Mbowe na Dkt. Slaa ni balaa watatoana damu

Dkt Slaa amejibu mapigo kwa kuclaim kwamba Mbowe na washirika wake lazima wawe ombaomba akinukuliwa wakati wa maandalizi ya kongamano la Mwanza Dkt Slaa amesema kuwa atahakikisha anaziba mirija ya Mbowe na kufichua janja janja zake alizozificha nyuma ya kivuli cha harakati nataka kufanya their political careers difficult alisikika Dkt. Slaa. (Huku akiuma midomo yake).

Mwamba alikipigania sana Chama ila Dkt. Slaa inaonekana amemzidi nguvu amekipasua chama katikati Diaspora hawaelewi kitu hela za mkutano wa Temeke zilipigwa safari hii wanataka Mwamba atoke ampishe Lissu (Dishi limeyumba) au waende Sauti ya Watanzania. Kikubwa maandalizi ya uchaguzi wa ndani wameshika nafasi zote nyeti.

Upande wa pili wa Mbowe yametoka maelekezo hakuna mfuasi wa mbowe kushiriki space za Maria na kongamano la katiba litakalofanyika Mwanza sababu Maria anatajwa kuwa ni fisi mwenye kueneza chuki na mshirika wa Lissu (Dishi kuyumba)..!

Zipo taarifa kwa upande wetu sisi tunaona za hovyo na roho mbaya tu wamemtaka Mdude nyagali kufuta jina la Chadema katika handle zake zote ajiite Mdude Nyagali au mdude Wilbroad Slaa!! Pamoja na kutoshiriki kuhamisha kuchanga movt za kitabu chake.

Balaa lingine kutoka kwa Diaspora wamekata kuchangia mikutano iliyopangwa kuendelea kanda ya Nyasa kamati maalum imeundwa ya kukusanya michango ya ndani kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali wafuasi wa Chadema.

Habari mbaya kwa walioandaa kongamano wajipange watapigwa mawe Mwanza -Bavicha Mbowe wamepewa kazi kuhakikisha kongamano la Sauti ya watanzania halifanyiki lengo kumzuia Dokta Slaa asijibu mapigo ya mkutano wa baraza la Wazee…!!!
View attachment 2771259
Kazi kweri kweri ina maana vicoba company imefikia hapo!
 
View attachment 2771259Bwana mwqandishi umejitahidi sana kuandika kwa kirefu, ila kwa kuwa mwandishimwandamizi wa gaazeti tajwa ni majeruhi wa maamuzi MAGUMU ya CHADEMA, hamna la kushangaza,Pili Mbowe alumbane na Babu Slaa kutokea wapi, maana Mbowe anjulikana kwa alivyo smart kwenye kuamua mambo yake, hata Babu nae ni majeruhi wa Maamuzi MAGUMU ya CHADEMA hivyo hmana jipya. Anyaway ndio namna ya ninyi kupata kula yenu Continue PULL UP YOUR SOCKS.
 
aise!!

Dr. Slaa na mkeo Mushumbuzi walikipigania Chama kwa nguvu kubwa sana hakuna mtu yeyote ndani ya chadema akimwacha Lisu anaye weza kusimama na kujilinganisha na Dr. SLAA katika kukipigania chama, walipambana kwa damu kwa jasho na damu.......
 
Dkt Slaa amejibu mapigo kwa kuclaim kwamba Mbowe na washirika wake lazima wawe ombaomba akinukuliwa wakati wa maandalizi ya kongamano la Mwanza Dkt Slaa amesema kuwa atahakikisha anaziba mirija ya Mbowe na kufichua janja janja zake alizozificha nyuma ya kivuli cha harakati nataka kufanya their political careers difficult alisikika Dkt. Slaa. (Huku akiuma midomo yake).

Mwamba alikipigania sana Chama ila Dkt. Slaa inaonekana amemzidi nguvu amekipasua chama katikati Diaspora hawaelewi kitu hela za mkutano wa Temeke zilipigwa safari hii wanataka Mwamba atoke ampishe Lissu (Dishi limeyumba) au waende Sauti ya Watanzania. Kikubwa maandalizi ya uchaguzi wa ndani wameshika nafasi zote nyeti.

Upande wa pili wa Mbowe yametoka maelekezo hakuna mfuasi wa mbowe kushiriki space za Maria na kongamano la katiba litakalofanyika Mwanza sababu Maria anatajwa kuwa ni fisi mwenye kueneza chuki na mshirika wa Lissu (Dishi kuyumba)..!

Zipo taarifa kwa upande wetu sisi tunaona za hovyo na roho mbaya tu wamemtaka Mdude nyagali kufuta jina la Chadema katika handle zake zote ajiite Mdude Nyagali au mdude Wilbroad Slaa!! Pamoja na kutoshiriki kuhamisha kuchanga movt za kitabu chake.

Balaa lingine kutoka kwa Diaspora wamekata kuchangia mikutano iliyopangwa kuendelea kanda ya Nyasa kamati maalum imeundwa ya kukusanya michango ya ndani kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali wafuasi wa Chadema.

Habari mbaya kwa walioandaa kongamano wajipange watapigwa mawe Mwanza -Bavicha Mbowe wamepewa kazi kuhakikisha kongamano la Sauti ya watanzania halifanyiki lengo kumzuia Dokta Slaa asijibu mapigo ya mkutano wa baraza la Wazee…!!!
View attachment 2771259
Naamini Chadema wanawahitaji zaidi akina DK.Slaa na Sauti ya Watanzania kwa ujumla.Chadema wasije wakajidanganya kuwa kwa sasa wanajitosheleza.Dk Slaa alikijenga Chadema zaidi ya Mbowe.Na hata sasa Chama hicho kinaelea tu.Yaani hakina mizizi yoyote.
 
Jamii forum ni jukwaa makini Sana mnapata wapi hizo habari za kuokoteza, mala bandari imeuzwa, sijui Rostam ni dalali Leo Mbowe na silaha wananyukana sijui Samii anataka kuwauzia nini waarabu sijui, mbona tuna hama kwenye ugreat thinkers hebu njooni na fact wengine siku hizi hatuangalii tv Wala kusoma magazeti tunategemea kuhabalishwa kupitia jukwaa hili.
Na wada
Tuache upuuzi.
 
Naamini Chadema wanawahitaji zaidi akina DK.Slaa na Sauti ya Watanzania kwa ujumla.Chadema wasije wakajidanganya kuwa kwa sasa wanajitosheleza.Dk Slaa alikijenga Chadema zaidi ya Mbowe.Na hata sasa Chama hicho kinaelea tu.Yaani hakina mizizi yoyote.
Unaota wewe. Chadema imeshamsahau huyo Dr. mihogo wako. Kama unampenda sana kaungane naye muanzishe chama.
 
ndani aliongea maneno ya hivyo sana
sLAA muogopeni sana tena sana. Alidhihaki sana Mbowe kuwekwa ndani kitu ambacho mwenye akili asingeliweza kufaya. Leo pumbavu linalia lia baada ya kutolewa ubalozi!
 
Unahitaji nini zaidi kujua kwamba huko ndani kunachemka...[emoji2]View attachment 2771380
Ugomvi uko wapi? anagombana na nani? anasema sina nongwa na mtu yeyote, msikilize vizuri.....anasema hakuna shida kuungana na watu wengne. Watushirikishe katika mipango yao toka mwanzo, tuone tutakavyo adjust program zetu kuingia na wao
 
Ugomvi uko wapi? anagombana na nani? anasema sina nongwa na mtu yeyote, msikilize vizuri.....anasema hakuna shida kuungana na watu wengne

Lisemwalo lipo kama halipo, laja:

F7knZtJXoAA0UUj.jpeg

Hata bi tozo mwenye vyombo vyake alisema.

Pity!
 
Ugomvi uko wapi? anagombana na nani? anasema sina nongwa na mtu yeyote, msikilize vizuri.....anasema hakuna shida kuungana na watu wengne. Watushirikishe katika mipango yao toka mwanzo, tuone tutakavyo adjust program zetu kuingia na wao
Shida ya slaa sahizi analazimisha asikilizwe wakati watu walishampuuza. Huko Twitter wanaharakati wanataka chadema ifate matakwa Yao wakati chadema ipo kwa ajili ya siasa na kuchukua dola sio kwa ajili ya harakati zao Kuna mambo chadema itafanya kama taasisi na wanaharakati watafanya mambo Yao kama wanaharakati kila mtu aheshimu sio kulazimishana
 
Back
Top Bottom