Mbowe na Dr. Slaa ndani ya Liberia

Wewe ndio unapotosha umma. DUA is sponsored by the conservative party of Britain, and the right wing ideological. Na ndio waliotoa fedha kwa viongozi wako kwenda huko Liberia. Those are the facts. It is embarrassing wewe kama muwakilishi wa kina mama unataka kubend facts humu ndani.

Its all known kwamba Torries are funding Chadema, they want an ideological partner in Tanzania for their religious and economical ideology. Huo ndio ukweli.

New Vision Online : FDC's Besigye flies out for consultations
Huna lolote.
 
Umeniwahi mkuu,nawaza gharama za kwenda viongozi wote wakuu wa chama ambacho kina hitaji kujengwa vyema!
Me naona tuna mlaum JK kwa safari bure,tuna laumu kwa sababu hatujapata hizo "chance"

Huu ni ufujaji wa hela ya ruzuku,otherwise labda tuambiwe ni viongozi woote wa vyama walikuwa wana takiwa,.....mambo kama hayo ilibidi katibu mkuu ndo aya shughulikie kwa sasa maana ndo kazi yake,....

Mbowe ni mbunge,pamoja na kwamba ni mwenyekiti wa chama huo ni "Uroho" wa safari!

Mungu awajalie muingie ikulu tuwaone mtakavo safiri,i guess mtanunua ndege ya kifahari balaa kwa mtindo huu
Ukiambiwa wote walitakiwa utakubali, sasa unalalamika nini wakati huna hata data za mkutano.
 
Wewe ndio unapotosha umma. DUA is sponsored by the conservative party of Britain, and the right wing ideological. Na ndio waliotoa fedha kwa viongozi wako kwenda huko Liberia. Those are the facts. It is embarrassing wewe kama muwakilishi wa kina mama unataka kubend facts humu ndani.

Its all known kwamba Torries are funding Chadema, they want an ideological partner in Tanzania for their religious and economical ideology. Huo ndio ukweli.

New Vision Online : FDC's Besigye flies out for consultations

Baba si kweli kwamba Conservartive wanafadhili vyama vyenye ideology hiyo uliyoisema wewe. Kumbe hata Itikadi ya CHADEMA huijui? Nenda kaisome upya CHADEMA na hata vyama vya kiafrika vilivyo kwenye umoja huo
 
Hivi, kwanini asingekwenda kiongozi mmoja tu wa juu na mwingine akabaki? Au ndiyo uroho wa safari tu? Maana hapa akisafiri JK tu nongwa,, haya sasa hawa, mwenyekiti na katibu wote hao! Vipi tena hapa??? Ingeleta tija zaidi kama angekwenda Slaa na mtu kama Wenje au Mbowe na mwingine yeyote mpya kama Lissu aua Sugu ili kumjengea uzoefu wa kimataifa. Sasa magwiji yote mawili yanafuatana!

Safari tamu jameni,, maana hapa tusimseme mwenzetu tu wa mlango wa pili.

Napita tu lakini wakuu.

Salimia ni vyema kabla ya kuhukumu ungefatilia kwanza kwa kufanya utafiti kidogo ili ujue mkutano huo unahusu nini, na wahusika wa mkutano hapa namaanisha wajumbe waalikwa, inawezekana mualiko umeweka wazi kuwa wanaotakiwa kuhudhuria ni mwenyekiti na katibu wa chama. Maana barua yeyote ya mualiko wa mkutano, kongamano au semina hutoa maelekezo kuhusiana na wajumbe au status ya wageni waalikwa, ni vyema kabla ya kuwaona viongozi hao ni waroho wa safari ni vyema ungeangalia na upande huo wa pili.

Kuhusu cc wananchi kulaumu safari za JK ni vyema ungeelewa kuwa msafara wa rais wakati mwingine ujumuisha watu hata 50 na wote ugharimiwa na serikali hapa namaanisha kodi zetu wananchi hivyo kulalama kwa hilo tuna haki. Fuatilia siasa za Malawi japo kidogo utapata taarifa ya Rais Bingu wa Muthari kufuta safari zake zote za nje ya nchi ili ashughulikie matatizo ya ndani ya nchi yake, ikiwemo ukame unaopelekea tatizo la uhaba wa umeme kama kwetu,na kwa safari muhimu mabalozi wa nchi yake walio ktk nchi hizo watamuwakilisha na nyingine ni Waziri wa mambo ya nje na watendaji wa serikali kutoka wizara au taasisi zitakazohusika na jambo litakalo fanyika kwenye ziara ya hiyo ndio watakao wakilisha kwa kushirikiana na wizara ya mambo ya nje
 
Umeniwahi mkuu,nawaza gharama za kwenda viongozi wote wakuu wa chama ambacho kina hitaji kujengwa vyema!
Me naona tuna mlaum JK kwa safari bure,tuna laumu kwa sababu hatujapata hizo "chance"

Huu ni ufujaji wa hela ya ruzuku,otherwise labda tuambiwe ni viongozi woote wa vyama walikuwa wana takiwa,.....mambo kama hayo ilibidi katibu mkuu ndo aya shughulikie kwa sasa maana ndo kazi yake,....

Mbowe ni mbunge,pamoja na kwamba ni mwenyekiti wa chama huo ni "Uroho" wa safari!

Mungu awajalie muingie ikulu tuwaone mtakavo safiri,i guess mtanunua ndege ya kifahari balaa kwa mtindo huu
kwani kwenda huko hawakijengi chama? Kimeo
 
Salimia,

Rais aendapo safari aende yeye kama yeye kumbuka urais ni taasisi hivyo lazima abebe wasaidizi wake ktk kila safari, sasa ndipo tatizo linapoanzia, je kuna umuhimu wa kwenda ktk mkutano ambao waziri wa mambo ya nje anaweza kuwakirisha?

Pia ni la zima uelewe kuwa nchi aiongozwi kwa kujulikana nje au kwa kuwa maarufu nje ya nchi hivyo ni vyema safari za muhimu tu ndio rais aende na pia aangalie msafara wake wale ambao wanenda kwa ajili ya kubeba mikoba, na wale wamfanyiao shoping tu hawana umuhimu. Kupiga kelel kuhusu safari za viongozi hatuaja anza kwa JK kumbuka SUMAYE alienda ziara Marekani na watu zaidi ya 50 ilikuwa kimbembe na wapambe wa JK wakina RA kupitia gazeti lake la RAI walishambulia sana, leo ktk zama zao wanarudia yale yale.

Ndio maana nimekwambia fahamu kwanza dhima nzima ya safari ya MBOWE na SLAA ndipo utoe lawama au masimango. Ingekuwa nao wameenda kama afanyavyo JK na wapambe wake ungeungwa mkono lakini DADA REGIA kakupa ukweli nzima waona tabia ya ku jump to conclision inavyoweza kukushushia heshima? Umelaumu watu bila kujua safari yausu nini na waalikwa ni kina nani?

Usifanye mambo kwa visasi kisa JK anasemwa kwa safari basi SLAA au MBOWE akisafiri nae asemwe.
 
Salimia ni vyema kabla ya kuhukumu ungefatilia kwanza kwa kufanya utafiti kidogo ili ujue mkutano huo unahusu nini, na wahusika wa mkutano hapa namaanisha wajumbe waalikwa, inawezekana mualiko umeweka wazi kuwa wanaotakiwa kuhudhuria ni mwenyekiti na katibu wa chama.

Naloli,, while agree with you in red but also when JK went to Ethiopia it was well known that: "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatano, Machi 9, 2011, anaungana na marais wenzake wa Afrika waliopewa jukumu la kutafuta suluhu ya mgogoro wa kisiasa katika nchi ya Afrika Magharibi ya Ivory Coast, katika hatua za mwisho za jitihada za kujaribu kumaliza mgogoro huo.

Rais Kikwete na marais wenzake wanakutana mjini Addis Ababa, Ethiopia, katika jitihada mpya za kutafuta jawabu la mzozo huo uliolipuka mwishoni mwa mwaka jana kufuatia matokeo ya raundi ya pili ya uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo uliofanyika Novemba 28, 2011."

But, ukiangalia comments za watu (walwale watakatifu na wateule) utashangaa sana.
Mtu kama Zegreaty aliandika "vp kaenda kutalii?"
nngu007 akaandika "Anaogopa kukaa nyumbani kusikiliza matatizo ya wananchi; Ni bora kwenda nje na kula vizuri"
CAMARADERIE akasema "Baba wa kufikia kwa kuwa mimba (kura) si yake"

Na mengine mengi tu na matusi juu just to quote a few here.
Point yangu ni ile ile kwamba,, huku kusema au kutuambia tufanye utafiti kabla ya kulalamika,, kuwiane na mlango wa pili pia. Watelule au malaika wa upande wa pili wao wamakurupuka tu na matusi juu, mbona huwa hamuwaambii wafanye utafiti pia? Tusilalamike tu kwa ujumbe au posts za kujifurahisha au kuchangamsha baraza kama hizo chache nilizozi quote hapo juu. Msumeno unakata kotekote mazee na huo unaowahusu SLAA na MBOWE ndiyo huo huo pia unamhusu JK na timu yake.
Napita wakuu
 
I hope wakirudi jamii itapewa taarifa/ripoti kamili ya yaliyojiri huko na safari yao ilikuwa na manufaa gani kwa chama chao na jamii kwa ujumla.

Ni lazima wajitofautishe na wa upande wa pili. Mambo ya ukale/kizamani ya kufanya kila kitu SIRI yamepitwa na wakati. Siri siri nyingi kwa kawaida huwa hazijengi zaidi ya kuficha uozo kama ambavyo taifa limefikia hivi sasa. Tena ikiwezekana wafanye "Press Conference" pale pale airport na kueleza mambo kwa ufasaha. Hii ni muhimu sana na itasaidia kuongeza imani kwa umma.

Hiki ni kizazi cha "Open Source"; let things be open.

Hivi Ngeleja hajarudi afanye conference pale eapoti au ni siri yake

WAZIRI+NGELEJA..jpg
 
Rais aendapo safari aende yeye kama yeye kumbuka urais ni taasisi hivyo lazima abebe wasaidizi wake ktk kila safari, sasa ndipo tatizo linapoanzia, je kuna umuhimu wa kwenda ktk mkutano ambao waziri wa mambo ya nje anaweza kuwakirisha?

Naloli,
Hapo palipo wekundu,, ni kujua huko huko kwamba urais ni taasisi na si mtu mmoja, itakupa maana kwamba si lazima Rai abaki nchini kutekeleza jukumu fulani, basi "taasisi" itatekeleza on his absence. Sasa hii taasisi tunaitambua tu kwa yeye kusafiri nje?? Vipi kubaki ndani?
Pia unasema kwamba waziri wa mambo ya nje anaweza kumuwakilisha,, hilo ni kweli,, sasa nani kakwambia kwamba waziri wa mambo ya nje anakwenda peke yake bila watu? Acha kukurupuka.
Nitarudi
 
Katika Mikutano yao yote huwa hakuna Perdiem isipokuwa Umoja huu hugharamia Usafiri,Chakula na Malazi.Unaenda na kurudi kama ulivyoenda bila fedha yeyote kutoka kwa waandaaji au wafadhili.

Mheshimiwa, hukuwa na haja ya kuwatetea kwa hili; kwa nafasi zao kama viongozi wa juu wa chama, wameshapita daraja la kuvizia viji-perdiem kwenye mikutano na warsha.
 
Baba si kweli kwamba Conservartive wanafadhili vyama vyenye ideology hiyo uliyoisema wewe.Kumbe hata Itikadi ya CHADEMA huijui?nenda kaisome upya CHADEMA na hata vyama vya kiafrika vilivyo kwenye umoja huo?

Hivi Regia Mtema do you understand what a conservative ideology is? Kiitikadi Chadema haijulikani kwa sababu mnaficha makucha yenu. Au you are a nobody in the party kwa hiyo nobody tell u anything significant. The way Mtei and Mbowe run the party kama biashara ya kifamalia, the rest of u are as clueless as Jambo Forum members. Marehemu Chacha Wangwe, Zitto Kabwe, au yule mama wa umoja wenu wa wanawake mliyemfitini will be my witnesses. Chadema is a farce.

Nenda kaangalie website ya DUA and what they believe in, halafu njoo tena ujibu hoja. DUA, through global conservative coalition sponsors parties who believe in "free market economy and the policy of reducing the size and scope of government provide the best means of creating the wealth and material prosperity to meet the legitimate aspirations of individuals".

Mkisema mtadhibiti bei ya simenti, na kutaifisha mitambo ya Dowans--is against Mtei ideological and your sponsors wouldn't agree with you. Mnatudanganya tu wabongo. Mnataka dola tu.
 
Hivi Regia Mtema do you understand what a conservative ideology is? Kiitikadi Chadema haijulikani kwa sababu mnaficha makucha yenu. Au you are a nobody in the party kwa hiyo nobody tell u anything. The way Mtei and Mbowe run the party kama biashara ya kifamalia, the rest of u are as clueless as Jambo Forum members. Marehemu Chacha Wangwe, Zitto Kabwe, au yule mama wa umoja wenu wa wanawake mliyemfitini will be my witnesses. Chadema is a farce.
Ina maana bila hao CDM haipo au una maana gani?
 
Ina maana bila hao CDM haipo au una maana gani?

Unashindwa kuelewa vitu vidogo. Hao ndio waliofitiniwa na Bwa Mbowe na Mtei, to keep the Chadema as a family business. They refused to be puppets and paid the price.
 
Unashindwa kuelewa vitu vidogo. Hao ndio waliofitiniwa na Bwa Mbowe na Mtei, to keep the Chadema as a family business. They refused to be puppets and paid the price.
Unataka kutulazimisha tukubaliane na wewe unavyojua what about the other side of the coin.
 
Tunawatakia mkutano mwema, tunaamini watakachojadili watatugawia.
Watu wenye busara zao washagundua mchezo mchafu unaofanywa na chadema kwa matakwa ya Taifa 1 kubwa duniani.
Naomba watanzania waanze sasa kuwa mashuhuda wa wasaliti wa taifa letu kwa vijisent vya dola!

mchuma janga hula na wakwao.
 
Watu wenye busara zao washagundua mchezo mchafu unaofanywa na chadema kwa matakwa ya Taifa 1 kubwa duniani.
Naomba watanzania waanze sasa kuwa mashuhuda wa wasaliti wa taifa letu kwa vijisent vya dola!,
mchuma janga hula na wakwao.
Taifa lenu lipi, hili mliloliuza kwa Rostam mliloliangamiza kwa miaka 50.
 
Naloli,, while agree with you in red but also when JK went to Ethiopia it was well known that: "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatano, Machi 9, 2011, anaungana na marais wenzake wa Afrika waliopewa jukumu la kutafuta suluhu ya mgogoro wa kisiasa katika nchi ya Afrika Magharibi ya Ivory Coast, katika hatua za mwisho za jitihada za kujaribu kumaliza mgogoro huo.

Rais Kikwete na marais wenzake wanakutana mjini Addis Ababa, Ethiopia, katika jitihada mpya za kutafuta jawabu la mzozo huo uliolipuka mwishoni mwa mwaka jana kufuatia matokeo ya raundi ya pili ya uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo uliofanyika Novemba 28, 2011."

But, ukiangalia comments za watu (walwale watakatifu na wateule) utashangaa sana.
Mtu kama Zegreaty aliandika "vp kaenda kutalii?"
nngu007 akaandika "Anaogopa kukaa nyumbani kusikiliza matatizo ya wananchi; Ni bora kwenda nje na kula vizuri"
CAMARADERIE akasema "Baba wa kufikia kwa kuwa mimba (kura) si yake"

Na mengine mengi tu na matusi juu just to quote a few here.
Point yangu ni ile ile kwamba,, huku kusema au kutuambia tufanye utafiti kabla ya kulalamika,, kuwiane na mlango wa pili pia. Watelule au malaika wa upande wa pili wao wamakurupuka tu na matusi juu, mbona huwa hamuwaambii wafanye utafiti pia? Tusilalamike tu kwa ujumbe au posts za kujifurahisha au kuchangamsha baraza kama hizo chache nilizozi quote hapo juu. Msumeno unakata kotekote mazee na huo unaowahusu SLAA na MBOWE ndiyo huo huo pia unamhusu JK na timu yake.
Napita wakuu
hivi does a mistake justify th mistake?
sijakuelewa mkuu ,so unalipiza kisasi cha jk kusemwa au unatoa facts?
 
Hivi, kwanini asingekwenda kiongozi mmoja tu wa juu na mwingine akabaki? Au ndiyo uroho wa safari tu? Maana hapa akisafiri JK tu nongwa,, haya sasa hawa, mwenyekiti na katibu wote hao! Vipi tena hapa??? Ingeleta tija zaidi kama angekwenda Slaa na mtu kama Wenje au Mbowe na mwingine yeyote mpya kama Lissu aua Sugu ili kumjengea uzoefu wa kimataifa. Sasa magwiji yote mawili yanafuatana!

Safari tamu jameni,, maana hapa tusimseme mwenzetu tu wa mlango wa pili.

Napita tu lakini wakuu.
Hivi unajua mheshimiwa Rais akisafiri hata nchi jirani huwa anaondoka na watu wangapi kweli?

Hivi, kwanini asingekwenda kiongozi mmoja tu wa juu na mwingine akabaki? Au ndiyo uroho wa safari tu? Maana hapa akisafiri JK tu nongwa,, haya sasa hawa, mwenyekiti na katibu wote hao! Vipi tena hapa??? Ingeleta tija zaidi kama angekwenda Slaa na mtu kama Wenje au Mbowe na mwingine yeyote mpya kama Lissu aua Sugu ili kumjengea uzoefu wa kimataifa. Sasa magwiji yote mawili yanafuatana!

Safari tamu jameni,, maana hapa tusimseme mwenzetu tu wa mlango wa pili.

Napita tu lakini wakuu.
Mara nyingi mwaliko unaweza kuwataka watu wenye cheo fulani au hata ukataja majina kutegemeana na agenda za mkutano.
km umetaka m/kiti na ktb bado unataka aende mtu mwingine.

Usilolijua ni kama usiku wa giza, tutajua kilichojili keep waiting
 
Back
Top Bottom