Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
Mkuu, sitaki kujadili sana mambo ya future tense ndani ya chadema kwa sababu mda sii mrefu naingia kwenye kikao kujadili hatma yangu chadema.

Mkuu haina haja ya kujitoa,Mpambanaji hakati tamaa,Hupambana mpaka dakika ya mwisho.Ukijitoa utakuwa umekifanya kile ambacho jamaa walikitaka.
 
Tamko halisaidii, kama vipi rudi ccm.
 
Last edited by a moderator:
Ondoka haraka sana.Chadema haihitaji mamluki na vibaraka wa CCM kama wewe.

Unatishia nyau kwa kuleta hoja ya kijinga jamvini.Pole sana.
 
Mkuu nyuma yangu wapo wanachama wafia chama usifikiri ni wewe unapoteza muda kushinda mtandaoni na wala hukijengi chama.

We jenga chama na wafia chama wako, kwa vitisho, chuki, na kelele zisizo na msingi mtandaoni, mimi najenga nchi! Mwisho wa siku tutakutana tuone nani kafanya nini!
 
Aliyechemsha ni Zitto uwezi kuwadanganya wenzako kwa Posho ya Tsh 80,000/= alafu huku wewe unachukua posho za laki 7 na kulala hotel ya Tsh 160,000/= kwa siku bado usafiri. Alafu ni wa kwanza kuita waandishi wa habari ili kuwafanya wenzake waonekane sio wazalendo yeye ndio mzalendo sasa nao wanahaki yakuuweleza ukweli wa mambo wakae kimya ili iweje ili hali Zitto ni wa kwanza kukimbilia vyombo vya habari. Acha atiwe discipline na Watanzania tumeshajua jinsi alivyo msanii
 
si na wewe unalipwa kwa kuwa kinyume na cdm?ni ajira kutoka ccm si mlipangwa ili muwe mnatuma ujinga kuhusu cdm mpaka watumiaji wa jf wanapungua maana mnalazimishwa na lazima utoe mrejesho kwa riz1
 
Ondoka haraka sana.Chadema haihitaji mamluki na vibaraka wa CCM kama wewe.

Unatishia nyau kwa kuleta hoja ya kijinga jamvini.Pole sana.

Mkuu mimi na wewe tuna tofauti sana, wewe hata kama chama kinakiuka misingi wewe unakisifu. Huu ni unafiki unaohubiriwa sasa
 
si na wewe unalipwa kwa kuwa kinyume na cdm?ni ajira kutoka ccm si mlipangwa ili muwe mnatuma ujinga kuhusu cdm mpaka watumiaji wa jf wanapungua maana mnalazimishwa na lazima utoe mrejesho kwa riz1

Tatizo lako binti, hujui siasa na unafuata mkumbo wa kumchukia Zitto bila ushahidi. Na hujataka kuupa ubongo wako nafasi ya kutafakari vyema. Mimi napigania misingi sio watu. Wewe unakuja na vihoja.

Otherwise endelea kula ndizi huko rombo
 
Mkuu haina haja ya kujitoa,Mpambanaji hakati tamaa,Hupambana mpaka dakika ya mwisho.Ukijitoa utakuwa umekifanya kile ambacho jamaa walikitaka.

Mkuu, kama unasukuma jiwe hata halisogei jua work done is equal to ziro. Uongozi mdhaifu ndio naujadili, hawaambiliki.
 
Mkuu mimi na wewe tuna tofauti sana, wewe hata kama chama kinakiuka misingi wewe unakisifu. Huu ni unafiki unaohubiriwa sasa

sixgates, mimi sio mwanachama wa chama chochote, ila kwa njia moja ama nyingine kuna namna ambavyo hivi vyama vinaniathiri iwe positive au negative.

Pili, si mtetei Zitto wala Lema, ila naungana na wewe kutoridhishwa na uongozi wa CHADEMA kutokuchukua hatua au kutoa tamko la kuonyesha kinalichukuliaje hili suala na kitachukua hatua gani.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, sitaki kujadili sana mambo ya future tense ndani ya chadema kwa sababu mda sii mrefu naingia kwenye kikao kujadili hatma yangu chadema.
Kwani kuna mtu anakulea chadema hadi ujadili hatma yako,bado masaa mangapi tukuimbie Parapanda...
 
Mkuu, kama unasukuma jiwe hata halisogei jua work done is equal to ziro. Uongozi mdhaifu ndio naujadili, hawaambiliki.

wewe ni kati ya wapuuzi tu, ondoka chadema usitutidhe kijinga hapa..
 
Mkuu sixgates masaa 24 yameshaisha,njoo utoe tamko la kujitoa chadema. Bahati nzuri kesho bungeni na Kikwete atakuwepo. Ni raha ilioje kupokelewa na kutambulishwa bungeni na mwenyekiti wa ccm taifa? Utakuwa umewazidi hadhi kina shonza na mtela waliotambulishwa na ZUNGU bungeni. Ahahahahaa! Unatishia nyau watu. Muulize Lemutuz na ka mkwara kake kwa Jakaya kama kalifua dafu kuhusu katiba.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu nashukuru kwa kuwa na wewe unahesabu masaa.
 
Wacha mikwara kijana bado ROBO SAA unasubiri nini?
Unatishia ... wakati unatumbo la KUhara ?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…