Mbowe na Dr. Slaa ndani ya Liberia

Hivi, kwanini asingekwenda kiongozi mmoja tu wa juu na mwingine akabaki? Au ndiyo uroho wa safari tu? Maana hapa akisafiri JK tu nongwa,, haya sasa hawa, mwenyekiti na katibu wote hao! Vipi tena hapa??? Ingeleta tija zaidi kama angekwenda Slaa na mtu kama Wenje au Mbowe na mwingine yeyote mpya kama Lissu aua Sugu ili kumjengea uzoefu wa kimataifa. Sasa magwiji yote mawili yanafuatana! Safari tamu jameni,, maana hapa tusimseme mwenzetu tu wa mlango wa pili. Ama labda kama kwa "Babu" dozi haikufua dafu wanafuata nyingine huko.
Napita tu lakini wakuu.

INVITATION LETTER YA MKUTANO IMEELEZA KUWA PARTICIPANTS NI CHAIRMAN NA SEC GENERAL, KAMA NI HIVYO MKWERE ANGEKWENDA PEKE YAKE PARIS KWENYE MKUTANO WA NGO YA MADINI.:embarassed2:
 
Wewe nani unipangie namna ya kukuelewesha? Mimi si sawa na Dr...YEYE ANAUWEZO MARADUFU YANGU...na bado humuelewi. Mimi nimekuelewesha kulingana na ubongo wako finyu...usinichonganishe na kiongozi wangu...niko huru kutoa mawazo yangu nitakavyo na ukipenda unihukumu mimi bila kumhusisha Dr..sawasawa?

Hapo penye rangi ndipo panaponidhihirishia wewe ni mtu wa aina gani. Baada ya maelezo ya W.Slaa umesoma nilichomjibu? Ni wazi kwamba hukusoma la sivyo usingeandika hivi. Na ndiyo maana nasema kwa watu kama wewe kuendelea kuchangia hii, ni kumharibia tu Kiongozi Slaa kwa vile alishanena vyema. Wewe ni wa kunyamaza,, unamvunjia hadhi kiongozi wako. Na ukosefu wa nidhamu na staha, pale ambapo Kiongozi wako ameshatoa ufafanuzi na kueleweka, wewe bado unaongeaongea vitu vya hovyohovyo tu. Na kwa vile nimeshakutambiua na ku note jina lako,, sitahangaika kujibishana na wewe. Mtendee haki Slaa, kama unamheshimu kaa kimya.
 
ni nzuri kuwa expose kwa mataifa mengine ili wakianza kutawala wawe tayari wamejulikana.... vipi Mrema?? Lipumba?? Cheyo?? na Dovutwa wao hawajaitwa???
 
Mh.Slaa, salaam:
Nakushukuru sana kwa majibu yako ya kistaarabu yaliyojaa hekima iliyotukuka. Natamani na wafuasi wako humu watakuwa wamejifunza toka kwako namna ya kutoa au kuchangia mada kwa lugha za kistaarabu zisizo na matusi na kashfa.

Salimia,...
"ushabiki wa kufumba macho na kusema ndio kwa kila kitu kinacho husu chadema" wa baadhi ya wana JF hapa ni utumwa mkubwa sana ambao inabidi kuuepuka!

Huu unaoitwa "uanachama damu,chadema damu,ccm damu" ni utumwa wa ajabu maana una kuzuia hata kuuliza kitu pale unapo ona hakiendi vyema!

Haiwezekani mtu tunaetaka awe raisi mkatae asikosolewe,asiulizwe,nk .

Matokeo yake ni kwamba akiwa raisi mkamchora katuni gazetini kosa

Mkiuliza kitu kwa mda huyo yuko raisi,kosa na mengine kama hayo!

Kama tunataka mabadiliko chini ya raisi bora,then acheni azoee maswali,kejeli,utani,katuni kila kitu otherwise mmmmmh

Haya yote yanatokea kwa sababu taarifa zinatolewa juu juu tu na sio officially e.g wangeweza kutoa taarifa zao kama hizo,updates kwamba viongozi wa chadema wameenda kwenye mkutano,maelezo yote mkutano una husu nini nk

Ukiangalia website yao Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakuna taarifa inayo ongelea chochote kuhusu mkutano huo au safai,nini maana ya kuwa na website sasa fasheni au?

Wachangiaji wanasema usichangie kama hauna uhakika,uhakika au taarifa za kuondo mkanganyiko zinatoka wapi kama sio kwenye website yao?
Au tusikilize radio uhuru ndo tutazipata?

Kuna haja ya kua tofauti na sisiem kwa kila kitu,chadema kiwe chama cha kisasa kwa kila kitu
 
Tuliambiwa hapa kwamba hawa viongozi wetu wapo Liberia. Wamerudi? Mbona haikuendelezwa kwamba viongozi wetu hawa wamesemaje waliporudi kutoka hicho kikao cha Liberia!!
 
vyama rafiki , mbona ccm ilialikwa kwenye vyama vya ukombozi kusini mwa africa? na TLP, NCCR mageuzi havikuhudhuria, TLP, CUF,UDP na vyama vile vingine vya ovyoovyo havikualikwa maana internationally, CUF ni chama cha wazanzibar na wapemba tu, mtu wa bara ukienda huko kama rafiki yangu mtatiro au lipumba umeumia unabaki bendera fuata upepo kwa yote anayoamua maalim seif.

UDP ni chama cha family ya cheyo tu hata siyo chama cha watu wa bariadi au wasukuma , majimbo yote huwa wanagombea yeye na wadogo zake Isack na Magembe.

TLP ni chama cha mzee mrema na group la wahuni walioua NCCR mageuzi na kukimbilia TLP, siyo chama ni kundi la wanyanganyi na wapinga demokrasia Tanzania, NCCR mageuzi ni chama kilichokuwa cha wasomi mwanzo ila baada ya mrema kukiuwa waliobaki mle ni wansiasa waliokosa mahali pa kwenda na WENYE NJAA KALI , MFANO MBATIA NA DAVID KAFULILA na ninawapromise next election ya chama NCCR mageuzi inakufa maana kafulila anataka kugombea uenyekiti wa chama kumtoa Mbatia na makao makuu kuhamishia kigoma
 
Dr.slaa&Mbowe,mkutano ukiisha nenda mkapitishe bakuli ili mje na hela tuendeleze maandamano ili waongee vizuri.p'se..!!
 
Duh!! yaani kwenda Liberia tayari imekuwa issue kubwa na watu humu tayari wamesema ni ufisadi. Liberia?? Mnaijua Liberia lakini?
Laahaulaa!! mimi labda ningekuwa concerned zaidi kama ingekuwa walau Nairobi, maana tumesikia kunafanana kidogo na huko kunakoitwa majuu.

Jamani, tuwaache hawa viongozi wetu makini watimize wajibu wao kikamilifu ili kuwezesha ukombozi wa taifa letu dhidi ya wakoloni weusi.
 
Kwani hapa tatizo ni nini hasa?kualikwa?kukaa siku5?kwa kuwa CDM hawajawahi kusafiri nje? msihofu hizi ni party politics ..CDM ni chama chenye heshima na marafiki zaidi ya Mak anavyoelewa.kaa mkao wa kula jibu utalipata 2015
 
Hivi Ngeleja hajarudi afanye conference pale eapoti au ni siri yake

WAZIRI+NGELEJA..jpg
NGELEJA ALALE MKUTANONI KWA GHARAMA YA KODI YETU UGHAIBUNI KWELI HAKI HII??

Hivi huyu waziri wa Kikwete (Mfanyakazi wa zamani wa Rostam Aziz) hana hata aibu kulala mkutanoni walikokwenda na bosi wake?? Inamaana sasa Mhe Kikwete ndiye aliyeongozana na Ngeleja kwenda kumsaidia huko mkutanoni Ughaibuni au ni vipi??

Hivi kweli utumie fedha zetu kibao kukwea pipa kwenda tu huko nje kuchapa usingizi mkutanoni na ndio WaTanzania tuendelee kupata umeme wa uhakika usio wa DOWANS kwa mtindo huu kweli??

Hebu kwanza angalia hiyo nyoa yake ya huo mtindo wa 'MMBWA KACHOKA' kweli hata mwekezaji anayeinuia kuja kuwekeza kwenye umeme nchi atamchukulia serious kweli huyu Williamu??

Kama safari zote huwa ni hivi hivi tu kwa viongozi wetu kibao huko nje basi kumbe walipa kodi tumekula ya chuya mtupu hapa!!
 
vyama rafiki , mbona ccm ilialikwa kwenye vyama vya ukombozi kusini mwa africa? na TLP, NCCR mageuzi havikuhudhuria, TLP, CUF,UDP na vyama vile vingine vya ovyoovyo havikualikwa maana internationally, CUF ni chama cha wazanzibar na wapemba tu, mtu wa bara ukienda huko kama rafiki yangu mtatiro au lipumba umeumia unabaki bendera fuata upepo kwa yote anayoamua maalim seif.

UDP ni chama cha family ya cheyo tu hata siyo chama cha watu wa bariadi au wasukuma , majimbo yote huwa wanagombea yeye na wadogo zake Isack na Magembe.

TLP ni chama cha mzee mrema na group la wahuni walioua NCCR mageuzi na kukimbilia TLP, siyo chama ni kundi la wanyanganyi na wapinga demokrasia Tanzania, NCCR mageuzi ni chama kilichokuwa cha wasomi mwanzo ila baada ya mrema kukiuwa waliobaki mle ni wansiasa waliokosa mahali pa kwenda na WENYE NJAA KALI , MFANO MBATIA NA DAVID KAFULILA na ninawapromise next election ya chama NCCR mageuzi inakufa maana kafulila anataka kugombea uenyekiti wa chama kumtoa Mbatia na makao makuu kuhamishia kigoma

Mzee Analysis yako iko juu nimekubali. Nako CCM ni kama hivi:

1. CCM- Uadilifu (Wazee wenzake na Mwalimu Nyerere ambao ni watulivu, wakomavu na masikini wa kutupwa kwa kuipenda sana nchi na wenye moyo kuitetea Tanzania).

2. CCM- Ufisadi ( Ni kundi dogo linalojiita Wanamtandao au kumbakumba wa kila dili / mchecheto wa kila senti irukayo hewani wenye utayari wa kuuza hata mtoto wake alimradi fedha ipatikane zaidi kufanyia kila aina ya uchafu unaoweza kufikiria; ni wale ambao mpaka hivi sasa wamepepetwana pembeni wasio na kitu na kubakia RA + EL).

3. CCM-Unguja (Chama cha Wazanzibara kama Vuai wa Kondoa na Hussein Mwinyi wa Kisarawe Umatumbini).

4. CCM-Yatima (Ni wale akina Sumaye, Kigoda, Mungai, banduka, Komanya, Ngulume, na wengine waliokua chini ya BWM).

5. CCM-Bongo Flava (Rizi1, Februari Ma-Ropes, Ndungai, Malisa, Nchimbi, ... hawa hawana hela ila kamsimamo wa uongo na kweli)

6. CCM-Mwandosya / Mangula (Kanda ya Juu Kusini)

7. CCM- Six/John Liquor Ma-Padlocks (Kanda ya Ziwa)

8. CCM- Two Coins Mramba / Mrema / Mbatia (moshi Vijijini)

9. CCM-Uislamu (Pwani/ Tanga / Mashariki na Pemba)

Sasa hapa mtu unapoongelea CCM ni sharti uwe makini sana sana na ijulikane kwamba unazungumzia CCM ipi hasa.
 
ni nzuri kuwa expose kwa mataifa mengine ili wakianza kutawala wawe tayari wamejulikana.... vipi Mrema?? Lipumba?? Cheyo?? na Dovutwa wao hawajaitwa???
Chama cha DEMOCRAT tunacho kimoja 2. Na mkutano ulikuwa wa democrats.
 
Wajemeni,
Hawa viongozi wetu kumbe hawajarudi tu?? Ama kweli safari tamu! Nimeamini sasa.
 
Back
Top Bottom