Sikubaliani na njia uliyotumia na vitisho ulivyotoa.
Anayeyafanyia kazi mawazo yako ni mpuuz kama wewe!.. Jitoe uende!!!Wenzako wameyachukua and wanayafanyia kazi
Mkuu chadema haijashiba wanachama. Chadema ni chama kikubwa, hata akiondoka Slaa, mbowe, zito bado kitasimama maana watu wamewekeza katika hiki chama. Tunaona mbali tunaogopa watu kukiingiza chama katika liabilities za migogoro. Nielewe nia yangu.
Mimi sikitishi chama, lakini mimi na wanachama wangu tuna nguvu ya kuprotest kama kuna ujinga unaoendelea chamani.
Umeingia CCM kwa nguvu gani kama siyo ubaguzi?hata ukiwapa masaa 48 kwao ni bure tu,hawa ni wabaguzi.
Nalog off
So kill him!...Apana, wanasiasa wanataka kutuchezea. Kama ni ujinga wapeleke ccm lakini chadema ni chama cha vijana, wasomi, wapigania uhuru.
Hata che guevara wakat wa kupigania mapinduzi wale wote alioona wanarudisha nyuma juhudi, he killed them. So chadema haitayumba haitavunjwa eti kisa tunawanyoosha viongozi.
Kijana tafadhali usijifanye wewe punguani,kwani Josephine Mushumbuzi ni kiongozi Chadema?Kwa hiyo wewe msemaji wa ZITTO? Amesemwa ZITTO umechukia... Angesemwa John Mnyika, josephine mshumbusi ama Slaa ungeleta utumbo huu?
Iyo jamii ya kina-shoza,Mwampamba na Zitto mwenyewe,mkuu hizo takataka za kuondoa chadema..Njia ya muongo ni fupi sana hapo kwenye RED umejidhihirisha kuwa wewe si CHADEMA kama ni CHADEMA basi ni PANDIKIZI.
Mkuu afadhali hao jamaa wangekuwa wamekupata japo kwa iota ya unachikionglea, Zitto hata kama kweli anayo matatizo ndani ya chama mbele ya wapiga kura amejiuza kama yeye ni product ambayo hipo anti-ufisadi, pro-development and a patriotic Tanzania. Ndio hicho wanaompendea zitto walichovutiwa nacho kwake yeye, hayo mengine mnayoyaongeza ni unnecessary si kwa zitto bali kwa afya ya chama.Natamani wanachadema mkawa na maono haya, tusipoteze muelekeo. Kama viongozi wetu wanakuwa katika migogoro ni wazi watapoteza kondoo. Sisi sote ni wamoja. Tatizo ni ccm. Tuwe na msingi huu.
Mi ni mpenz,mwanachama na mfia chadema.
Ila huu upuuzi unaofanywa na Lema na genge lake hauna hata chembe ya kujenga chama hata kidogo.
Jf sio ofic ya chadema so lema kama mwigamba apewe adhabu kwa kuvunja katiba ya chama.kusemana nje ya vikao ni ulimbuken wa kisiasa usioweza kuivusha Cdm yetu.
Unapo'generalize unaonesha kutokujiamin! Unataka kuweka wingi wakati umeongea mawazo yako!! Wanachama gani? unawawakilisha kama nani?! Kwa mamlaka uliyopewa na nani?!
Sawa nakubali liliisha ila vitendo vyake vya chini chini bado vinaendelea.... Anyway nikitoka MWAZYE nitakuja weekend hapo Sumbawanga tuongee vizuri.Mkuu hilo lilishakwisha, na vijana waliwajibishwa. Unataka turudi nyuma?
Acha kudanganya watu!!Mkuu nyuma yangu wapo wanachama wafia chama usifikiri ni wewe unapoteza muda kushinda mtandaoni na wala hukijengi chama.
Ila wa Zitto biyee,kweli nyie vichwa vya panzi..ujinga wa lema hauvumiliki.
Lema ni wakifundwa.
Msomi yeyote anakiri source ya kile akisemacho... Kwa mfano... Mtu akisema hongera kwa kazi ...Tunajua anam-quote Lowasa; Mtu akisema "akili ya kuambiwa changanya na ya kwako" ni JK 2010... Nenda shule!!!