Mbowe na Dkt. Slaa ni balaa watatoana damu

Dkt Slaa amejibu mapigo kwa kuclaim kwamba Mbowe na washirika wake lazima wawe ombaomba akinukuliwa wakati wa maandalizi ya kongamano la Mwanza Dkt Slaa amesema kuwa atahakikisha anaziba mirija ya Mbowe na kufichua janja janja zake alizozificha nyuma ya kivuli cha harakati nataka kufanya their political careers difficult alisikika Dkt. Slaa. (Huku akiuma midomo yake).

Mwamba alikipigania sana Chama ila Dkt. Slaa inaonekana amemzidi nguvu amekipasua chama katikati Diaspora hawaelewi kitu hela za mkutano wa Temeke zilipigwa safari hii wanataka Mwamba atoke ampishe Lissu (Dishi limeyumba) au waende Sauti ya Watanzania. Kikubwa maandalizi ya uchaguzi wa ndani wameshika nafasi zote nyeti.

Upande wa pili wa Mbowe yametoka maelekezo hakuna mfuasi wa mbowe kushiriki space za Maria na kongamano la katiba litakalofanyika Mwanza sababu Maria anatajwa kuwa ni fisi mwenye kueneza chuki na mshirika wa Lissu (Dishi kuyumba)..!

Zipo taarifa kwa upande wetu sisi tunaona za hovyo na roho mbaya tu wamemtaka Mdude nyagali kufuta jina la Chadema katika handle zake zote ajiite Mdude Nyagali au mdude Wilbroad Slaa!! Pamoja na kutoshiriki kuhamisha kuchanga movt za kitabu chake.

Balaa lingine kutoka kwa Diaspora wamekata kuchangia mikutano iliyopangwa kuendelea kanda ya Nyasa kamati maalum imeundwa ya kukusanya michango ya ndani kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali wafuasi wa Chadema.

Habari mbaya kwa walioandaa kongamano wajipange watapigwa mawe Mwanza -Bavicha Mbowe wamepewa kazi kuhakikisha kongamano la Sauti ya watanzania halifanyiki lengo kumzuia Dokta Slaa asijibu mapigo ya mkutano wa baraza la Wazee…!!!
View attachment 2771259
Habari imeletwa na panyabuku wa buku 7 Lumumba kumbe?
 
magazeti ya kufungia maandazi hayo, wapi Mbowe na Slaa wamejibizana? Rubbish!
Unahitaji nini zaidi kujua kwamba huko ndani kunachemka...[emoji2]
 
Dkt Slaa amejibu mapigo kwa kuclaim kwamba Mbowe na washirika wake lazima wawe ombaomba akinukuliwa wakati wa maandalizi ya kongamano la Mwanza Dkt Slaa amesema kuwa atahakikisha anaziba mirija ya Mbowe na kufichua janja janja zake alizozificha nyuma ya kivuli cha harakati nataka kufanya their political careers difficult alisikika Dkt. Slaa. (Huku akiuma midomo yake).

Mwamba alikipigania sana Chama ila Dkt. Slaa inaonekana amemzidi nguvu amekipasua chama katikati Diaspora hawaelewi kitu hela za mkutano wa Temeke zilipigwa safari hii wanataka Mwamba atoke ampishe Lissu (Dishi limeyumba) au waende Sauti ya Watanzania. Kikubwa maandalizi ya uchaguzi wa ndani wameshika nafasi zote nyeti.

Upande wa pili wa Mbowe yametoka maelekezo hakuna mfuasi wa mbowe kushiriki space za Maria na kongamano la katiba litakalofanyika Mwanza sababu Maria anatajwa kuwa ni fisi mwenye kueneza chuki na mshirika wa Lissu (Dishi kuyumba)..!

Zipo taarifa kwa upande wetu sisi tunaona za hovyo na roho mbaya tu wamemtaka Mdude nyagali kufuta jina la Chadema katika handle zake zote ajiite Mdude Nyagali au mdude Wilbroad Slaa!! Pamoja na kutoshiriki kuhamisha kuchanga movt za kitabu chake.

Balaa lingine kutoka kwa Diaspora wamekata kuchangia mikutano iliyopangwa kuendelea kanda ya Nyasa kamati maalum imeundwa ya kukusanya michango ya ndani kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali wafuasi wa Chadema.

Habari mbaya kwa walioandaa kongamano wajipange watapigwa mawe Mwanza -Bavicha Mbowe wamepewa kazi kuhakikisha kongamano la Sauti ya watanzania halifanyiki lengo kumzuia Dokta Slaa asijibu mapigo ya mkutano wa baraza la Wazee…!!!
View attachment 2771259
Unaamini haya magazeti uchwara?
 
Uzuri mbowe hahangaiki nao ila wakikamatwa na kuwekwa ndani chadema ndio huwahangaikia mawakili watoke waje watoe dhihaka. Huyo slaa kipindi mbowe yupo ndani aliongea maneno ya hivyo sana
Mkuu sema ukweli- Mboje si kahangaika nao Zanzibar 1/10/2023 au ulikuwa mzimu wake
 
Una uhakika kuna ugomvi au umeshikiwa akili na propaganda mfu za karne za karl peter.
Kuna haja ya kutumia rocket science kujua hilo? Au unasubiri mpaka wapigane ngumi?

Na sizungumzii kwa case hii peke yake. Huyo Dr Slaa kaanza tangu mwaka 2015 akakimbia wenzie kipindi ambacho umoja unahitajika ni mpumbavu kama wewe ndio huoni tofauti hizo.
Bado CCM haina mbadala kwa hapa TZ.
 
Mkuu sema ukweli- Mboje si kahangaika nao Zanzibar 1/10/2023 au ulikuwa mzimu wake
Kama ni mboje anaweza akawa hivo maana simjui, lakini kama ni mbowe aliongelea chadema kuchukua dola
 
Uzuri mbowe hahangaiki nao ila wakikamatwa na kuwekwa ndani chadema ndio huwahangaikia mawakili watoke waje watoe dhihaka. Huyo slaa kipindi mbowe yupo ndani aliongea maneno ya hivyo sana
Naomba sababu mbili za msingi mkuu; ni kwa nini Mbowe hang'atuki akawaachia na wengine waiongoze chadema?
 
..Mbowe kasema hana nongwa na Dr.Slaa.

..Pia kasema Sauti ya wananchi hawakuwashirikisha vya kutosha ktk mipango yao ya kufanya mikutano.

..Mbowe kasema VIKAO vya chama vilishafikia maamuzi ya kufanya mikutano ktk kanda ya Nyasa, hivyo Cdm hawawezi kusafirisha mikutano yao na kushiriki ile ya Sauti ya wananchi.

..Mbowe amesisitiza kuwa Cdm haiwapingi Sauti ya Watanzania, na amekiri kwamba kuna wana-Cdm ambao wako ktk kundi la Sauti ya Watanzania.
 
Hakuna sisimizi yeyote kati ya hawa Mdude, Slaa au Mwabukusi ambaye anaweza kuanzisha maandamano.

Watu wako na mishe zao za kutafuta fedha, waache waje waunge hawa malaya wa kisiasa. !! Nani anamuamini Slaa sasa hivi? Mtu ambaye kakataliwa mpaka na familia yake na chama chake
[emoji2956][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Acheni upotoshoji, mnafaidika na nini kwa upotoshaji kama huu, acheni upumbavu ,japo binafsi sijawahi mwamini yule Mzee ila ,msipoteshe ,pumbavu
Dkt Slaa amejibu mapigo kwa kuclaim kwamba Mbowe na washirika wake lazima wawe ombaomba akinukuliwa wakati wa maandalizi ya kongamano la Mwanza Dkt Slaa amesema kuwa atahakikisha anaziba mirija ya Mbowe na kufichua janja janja zake alizozificha nyuma ya kivuli cha harakati nataka kufanya their political careers difficult alisikika Dkt. Slaa. (Huku akiuma midomo yake).

Mwamba alikipigania sana Chama ila Dkt. Slaa inaonekana amemzidi nguvu amekipasua chama katikati Diaspora hawaelewi kitu hela za mkutano wa Temeke zilipigwa safari hii wanataka Mwamba atoke ampishe Lissu (Dishi limeyumba) au waende Sauti ya Watanzania. Kikubwa maandalizi ya uchaguzi wa ndani wameshika nafasi zote nyeti.

Upande wa pili wa Mbowe yametoka maelekezo hakuna mfuasi wa mbowe kushiriki space za Maria na kongamano la katiba litakalofanyika Mwanza sababu Maria anatajwa kuwa ni fisi mwenye kueneza chuki na mshirika wa Lissu (Dishi kuyumba)..!

Zipo taarifa kwa upande wetu sisi tunaona za hovyo na roho mbaya tu wamemtaka Mdude nyagali kufuta jina la Chadema katika handle zake zote ajiite Mdude Nyagali au mdude Wilbroad Slaa!! Pamoja na kutoshiriki kuhamisha kuchanga movt za kitabu chake.

Balaa lingine kutoka kwa Diaspora wamekata kuchangia mikutano iliyopangwa kuendelea kanda ya Nyasa kamati maalum imeundwa ya kukusanya michango ya ndani kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali wafuasi wa Chadema.

Habari mbaya kwa walioandaa kongamano wajipange watapigwa mawe Mwanza -Bavicha Mbowe wamepewa kazi kuhakikisha kongamano la Sauti ya watanzania halifanyiki lengo kumzuia Dokta Slaa asijibu mapigo ya mkutano wa baraza la Wazee…!!!
View attachment 2771259
 
Naomba sababu mbili za msingi mkuu; ni kwa nini Mbowe hang'atuki akawaachia na wengine waiongoze chadema?
Ang'atuke kwani katiba ya chama inavunjwa na mbowe kama katiba haivunjwi basi hata wewe unaweza kuchukua fomu ukachuane na mbowe
 
Back
Top Bottom