sifongo
Ni kweli kabisa, hawa watu wa chadema inaonesha wameshiba ruzuku zinazotokana na kodi tunazokatwa kwenye mishahara yetu na biashara zetu wanaanza kutunishiana misuli. Tusiruhusu
Sisi tunaokukosoa tuna upeo kuliko wanaokusifia kinafiki. UNamkosoa LEMA kutumia mitandao kosa ambalo hata MWIGAMBA alilitenda na wewe unaanzisha mada ileile!
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?
Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?
Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.
Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!
Binafsi nashangazwa sana na chama ambacho nilihisi kipo kwa maslahi yetu (Tz). Lakini sasa kimekua kwa maslahi ya Lema na Mbowe...........kweli baada ya masaa 24 makamanda wa kanda yangu pia tutatoa tamko. Nonsense.....stupid
mkuu, hivi kwani lema ni nani asipewe adhabu?
Mbona wanapotukanwa wengine kupitia wafuasi wa ZITTO waliovaa U-CCM husemi?Yericko hajawahi kuwa objective, ndio maana anakuja na id ya john borne kuchafua viongozi wa chadema (zito) kisa hampendi
Yericko hajawahi kuwa objective, ndio maana anakuja na id ya john borne kuchafua viongozi wa chadema (zito) kisa hampendi
Nadhani sasa wamesha lewa madaraka kwani hawaambiliki wala hawasikilizi .Niweka Uzi hapa masaa machache yaliyopita wenye kichwa cha habari barua kwa Mheshimiwa Lema toka Uk baada ya kupata sapoti nyingi wameshaunyofoa.Nadhani Uzi wako pia utaondolewa
Zitto ni nani asikosolewe?Mkuu, hivi kwani Lema ni nani asipewe adhabu?
In short nimempigia simu Mnyika na kasema atahakikisha anacontrol situation, Zitto hapokei simu. Dr Slaa na Mbowe sijazoeana nao.
ujinga wa lema hauvumiliki.usimusumbue kamanda kwa hoja zako za kimagamba gamba hapa, kwanza kuanzia leo zitto simtambui kama kimgozi wa chama changu, bali kama muuza sura,mtafuta ujiko, mropokaji na asiyejielewa. Huu upuuzi pelekeni mwandiga. Kama na wewe uko upande wa zitto na masalia kuanzia kesho wambieni jamb zenu wa lumumba tumewashitukia.
mawazo huru kutisha watu?Nimeusoma mkuu nikauelewa sana. Unajua ukiwa na mawazo huru huogopi
In short nimempigia simu Mnyika na kasema atahakikisha anacontrol situation, Zitto hapokei simu. Dr Slaa na Mbowe sijazoeana nao.
Ujinga wa zitto unavumilika?ujinga wa lema hauvumiliki.
Lema ni wakifundwa.
Risiti hazijaletwa na viongozi wa chadema.... Zitto ni kiongozi asingezipitisha!
Yeriko na wenzake wanatumiwa na viongozi wengine wa chadema kumwangamiza zitto sijui kwa manufaa ya nani.
If two wrongs does not make one right why do u make ZZ right...Two wrongs does not make one right.