Mbowe na Lema: Kweli hamuogopi kufa/kifo??

Mbowe na Lema: Kweli hamuogopi kufa/kifo??

nimekuw nikisikiliza kauli za majukwaani na sehemu mbalimbali wanasiasa wa chadema kina mbowe,lema ,tindu lisu kuwa hawaogopi kufa wako tayari kufa kwa ajili ya kupigania haki za watz...

mi mbona naona hii kauli nikuwadanganya watanzania waonekane ni wapiganaji wa kweli kumbe mioyo yao wamejaa uongo na ulaghahi mkubwa mbele ya wananchi.
naomba niwaulize hawa viongozi wa cdm wanaotangaza kila kukicha kuwa hawaogopi kufa .. sasa kama kweli mbona wakati bomu limerushwa wao tayari walikuwa wamekimbia??? mbona wakati polisi wanarusha mabomu ya machozi ili kuwatawanya wafuasi wa chadema mbowe na lema walikimbia na kwenda jificha hotelini na kuwaacha wananchi wanataabika kwa mabomu ya machozi..

wanasiasa wa chadema acheni uwongo wa mchana kweupe hamna nia ya zati toka mioyoni mwenu ..mmuongeacho hamkiishi hata kidogo lengo leni ni kuwaumiza na kuwaingiza wananchi kwenye matatizo.

jiangalie upya kauli zeni na matendo yenu ....

viongozi wako wanaposema MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA na mfumuko wa bei unakua mara mbili zaidi, hua wanaishia wanachokisema? hivi kuna ukweli wowote wa kauli hii? afu bado unashabikia tu kama kondoo! Tanzania huru inahitaji viongozi wenye kauli FIRM kama za akina Mbowe, Slaa, Lema, Lissu n.k ambazo hakuna kiongozi yoyote wa CCM ambae amejaribu kuongea (hata kwa kinafiki), embu uwe unajichunguza kwanza kama reasoning yako iko intact ndo useme kitu, (i bet u must have an impared reasoning!) watanzania sasa tumeshaelimika, sio zile enzi za mwalimu!!
 
Ukimaliza kuharisha nitakujibu pungwani wewe(kibe)tatizo ni empty mind kwa wana ccm mnaangalia matumbo ndio maana jk ameshindwa kuongoza kumbe lengo lake ni kwenda kupiga starehe? Chadema is there to stay no one can liquidate its movement
 
If you are a leader of a certain movement against certain higher powers then automaticaLly you are a number one target because once you are down and the movement is down or taken to several steps backward. Yes you risk several times but never let yourself die easily on the process.

If Mbowe dont run He will be shot or
bombed to death beacause he is actually the target and the police will only say they are investigating his death.

Leting yourself shot to death will never prove you dont fear death rather will be a good help to your rivals who want you dead.

Remember people were shot or bombed when actually targeting a leader of a movement, in another words shooting and bombing people was a 'miss'.
 
Ndugu, Tanzania itachafuka kama watu wema watakaa kimya ati kwa kuogopa watawala. Na ukombozi wa nchi hasa kumng'oa mtawala siyo kazi ndogo inahitaji watu ambao wanaamini kufa kupo na ni kazi ya Mungu kama wanaitendea haki nchi yao yaani wanatetea haki za watanzania na Mungu huwahifadhi na kumbuka watu wema huwaombea kwa Mungu. Nakushauri badala ya kujiuliza kama hawaogopi kufa au la, piga magoti waombee watu hawa kwa ajiri ya nchi yetu ili Mungu mweyewe awatetee.
 
Mbowe na Lema siku ya Bomu na risasi za ccm, hakutoka mpaka saa mbili na nusu akaenda kuongea na mawakala nae mbowe hakumbia mpaka dakika za mwisho alipotoka kwenda kuchangia damu selian hosp..tafuta uongo mwingine mama.......
 
MWISHO WA UBAYA NI AIBU SIKU ZOTE.................. AUAE KWA UPANGA ATAKUFA KWA UPANGA....Amteteae muovu hakika hatakosa adhabu
Maajenti wa waovu mnaofikiri kwa matumbo yenu... Endeleeni kukejeli maisha ya Watu kwa kupenda kupata mikate ya udhalimu damu zenu zitamwagwa kama mavi kwa aibu zaidi angalieni mifano ya serikali dharimu na watawala dharimu hamjifunzi kwao
KUNA MTU ALIKUWEPO SADAM KUNA MTU ALIKUWEPO HITRA KUNA MTU ALIKUWEPO GADHAFI, MOBUTU, IDD AMINI Na wengine wengi
 
mwanasiasa gani kati ya lema na mbowe utawalinganisha na lukuvi na nchemba? acha mapenzi mabaya wewe. utapata mimba isiyotarajiwa bure

Ni kweli hakuna, maana mguu wa chemba ya choo na huyo mwingine ni zaidi ya vihiyo. Yaani wameoza kabisa, wauaji, magaidi wa kutupwa.
 
kwa hiyo hata siku tanzania tukiingia na migogoro na mataifa mengine na tukaamua kupigana kikwete ndo ataenda kuwa mstari wa mbele kwenye mapambano na asipoenda maana yake ye ni mwoga na siyo mzalendo?
 
Kwa ulimboka ndo nina uhakika kuwa jamaa ni mwoga kwa sababu alivyopigwa koleo tu saa hizi kimya kama hakuteswa vile,yule ndo mwoga
 
nimekuw nikisikiliza kauli za majukwaani na sehemu mbalimbali wanasiasa wa chadema kina mbowe,lema ,tindu lisu kuwa hawaogopi kufa wako tayari kufa kwa ajili ya kupigania haki za watz...

mi mbona naona hii kauli nikuwadanganya watanzania waonekane ni wapiganaji wa kweli kumbe mioyo yao wamejaa uongo na ulaghahi mkubwa mbele ya wananchi.
naomba niwaulize hawa viongozi wa cdm wanaotangaza kila kukicha kuwa hawaogopi kufa .. sasa kama kweli mbona wakati bomu limerushwa wao tayari walikuwa wamekimbia??? mbona wakati polisi wanarusha mabomu ya machozi ili kuwatawanya wafuasi wa chadema mbowe na lema walikimbia na kwenda jificha hotelini na kuwaacha wananchi wanataabika kwa mabomu ya machozi..

wanasiasa wa chadema acheni uwongo wa mchana kweupe hamna nia ya zati toka mioyoni mwenu ..mmuongeacho hamkiishi hata kidogo lengo leni ni kuwaumiza na kuwaingiza wananchi kwenye matatizo.

jiangalie upya kauli zeni na matendo yenu ....
teh teh teh vipi ulipewa tenda ya kuwaua Mbowe na lema nini, sasa unalalamika jamaa ya jamaa kutokuwa wajinga.Ipo siku utawaua tu uwe na subira
 
Mara ngapi mmekamata viongoz wa cdm? Hicho tu kinaonesha kuwa wako na wananchi,pia kumbuka watetez wa hak huwindwa sana wauawe,ukiona viongoz hawaogop kuwindwa ujue wako tayari kufa wakitetea haki.
 
Kwa ulimboka ndo nina uhakika kuwa jamaa ni mwoga kwa sababu alivyopigwa koleo tu saa hizi kimya kama hakuteswa vile,yule ndo mwoga

Kamuulize Lipumba baada ya Kuvunjwa mkono Je siku hizi anaandamana kijinga? Ngoja na Mbowe naye Wamlimboka ndiyo tutasema kuwa Mbowe shujaa au maigizo, lakini kwa sasa bado hajaonja joto ya jiwe.
 
Kamuulize Lipumba baada ya Kuvunjwa mkono Je siku hizi anaandamana kijinga? Ngoja na Mbowe naye Wamlimboka ndiyo tutasema kuwa Mbowe shujaa au maigizo, lakini kwa sasa bado hajaonja joto ya jiwe.
nimekusoma ni kweli ikitokea akavunjwa then akaacha kuandamana nitasema ni mwoga
 
Lengo lako ni kuwa disi tu hawa jamaa. hamshangai kwanini kila siku nyie waCCM mnawaambia chadema vitu ambavyo tayari wana majibu? Tundu lissu ame pigea mabomu akaokolewa na askari. Wana chadema tukiwaokoa wabunge wetu kwenye matukio kama haya mara nyingi. sio wao wanajitorosha wenyewe. ni sisi tunawatorosha. ni sisi tunawakimbiza na kuwaficha sehemu msizozijua nyie wauaji wa CCM. tutakapo ikomboa hii nchii mtajichekelesha as if you was part of the battle but we wont dis you. kwasababu tunajua una shida sana na kofia zao na vi laki mbili na kuku wanao walishaga kwenye kampeini zao..
 
waongo wakubwa hawa....wanatanguliza watoto wa watu kufa..et damu yao iwe ukombozi au iwe njia ya kujipatia fedha na madarak
 
That why kila siku nasema Never trust politician especialy of 3rd world countries.
 
Back
Top Bottom