Mbowe na Dkt. Slaa ni balaa watatoana damu

Upinzani Tanzania bado haujawa na nia ya dhati kumkomboa mwananchi. Wengi ni watafuta fursa ndio maana kila wakipiga hatua wanagombana.
Shekeli baba....

Si Prof.Lipumba...

Si Dr.Slaa....

Si Freeman Mbowe...

Wote wazee wa fursa*

Bora ya CCM ni zimwi likujualo kwani CCM ni zaidi ya chama cha siasa.....

CCM inayajua maumbile* ya Tanzania na siasa zake.....

Makosa ya CCM yapo kwani hakie deshwi na malaika.....ila makosa hayo ndio "maumbile na hulka za watanzania" na chama hakiongozi serikali ya MAREKANI [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Umehangaika mno kuweka mabano kwenye jina la Lissu lakini wewe ndio unaonekana mpuuzi.
 
Dkt Slaa amejibu mapigo kwa kuclaim kwamba Mbowe na washirika wake lazima wawe ombaomba akinukuliwa wakati wa maandalizi ya kongamano la Mwanza Dkt Slaa amesema kuwa atahakikisha anaziba mirija ya Mbowe na kufichua janja janja zake alizozificha nyuma ya kivuli cha harakati nataka kufanya their political careers difficult alisikika Dkt. Slaa. (Huku akiuma midomo yake).

Mwamba alikipigania sana Chama ila Dkt. Slaa inaonekana amemzidi nguvu amekipasua chama katikati Diaspora hawaelewi kitu hela za mkutano wa Temeke zilipigwa safari hii wanataka Mwamba atoke ampishe Lissu (Dishi limeyumba) au waende Sauti ya Watanzania. Kikubwa maandalizi ya uchaguzi wa ndani wameshika nafasi zote nyeti.

Upande wa pili wa Mbowe yametoka maelekezo hakuna mfuasi wa mbowe kushiriki space za Maria na kongamano la katiba litakalofanyika Mwanza sababu Maria anatajwa kuwa ni fisi mwenye kueneza chuki na mshirika wa Lissu (Dishi kuyumba)..!

Zipo taarifa kwa upande wetu sisi tunaona za hovyo na roho mbaya tu wamemtaka Mdude nyagali kufuta jina la Chadema katika handle zake zote ajiite Mdude Nyagali au mdude Wilbroad Slaa!! Pamoja na kutoshiriki kuhamisha kuchanga movt za kitabu chake.

Balaa lingine kutoka kwa Diaspora wamekata kuchangia mikutano iliyopangwa kuendelea kanda ya Nyasa kamati maalum imeundwa ya kukusanya michango ya ndani kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali wafuasi wa Chadema.

Habari mbaya kwa walioandaa kongamano wajipange watapigwa mawe Mwanza -Bavicha Mbowe wamepewa kazi kuhakikisha kongamano la Sauti ya watanzania halifanyiki lengo kumzuia Dokta Slaa asijibu mapigo ya mkutano wa baraza la Wazee…!!!
View attachment 2771259
Wakati uhalisia ni vinginevyo, hata Mwandishi anatambua hilo
 
Kwanini Dr. Slaa yeye hayo madai yake asiyapeleke Mahakamani na badala yake na yeye anaanza kufanye aliyoyakataa? Mara ashambulie serikali , mara atake kuitisha maandamane huku akitaka aungwe mkono? Why asiende Mahakamani?
Ngoja tuone maandamano yake ya Nchi nzima Kijiji kwa Kijiji,Huyo Babu ni mroho sana wa teuzi.
 
Yule Babu Fala sana.
Hakuna sisimizi yeyote kati ya hawa Mdude, Slaa au Mwabukusi ambaye anaweza kuanzisha maandamano.

Watu wako na mishe zao za kutafuta fedha, waache waje waunge hawa malaya wa kisiasa. !! Nani anamuamini Slaa sasa hivi? Mtu ambaye kakataliwa mpaka na familia yake na chama chake
 
😆😆😆😆
 
Dkt Slaa amejibu mapigo kwa kuclaim kwamba Mbowe na washirika wake lazima wawe ombaomba akinukuliwa wakati wa maandalizi ya kongamano la Mwanza Dkt Slaa amesema kuwa atahakikisha anaziba mirija ya Mbowe na kufichua janja janja zake alizozificha nyuma ya kivuli cha harakati nataka kufanya their political careers difficult alisikika Dkt. Slaa. (Huku akiuma midomo yake).

Mwamba alikipigania sana Chama ila Dkt. Slaa inaonekana amemzidi nguvu amekipasua chama katikati Diaspora hawaelewi kitu hela za mkutano wa Temeke zilipigwa safari hii wanataka Mwamba atoke ampishe Lissu (Dishi limeyumba) au waende Sauti ya Watanzania. Kikubwa maandalizi ya uchaguzi wa ndani wameshika nafasi zote nyeti.

Upande wa pili wa Mbowe yametoka maelekezo hakuna mfuasi wa mbowe kushiriki space za Maria na kongamano la katiba litakalofanyika Mwanza sababu Maria anatajwa kuwa ni fisi mwenye kueneza chuki na mshirika wa Lissu (Dishi kuyumba)..!

Zipo taarifa kwa upande wetu sisi tunaona za hovyo na roho mbaya tu wamemtaka Mdude nyagali kufuta jina la Chadema katika handle zake zote ajiite Mdude Nyagali au mdude Wilbroad Slaa!! Pamoja na kutoshiriki kuhamisha kuchanga movt za kitabu chake.

Balaa lingine kutoka kwa Diaspora wamekata kuchangia mikutano iliyopangwa kuendelea kanda ya Nyasa kamati maalum imeundwa ya kukusanya michango ya ndani kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali wafuasi wa Chadema.

Habari mbaya kwa walioandaa kongamano wajipange watapigwa mawe Mwanza -Bavicha Mbowe wamepewa kazi kuhakikisha kongamano la Sauti ya watanzania halifanyiki lengo kumzuia Dokta Slaa asijibu mapigo ya mkutano wa baraza la Wazee…!!!
View attachment 2771259
Maana ya malumbano hayo ni kwamba mjadala wa bandari sasa umetifuliwa. Nilitegemea kwamba wananci wote, bila kujali chama, wangeunganisha nguvu kushughulikia suala hili mpaka kieleweke kwani suala hili ni la wananchi wote bila kujali chama chako binafsi. Baadaye ndipo watu waendelee na vyama vyao. Ninaposema wananchi wote bila kujali chama namaanisha wananchi wote kabisa, pamoja na sisi wana-CCM ambao hatukubaliani na serikali kuhusu suala la bandari.
 
Uzuri mbowe hahangaiki nao ila wakikamatwa na kuwekwa ndani chadema ndio huwahangaikia mawakili watoke waje watoe dhihaka. Huyo slaa kipindi mbowe yupo ndani aliongea maneno ya hivyo sana
Unazi unakutesa boss, Dr. Slaa ni mtu mzuri sana
 
Mimi sikushangai wewe, nashangaa wanaokuamini maneno yako ya uongo. Eti Slaa atahakikisha anammaliza Mbowe kisiaasa, kivipi?.
 
Upinzani Tanzania bado haujawa na nia ya dhati kumkomboa mwananchi. Wengi ni watafuta fursa ndio maana kila wakipiga hatua wanagombana.
Una uhakika kuna ugomvi au umeshikiwa akili na propaganda mfu za karne za karl peter.
 
Dkt Slaa amejibu mapigo kwa kuclaim kwamba Mbowe na washirika wake lazima wawe ombaomba akinukuliwa wakati wa maandalizi ya kongamano la Mwanza Dkt Slaa amesema kuwa atahakikisha anaziba mirija ya Mbowe na kufichua janja janja zake alizozificha nyuma ya kivuli cha harakati nataka kufanya their political careers difficult alisikika Dkt. Slaa. (Huku akiuma midomo yake).

Mwamba alikipigania sana Chama ila Dkt. Slaa inaonekana amemzidi nguvu amekipasua chama katikati Diaspora hawaelewi kitu hela za mkutano wa Temeke zilipigwa safari hii wanataka Mwamba atoke ampishe Lissu (Dishi limeyumba) au waende Sauti ya Watanzania. Kikubwa maandalizi ya uchaguzi wa ndani wameshika nafasi zote nyeti.

Upande wa pili wa Mbowe yametoka maelekezo hakuna mfuasi wa mbowe kushiriki space za Maria na kongamano la katiba litakalofanyika Mwanza sababu Maria anatajwa kuwa ni fisi mwenye kueneza chuki na mshirika wa Lissu (Dishi kuyumba)..!

Zipo taarifa kwa upande wetu sisi tunaona za hovyo na roho mbaya tu wamemtaka Mdude nyagali kufuta jina la Chadema katika handle zake zote ajiite Mdude Nyagali au mdude Wilbroad Slaa!! Pamoja na kutoshiriki kuhamisha kuchanga movt za kitabu chake.

Balaa lingine kutoka kwa Diaspora wamekata kuchangia mikutano iliyopangwa kuendelea kanda ya Nyasa kamati maalum imeundwa ya kukusanya michango ya ndani kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali wafuasi wa Chadema.

Habari mbaya kwa walioandaa kongamano wajipange watapigwa mawe Mwanza -Bavicha Mbowe wamepewa kazi kuhakikisha kongamano la Sauti ya watanzania halifanyiki lengo kumzuia Dokta Slaa asijibu mapigo ya mkutano wa baraza la Wazee…!!!
View attachment 2771259
Bado mnaamini hizi propaganda mfu Zina nafasi kwenye kizazi hiki?
 
Kuna kitu kinaitwa propaganda.. hizi movie tunazoangaliaga huwaga zinafundisha mengi sanaa
 
Wakija kuzinduka uchaguo huo ccm inaibuka na ushindi
Hata chadema wanajua kuwa hawachukui dola 2025. CCM bado wana miaka 9 ya kutawala. Utawala wa ccm utakoma 2032, na hapo ccm itakufa kabisa.
 
Back
Top Bottom