Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?
Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?
Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.
Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!
More updates
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Sasa hivi ni saa sita mchana..Mpaka sasa yamebaki Masaa Tisa. Bado nasubiri kusikia Tamko la Mwenyekiti wa chama, ama Katibu... Laa sivyo tutachukua maamuzi magumu.
Wewe si umejiita mwanaCHADEMA na ukatishia kuungana na wanachama wa kanda yako kutoa matamko, inakuwaje tena unasema hawa watu wa CHADEMA wameshiba ruzuku?, Ukiwa muongo usiwe msahaulifu.sifongo
Ni kweli kabisa, hawa watu wa chadema inaonesha wameshiba ruzuku zinazotokana na kodi tunazokatwa kwenye mishahara yetu na biashara zetu wanaanza kutunishiana misuli. Tusiruhusu
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?
Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?
Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.
Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!
More updates
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Sasa hivi ni saa sita mchana..Mpaka sasa yamebaki Masaa Tisa. Bado nasubiri kusikia Tamko la Mwenyekiti wa chama, ama Katibu... Laa sivyo tutachukua maamuzi magumu.
kama ni kweli Mbowe na Dr Slaa wataita hicho kikao chama kitapona,jambo la msingi ni kuwakanya halo wabunge vijana wa Chadema wawe na lugha nzuri majukwaani waige mfano wa wabunge wa NCCR Jinsi wanavyo elezea jambo sio kuropokaropoka kama walevihahaha, kamati kuu ya CCM imetoa masaa 24 kwa Mh. Mbowe na Dr,Slaa, loh, hii kali ya mwaka.
sasa ndugu wewe unalinganisha wabunge wa NCCR na WACHADEMA wapi na wapi???? au una maanisha chadema ijiunge na NCCR?maana kwangu wabunge wa chadema kuiga ya NCCR ni kuwa kama NCCR, siafiki, ngoja nyeupe iitwe nyeupe na nyeusi ibaki kuitwa nyeusi, iache chadema na mambo yake.kama ni kweli Mbowe na Dr Slaa wataita hicho kikao chama kitapona,jambo la msingi ni kuwakanya halo wabunge vijana wa Chadema wawe na lugha nzuri majukwaani waige mfano wa wabunge wa NCCR Jinsi wanavyo elezea jambo sio kuropokaropoka kama walevi
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote.
More updates
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Sasa hivi ni saa sita mchana..Mpaka sasa yamebaki Masaa Tisa. Bado nasubiri kusikia Tamko la Mwenyekiti wa chama, ama Katibu... Laa sivyo tutachukua maamuzi magumu.
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?
Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?
Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.
Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!
More updates
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Sasa hivi ni saa sita mchana..Mpaka sasa yamebaki Masaa Tisa. Bado nasubiri kusikia Tamko la Mwenyekiti wa chama, ama Katibu... Laa sivyo tutachukua maamuzi magumu.
We Gamba pure..Mimi sio CCM nisome vizuri mkuu

Mkuu mwangalie wife uyo anatamaa sana usikute Mwigulu anamleamke wangu simiyu unanikataa?
JE' HUO UJAUZITO ULIONAO ATAUTUNZA NANI?
SIKIA MAMA WATOTO, SIASA ISIFANYE UNIULIE MTOTO WANGU TULIA MAMA TUJENGE FAMILIA.