Watoto wa nje ya ndoa bana tangu wazazi wako kuachana baada ya ujauzito wako kuleta utata ulikumbana na mkosi na huu mzimu utakutesa daima basi tafuta mume uolewe japo huna mvuto hata wa kuolewa.
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?
Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?
Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.
Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!
Mimi hakuna anaeweza kunituma. W.j.malecela ni looser hana ubavu wa kuniagiza jambo.
Jikite kwenye hoja acha ku attack personalities
Nasikitika sana kuona utabiri alioutoa Wasira kuhusu CDM unakaribia.. hamna jinsi tena CDM inaweza kuingia uchaguzi ujao ikiwa na ile nguvu ya 2010. Na hiki ndio kitasababisha CCM itawale milele..
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?
Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?
Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.
Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!
Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!
Wewe mpuuzi sana tena kaa kimya hivi unataka M/kiti na Katibu waje mtandaoni kulifanyia hilo jambo kazi??ungekuwa kiongozi ungefanya hivyo???kuna vikao vya chama watalifanyia kazi swala hilo.kaa kimya fanya yanayokuhusu na chama chako cha majambazi na waporaji wa rasilimali za taifa letu
Mkuu tatizo nalipa kodi na ruzuku zinaenda kwene hiki chama so usifikiri ntaacha kukikemea
Kweli kabisa... watu wameshindwa kusimamia Kanisa, Ndoa, sasa Chama... NCHI ATAIWEZA....... kunahaja ya kutafakari upyaChadema ni kama gari lisilo na dereva
Linakwenda kwenda tu...
Si umemuona alivyofura...Amebaki kutukana tuu...
Hao uliowataja ndio watuhumiwa namba mbili na tatu wa hili saga. Mtuhumiwa namba moja yuko shambani kwake Tengeru...
Mkuu tatizo nalipa kodi na ruzuku zinaenda kwene hiki chama so usifikiri ntaacha kukikemea
lizee lizima linazinizini tu,uchumba gani na mvi,lizee lizima michezo halijamaliza???kukikemea sawa, lakini hupaswi kukitisha chama. Ukikitisha hatutakuacha coz hata sisi kinatuhusu pia na kukilipia. Haya matamko ya hadharani lazima yawe na adabu kwa chama na viongozi wetu vinginevyo ni kuchochea zaidi hizi vurugu za kijinga.
Mnaudhi sana, mnadhani hiki chama ni cha zitto na lema? Acheni kuinufaisha ccm kirahisi hivi, aliyechoshwa na chadema aondoke tu.