Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
Mabweg.e kama hao unachopaswa si kuwasaidia kuwawekea kisoma muda, bali kuwaongezea muda, labda mbele ya safari wanaweza kupona ugonjwa unaowakabili. Si umeshasikia wataalam wakisema muda huwa unaponya??

hahaha
kadri muda unavyosogea ndivyo atakuwa akijiweka mbali na kauli yake..hivyo saa imeweka ili asijisahau aibu ikamfika zaidi ya hii
 
hahahaahaha
anadhani watu watadhani sio yeye kaharibu godoro eti kwasababu walikuwa wawili wamelala..haha! kalagabaho!

kwa idhini yako nakopi signature yako "SHIMO LA PANYA HALIZIBWI KWA MKATE"
Ili mradi panya mwenyewe asiwe panya buku..... Panya buku anaweza kudhani mkate ni jiwe la mtoni lililopakwa sumu. Akaogopa kupata kitoweo, akafa kwa njaa.
 
Inategemea kuna marehemu wengine hawajagushwa hata na mchanga.

Uguse mchanga, uguse udongo au usiuguse.......... njia ni ile ile. Mauti yako pale palepale, iwe CCM, iwe CDM. Lakini kwa kufuata necha, mzee yampasa atangulie kufa.
 
Chadema kimeudhihirishia umma wa Watanzania kuwa si chama cha kisiasa ni chama cha wahuni.

Hivi unategemea nini katika chama kinachoendeshwa na DJ ambae fani yake kuu ni kuendesha kilabu cha usiku (night club)?

Uhuni tu.

We endelea kukesha na Chadema badala ya kupigania maslahi ya Waislamu....Unaitetea ccm ambayo inakuua......

Katiba ndo hiyooo tunaipata, Mahakama ya Kadhi hakuna, OIC tupa kuleee, sijui upuuzi gani wa uamsho tupa kuleeee......

Umebaki tu hapa na Chadema kila siku....
 

Teh teh teh umeamua kuwapasukia ukweli mkuu. Unajua kuna principle nyingine ni za kuepuka kama hii ya kutaka kutoka kupitia mgongo wa mwingine ni mbaya sana. Kuna njia nyingi za kutoka na nzuri zaidi hebu wajiulize kina hao zitto walioko juu kwasasa walitoka kwakuwasingia wengine mambo ya uzushi?
 

Wewe sio muumini wa zito kwani sikuhizi kaanzisha dini?
 
Mnafiki mkubwa wewe....Sentensi yako ya mwisho haina tofauti na mipasho ya Buku 7fc..

Mkuu viroba havikubaliki. Kama nimekugusa, au nimeigusa secta yako pole sana.
 
Mkuu tatizo nalipa kodi na ruzuku zinaenda kwene hiki chama so usifikiri ntaacha kukikemea

Naibu Waziri na Katibu mkuu,wizara ya Elimu wanatuvuruga,umesha wakemea!?au tuanze na Chadema kwanza!?
 
Mbona anaeleweka....Umejivua nguo pandikizi wewe..

Unaweweseka mkuu. Nakwambie after 24 hrs kupita agizo letu lisipofuatwa utagundua ni nini na maanisha. Na sio kwa kanda yetu tu, nitakusanya sign nchi nzima
 

Kwi kwi kwi....Wanaondoa Div 0 wanaweka Div V.....Nimependa hii..
 
Unaweweseka mkuu. Nakwambie after 24 hrs kupita agizo letu lisipofuatwa utagundua ni nini na maanisha. Na sio kwa kanda yetu tu, nitakusanya sign nchi nzima
Nakushauri uanzie Moshi Makao makuu. Najua akili na uelewa wako imepeleka bongo yako kwenye dira ya kanda hiyo.

Mwisho wa siku Simba akikosa nyama, na akazidiwa nyasi huwa kama mbuzi mee, na nyasi zikawa asua yake.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…