Mbowe na Lema: Kweli hamuogopi kufa/kifo??

Viongozi wa chadema wanawadanya watu na kuwatumia kama ngao na kupandia kisiasa lakini hakuna kiongozi hata mmoja wa chadema mwenye nia ya dhati.
 
Wanasiasa wa Chadema ndivyo walivyo. Wanachochea watu ili wauwawe halafu wao wapate cha kuongea.
 
Isitoshe huyu mkuu sijui anatumia nini kufikili ninavyojua mtu unaona mabom ya machoz unabk unasimama kisa huogopi kufa huo ni upambavu
Wao si vichwa ngumu na wanataka kufa kwa ajiri ya watanzania kwa nini wakimbie wacha maneno yako.
 
naona hujamwelewa vizuri. mathalan, wakati juzi akina arfi na lissu wakipambana na polisi, mbowe na lema walikuwa wamesepa. lema aligeuka kuwa nguruwe na mbowe alijigeuza kuwa kichaa pale alipovaa kaptula iliyochanika na kukimbia nduki ili asikamatwe.

wewe ndiyo unapotosha....... mbowe anamiliki bastola na anawalinzi wenye silaha , je ulitaka apambane kwa kuwafyatulia risasi polisi.?
halafu ionaonesha wewe unachuki binafsi na hao wawili kwani mtoa mada kasema hizo kauli hutolewa na viongozi wa chadema akiwemo huyo arfi na lissu.
 
Kutokuogopa kufa haina maana ni kujipeleka kwenye kifo kizembe huku kukiwa na njia za kujiokoa,.ni sawasawa na wewe kusimama katikati ya high way na magari yanapita kasi useme huogopi kufa,.Kitendo cha kukubali kuongoza chama kukabiliana kila siku na dola iliyojaa police waovu, usalama wa taifa wasiojua maadili ya kazi,.na serikali yenye mawazo maovu dhidi ya upinzani ni sawa na kutakuogopa kufa!Hata vitani askari hutakiwi kuogopa kifo ila hutakiwi kufa kizembe,..kuna ku retreat na kujipanga upya! wewe ulitarajia liliporushwa bomu Mbowe au Lema ajitupe kwenye bomu au Risasi ndio ujue hawaogopi kufa??Think before you post your rubbish here!!Kash kash wanazopata viongozi wote wa upinzani pamoja na familia zao ni dhahiri kifo kwao ni saa yoyote!
 
hahaha! kuna mwanasiasa kihiyo kuzidi Nchemba, na yule Gradueate wa Ihemi Lukuvi?

mwanasiasa gani kati ya lema na mbowe utawalinganisha na lukuvi na nchemba? acha mapenzi mabaya wewe. utapata mimba isiyotarajiwa bure
 
nimekuw nikisikiliza kauli za majukwaani na sehemu mbalimbali wanasiasa wa chadema kina mbowe,lema ,tindu lisu kuwa hawaogopi kufa wako tayari kufa kwa ajili ya kupigania haki za watz...

mi mbona naona hii kauli nikuwadanganya watanzania waonekane ni wapiganaji wa kweli kumbe mioyo yao wamejaa uongo na ulaghahi mkubwa mbele ya wananchi.
naomba niwaulize hawa viongozi wa cdm wanaotangaza kila kukicha kuwa hawaogopi kufa .. sasa kama kweli mbona wakati bomu limerushwa wao tayari walikuwa wamekimbia??? mbona wakati polisi wanarusha mabomu ya machozi ili kuwatawanya wafuasi wa chadema mbowe na lema walikimbia na kwenda jificha hotelini na kuwaacha wananchi wanataabika kwa mabomu ya machozi..

wanasiasa wa chadema acheni uwongo wa mchana kweupe hamna nia ya zati toka mioyoni mwenu ..mmuongeacho hamkiishi hata kidogo lengo leni ni kuwaumiza na kuwaingiza wananchi kwenye matatizo.

jiangalie upya kauli zeni na matendo yenu ....

Acha kutema -----! Hata makaburu Afrika Kusini walikuwa wakijiuliza haya haya kuhusau Mandela.

Mandela kamwe hakuogopa kufa!
 
wewe ndiyo unapotosha....... mbowe anamiliki bastola na anawalinzi wenye silaha , je ulitaka apambane kwa kuwafyatulia risasi polisi.?
halafu ionaonesha wewe unachuki binafsi na hao wawili kwani mtoa mada kasema hizo kauli hutolewa na viongozi wa chadema akiwemo huyo arfi na lissu.
Mbona morogoro walirusha risasi na wakamdhuru mtu.
 
kamuulize Mwigulu mbona kahama BOKO DAWASA na famillia yote kakimbia nini?kwanini kakimbilia mjini posta kama yeye anatetea wananchi na wanampenda mbona kawakimbia,wakati anasema ni mtetezi wao,kunakitu kawafanyia Watanzania hasa hayo mauaji yanayoendelea achunguzwe na ndicho kinacho mkimbiza kimbiza.
 
Kutokuogopa kufa haina maana ni kujipeleka kwenye kifo kizembe huku kukiwa na njia za kujiokoa,.ni sawasawa na wewe kusimama katikati ya high way na magari yanapita kasi useme huogopi kufa,.Kitendo cha kukubali kuongoza chama kukabiliana kila siku na dola iliyojaa police waovu, usalama wa taifa wasiojua maadili ya kazi,.na serikali yenye mawazo maovu dhidi ya upinzani ni sawa na kutakuogopa kufa!Hata vitani askari hutakiwi kuogopa kifo ila hutakiwi kufa kizembe,..kuna ku retreat na kujipanga upya! wewe ulitarajia liliporushwa bomu Mbowe au Lema ajitupe kwenye bomu au Risasi ndio ujue hawaogopi kufa??Think before you post your rubbish here!!Kash kash wanazopata viongozi wote wa upinzani pamoja na familia zao ni dhahiri kifo kwao ni saa yoyote!

naona unafikiria kwa kutumia makalio. thread imebainisha kuwa akina mbowe, slaa na lema wanahamasisha vurugu na uchochezi na nguvu inapoanza kutumika wao wanakuwa tayari wamesepa
 
Acha kutema -----! Hata makaburu Afrika Kusini walikuwa wakijiuliza haya haya kuhusau Mandela.

Mandela kamwe hakuogopa kufa!

mandela hakuogopa ila mbowe na lema ni waoga. pia mandela hakuwa kihiyo ila lema na mbowe ni vihiyo wa kutupwa
 
mwanasiasa gani kati ya lema na mbowe utawalinganisha na lukuvi na nchemba? acha mapenzi mabaya wewe. utapata mimba isiyotarajiwa bure

sasa lema kweli asiogope kufa anavyopenda kulakula yule,humuona hata alivyojaa nyamauzembe,zote wanazofanya ni mbinu za kisiasa tu ili wapate madaraka,wale.
 
naona unafikiria kwa kutumia makalio. thread imebainisha kuwa akina mbowe, slaa na lema wanahamasisha vurugu na uchochezi na nguvu inapoanza kutumika wao wanakuwa tayari wamesepa

Akili ya mjinga kama wewe ni matusi,.Afadhali mimi nayetumia makalio kufikiria kuliko wewe usiyefikiri kabisa means wewe huna tofauti na jiwe! Unapoweka Thread hapa jukwaani tegemea michango na challenges mbalimbali sio wote tunaenda kukinga mkono kwa Mwigulu kama wewe , hivo hatuwezi wote kukuunga mkono!
 
nimekuw nikisikiliza kauli za majukwaani na sehemu mbalimbali wanasiasa wa chadema kina mbowe,lema ,tindu lisu kuwa hawaogopi kufa wako tayari kufa kwa ajili ya kupigania haki za watz...

mi mbona naona hii kauli nikuwadanganya watanzania waonekane ni wapiganaji wa kweli kumbe mioyo yao wamejaa uongo na ulaghahi mkubwa mbele ya wananchi.
naomba niwaulize hawa viongozi wa cdm wanaotangaza kila kukicha kuwa hawaogopi kufa .. sasa kama kweli mbona wakati bomu limerushwa wao tayari walikuwa wamekimbia??? mbona wakati polisi wanarusha mabomu ya machozi ili kuwatawanya wafuasi wa chadema mbowe na lema walikimbia na kwenda jificha hotelini na kuwaacha wananchi wanataabika kwa mabomu ya machozi..

wanasiasa wa chadema acheni uwongo wa mchana kweupe hamna nia ya zati toka mioyoni mwenu ..mmuongeacho hamkiishi hata kidogo lengo leni ni kuwaumiza na kuwaingiza wananchi kwenye matatizo.

jiangalie upya kauli zeni na matendo yenu ....

ulitaka wauwawe kiboya?tena na polisi waliotoka chuo juzi!halafu kajifunze kuandika bwana,umenipa shida sana kusoma,hapo ni kiswahili je ungeambiwa ubadilishe lugha!
 
Kutokuogopa kufa haina maana ni kujipeleka kwenye kifo kizembe huku kukiwa na njia za kujiokoa,.ni sawasawa na wewe kusimama katikati ya high way na magari yanapita kasi useme huogopi kufa,.Kitendo cha kukubali kuongoza chama kukabiliana kila siku na dola iliyojaa police waovu, usalama wa taifa wasiojua maadili ya kazi,.na serikali yenye mawazo maovu dhidi ya upinzani ni sawa na kutakuogopa kufa!Hata vitani askari hutakiwi kuogopa kifo ila hutakiwi kufa kizembe,..kuna ku retreat na kujipanga upya! wewe ulitarajia liliporushwa bomu Mbowe au Lema ajitupe kwenye bomu au Risasi ndio ujue hawaogopi kufa??Think before you post your rubbish here!!Kash kash wanazopata viongozi wote wa upinzani pamoja na familia zao ni dhahiri kifo kwao ni saa yoyote!
Mkuu kumbe kufa ni kuwaandalia wengine vifo bila kujali familia zao zitakavyoathirika.

kweli fadhila mfadhili mbuzi utakula nyama binadamu atakuroga kumbe ndiyo maana chadema wanafanya fujo kwa sababu wanajua wao viongozi watakwepa wanachi ndiyo watakao husika na vifo kazi kweli.
 
unajua lazima tuwe wakweli tuache siasa za uchochezi... maan wanasema hawaogopi kufa wanachochea vurugu zikianza wenyewe wanakuwa tayari wamekimbi siku nyingi wanao umia ni wananchi....

chadema mjipime upya kama kweli mnastahili kupewa nchi..kumbukeni jambo moja kuna wanachama wa vyama na wako ambao hawana vyama ambao ndio kundi kubwa la wapiga kura..matendo yenu yanaharibu mtazamo wa siasa za kweli ...

najua mtakuja tukana sana hapa kwa sababu kisu kimegonga mfupa lakini ukweli ndo huo

Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo na ndio maana unatanguliza kujidefend na kutaka ku-opinionate watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri....
Kuna tofauti kubwa kati ya ujasiri na Upumbavu....ndio maana hata Chief Mkwawa alionyesha kutoogopa kufa kwa staili yake.....
Polisi ndio chanzo cha vurugu kwa maeneo mengi Tanzania....ungekuwa ni mtu mwenye kufikiri kwa kina ungejiuliza je kuzuia fujo ni kuua watu? Je ni kurusha risasi hovyo....tujifunze kwa wenzetu.
 
Back
Top Bottom