Kenyatta na Lowasa ni marafiki wa siku nyingi sana.mbowe bana!!!! Sa Kenyatta nae akisema kwa kuwa mlimuunga mkono odinga backened days so hataki ushirika na nyie,mtajisikiaaje?
Wapeleke mahakamaniWazee wa ufisadi.
Lowasa
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama chake kinamuunga mkono Uhuru Kenyatta ktk Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Amesema kuwa kwa muda mrefu wamekuwa wakimuunga mkono Raila Odinga katika kuchukua nafasi ya kuiongoza Kenya.
Lakini kinyume na matarajio yao, ilipofika zamu yao mwaka 2015 rafiki yao Raila aliwageuka na kumuunga mkono adui yao
Kwani kuna tatizo kutofautiana mitazamo???Kwa hiyo ukifanya hivi ndio buku 7 inakuwa umepata??
Lowasa alishatamka siku nyingi bila kikao chochote akatamka kuwa wao chadema wanamuunga mkono Kenyatta na wanampenda hilo baraza kuu limeenda tu kugonga mhuri wa approved. Baraza kuu lenye malofa kibao laweza tengua uamuzi wa tajiri lowasasa. Biblia inasema The Rich rules the poor. Maskini wa chadema kazi yao ni kuwa rubber stamp tuMagufuli ataleta sintofahamu katika mahusiano ya kidiplomasia na Serikali ya Kenya kama ataonesha nia ya kumuunga mkono Raila.
Uhuru hatoshindwa katika uchaguzi wa Agosti na ataona aibu watakapokuta kwenye vikao vya EAC. Muda ni mwalimu mzuri wakati wote
Magufuli anamuunga nani mkono?
Msemee wewe basi ili ujiridhishembowe bana!!!! Sa Kenyatta nae akisema kwa kuwa mlimuunga mkono odinga backened days so hataki ushirika na nyie,mtajisikiaaje?
Midomo yao hapo imepigwa superglueHapo mafisiemu hayatakujibu
Utaumia sana mwaka huuKwanini hawaungi mkono wapinzani wenzao kisa Magu ni rafiki wa RO. Silly
Ccm ndio mmeishiwa hadi mnakwapua rambirambiTukisema Mbowe kaishiwa kimawazo watu wanatuona sisi ni wasariti