liliporushwa bomu Mbowe au Lema ajitupe kwenye bomu au Risasi ndio ujue hawaogopi kufa??Think before you post your rubbish here!!Kash kash wanazopata viongozi wote wa upinzani pamoja na familia zao ni dhahiri kifo kwao ni saa yoyote!