Mbowe na Dkt. Slaa ni balaa watatoana damu

Old stories do not hold water in the 21st century! Hawa ni mashabiki, wala Mbowe hana ugomvi na yeyote! Mbonawalifanya mkutano wote temeke? nyie watu mnafikra dhaifu sana

Heri ugomvi kuliko mafarakano. Pia legends siyo old stories. Lengends are forever.
 
Dkt Slaa amejibu mapigo kwa kuclaim kwamba Mbowe na washirika wake lazima wawe ombaomba akinukuliwa wakati wa maandalizi ya kongamano la Mwanza Dkt Slaa amesema kuwa atahakikisha anaziba mirija ya Mbowe na kufichua janja janja zake alizozificha nyuma ya kivuli cha harakati nataka kufanya their political careers difficult alisikika Dkt. Slaa. (Huku akiuma midomo yake).

Mwamba alikipigania sana Chama ila Dkt. Slaa inaonekana amemzidi nguvu amekipasua chama katikati Diaspora hawaelewi kitu hela za mkutano wa Temeke zilipigwa safari hii wanataka Mwamba atoke ampishe Lissu (Dishi limeyumba) au waende Sauti ya Watanzania. Kikubwa maandalizi ya uchaguzi wa ndani wameshika nafasi zote nyeti.

Upande wa pili wa Mbowe yametoka maelekezo hakuna mfuasi wa mbowe kushiriki space za Maria na kongamano la katiba litakalofanyika Mwanza sababu Maria anatajwa kuwa ni fisi mwenye kueneza chuki na mshirika wa Lissu (Dishi kuyumba)..!

Zipo taarifa kwa upande wetu sisi tunaona za hovyo na roho mbaya tu wamemtaka Mdude nyagali kufuta jina la Chadema katika handle zake zote ajiite Mdude Nyagali au mdude Wilbroad Slaa!! Pamoja na kutoshiriki kuhamisha kuchanga movt za kitabu chake.

Balaa lingine kutoka kwa Diaspora wamekata kuchangia mikutano iliyopangwa kuendelea kanda ya Nyasa kamati maalum imeundwa ya kukusanya michango ya ndani kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali wafuasi wa Chadema.

Habari mbaya kwa walioandaa kongamano wajipange watapigwa mawe Mwanza -Bavicha Mbowe wamepewa kazi kuhakikisha kongamano la Sauti ya watanzania halifanyiki lengo kumzuia Dokta Slaa asijibu mapigo ya mkutano wa baraza la Wazee…!!!
View attachment 2771259
Mbowe ni Dunia nyingine....
 
Habibu Mchange anaumwa Apedomia yaani ni ule ule unyani wa siku zileeeee.
 
slaa muda wake umekwisha
 
Crap

Sent from my Nokia G60 5G using JamiiForums mobile app
 
We nawe mnafki kama Babuako Slaa unaandika bila mpangilio mradi uchochee chuki baina ya watu!! Fala tuu kunawatu wafitini utadhani waratibu wakuzimu
 
Back
Top Bottom