Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
Usitishe watu nyau wewe,hapa ndio makao makuu mshamba wewe,eti unatoa 24hrs kamwambie mkeo na wanao....

Mkuu usifikiri matusi yanakujenga, yanakushushia heshma.
 
Unafiki mtupu?!.. Akifanya Zitto poa... akitendewa yeye dhambi hata maCCM mnaibuka na kupiga kelele!
 
We kweli kilaza ulitaka uzoeane nao kivipi,nenda ofisin ukatoe malalamiko yako usitake kutisha watu,kama vp jitoe unasubiria nn..

Subirin baada ya saa 24 utaona
 

mkuu ummeongea poa sana. Wanadhani zitto anataka kutpka kisiasa kumbe yeye huko wanakomuazia kesha vuka tayari. Yupo kwenye stage ya self actualization wakati hao wanaomsakama ndio kwanza hata mlo wa siku kwao ni shida.
 
Njia ya muongo ni fupi sana hapo kwenye RED umejidhihirisha kuwa wewe si CHADEMA kama ni CHADEMA basi ni PANDIKIZI.

Mkuu unapoteza muda kunitungia majina yasiyo yangu
 
Mkuu unapotoka sana, tena sana. Kuna any writings zenye copyright za hayo maneno? Naelewa unachotaka kusema lakini unapotosha tena kwa maksudi
By TAYADI

Msomi yeyote anakiri source ya kile akisemacho... Kwa mfano... Mtu akisema hongera kwa kazi ...Tunajua anam-quote Lowasa; Mtu akisema "akili ya kuambiwa changanya na ya kwako" ni JK 2010... Nenda shule!!!

Huu ni mfano tu... Ingia Brainy quotes kwenye google utaona na kujifunza... Ninachokiona hapa au kusikia kutoka kwako ni halali ku-quote!!!.
 
Wanachami wepi ulionao uyo mkeo,mwanao na mfanyakaz ndio wanachama...
 
Umeingia CCM kwa nguvu gani kama siyo ubaguzi?
mimi nimezaliwa nimeikuta ccm pekee na wala sijawahi kuhama kwenda chama chengine chochote kile cha wagema ulimbo.
Nalog off
 
Mkuu unapotoka sana, tena sana. Kuna any writings zenye copyright za hayo maneno? Naelewa unachotaka kusema lakini unapotosha tena kwa maksudi

Wewe ni kama Sindano inayowekwa Uzi kwa nyuma halafu ina shona kwa mbele! Kwani hukuwahi kuona Dr Slaa au Mbowe wakishambuliwa kwa matusi na kejeli nyingi nyingi na mbona hukuwahi kulalamika?

Jamani wacheni kukubali kutumika km Condom ya 250/ isiyokidhi viwango. Wana Chadema wanajulikana na Misukule [Mapandikizi] wanajulikana.
Ingekuwa wewe ni mwana CDM usingeleta hizi hoja zako mfu humu ktk majukwaa haya ya umbea. Lakini kwa kuwa waliokutuma walikupa sharti lazima utimize kwa kuwasikiliza wao. MLIPA ZUMARI NDIO MCHAGUA WIMBO!!
Tulizana kijana wacha Mawenge ya kujidai kuwa wewe ni muelewa wakati huna unalolijua!!

MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!!
 
Comment zako hizi kwa mjinga Happy bado unasema uko CHADEMA?

Natamani wanachadema mkawa na maono haya, tusipoteze muelekeo. Kama viongozi wetu wanakuwa katika migogoro ni wazi watapoteza kondoo. Sisi sote ni wamoja. Tatizo ni ccm. Tuwe na msingi huu.
 
Zitto anapendwa na watu wenye elimu ndogo, kama tafiti zilizoonyesha huzi juzi kwa Kikwete na yeye ni hivyo hivyo tu. Mtu mwenye akili timamu anayechambua mambo hawezi kushindwa kugundua unafiki wa Zitto na umamluki anaoufanya. Anauma na kupuliza ni wachache tu wenye upeo ndio wanaweza kugundua hili na hawawezi kubabaishwa na umaarufu wa Zitto. Nao TISS wakishamaliza kumtumia wakasambaratisha CDM watamuacha hewani ndio atajua kuwa kazi aliyokuwa akiifanya ni ya kipuuzi na inammaliza hata yeye. Zitto najua unasoma hizi post nakushauri andika hii kwenye Diary yako, Hakika litatokea.
 

Mkuu Ben Saanane Dr slaa huwa akikuta mijadala ambayo ana uwezo wa kujibu, hujibu. Hata katika hili hata angeweka post ya kukemea, maana mnapokuwa viongozi hata kama una uhuru wa kutoa mawazo yako lazma uangalie unayatolea wapi, kwa faida ya nan na risk zitokanazo. Lema kaniangusha.

Zitto angeshughulikiwa kwnye vikao vya chama, huko asingeweza kusema anaonewa, huku anashambuliwa hadi anacreate sympathy na jamii itamuona ananyanyaswa kumbe ana makosa. Nieleweke.
 
Last edited by a moderator:
Mbona wanapotukanwa wengine kupitia wafuasi wa ZITTO waliovaa U-CCM husemi?

Mimi sio msemaji wa kila kitu. Sio kila jambo niseme, na wengine nao waseme
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…